THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

umenifanya nikumbuke kuna mtu aliwahi kuomba jf academia na jf original kwa kigezo cha less seriousness, by the way binafsi hushangazwa na baadhi ya threads, imenifanya hata hamu ya kuwa hapa ipungue hivyo naingia kuangalia wakongwe na kuwasalimia then natoka, na tena ngoja niwatakie usiku mwema.
Ahsante Smiling Saint ! Uwe na usiku mwema pia mpendwa !
 
Last edited by a moderator:
si uzitaje hizo za kitoto tusijue ili tuwe tunaandika za kikubwa,ujue unaweza soma uzi wa mtu ukauona hauna maana, wakati kwa wengine unamaana.kama umeona uzi ni wa kitoto achana nao nenda kwa uzi wa kikubwa ni hayo tu mheshimiwa Arusha one
 
Last edited by a moderator:
si uzitaje hizo za kitoto tusijue ili tuwe tunaandika za kikubwa,ujue unaweza soma uzi wa mtu ukauona hauna maana, wakati kwa wengine unamaana.kama umeona uzi ni wa kitoto achana nao nenda kwa uzi wa kikubwa ni hayo tu mheshimiwa Arusha one au na we huutaki uheshimiwa cku izi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom