THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe


LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,015
Likes
174
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,015 174 160
Nafuu kabisa huyu Kamanda Arushaone ameliona hili wajamen! sweetlady karibu jukwaa la mapinduzi ya kweli!

Huko hatung'atuki!

Afadhali Arushaone umeliona hilo , mie mwenyewe nna mpango wa kurudi zangu jukwaa la siasa manake nishachoshwa na masredi ya kitoto yalojaa chit chat....


Atakaenionea Masanilo amwambie aje anichukue kondoo wake nimeamua kurudi kundini!

KARIBU TENA MPENDWA WETU!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
inasikitisha sana pal..... halafu ni watu wazima haswa tena wengine nawafahamu hadi kwa sura. bora umewapa za uso leo.
Hahahahaha alijisemea Masanilo chit chat imejaa vibibi na vibabu lol. Source :makutano! You know what i mean eeh?
 
Last edited by a moderator:
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,372
Likes
31,586
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,372 31,586 280
kaka sasa si ungetoa mfano na ukatuwekea hizo thread za kitoto kama moja ama mbili hivi na utuambie maana ya chiti chat.
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
Nafuu kabisa huyu Kamanda Arushaone ameliona hili wajamen! sweetlady karibu jukwaa la mapinduzi ya kweli!

Huko hatung'atuki!
KARIBU TENA MPENDWA WETU!

Ahsante sana LiverpoolFC ... Narudi nyumbani asee huku ugenini pamenichosha!
 
Last edited by a moderator:
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Likes
5
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 5 0
Hahahahaha alijisemea Masanilo chit chat imejaa vibibi na vibabu lol. Source :makutano! You know what i mean eeh?
hahahaha!!! sure love..... makutano before breakfast..... ukumbuke kupigwa mswaki tu ila tea tutapata pa1.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,226,002