THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
2,431
Likes
1,352
Points
280
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
2,431 1,352 280
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
kabla klik kwenye forum ya CHIT CHAT utakuta maneno hayo hapo chini  • General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!

Hivi tafsiri yake ni nini? naomba mtoa mada na waliokusapoti mnitafsilie kwa kiswahili maana wengine hapa hii lugh ya akina thank you tumekariri tu, si unajua tumesoma zile shule ambazo kila kijiji zipo
 
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,820
Likes
398
Points
180
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,820 398 180

Wapi muzungu aliye post Utoto Umejaa humu?
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
Afadhali Arushaone umeliona hilo , mie mwenyewe nna mpango wa kurudi zangu jukwaa la siasa manake nishachoshwa na masredi ya kitoto yalojaa chit chat....

Atakaenionea Masanilo amwambie aje anichukue kondoo wake nimeamua kurudi kundini!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
Hahahahaaa...Wana Chit-Chat ukimwaga mboga wanamwaga ugali na kutia sufuria mchanga.
Hahahaha! Na ukisema sana Nicas Mtei atakwambia unatafuta umaarufu lol! Chit chat oyeeeeee! Sasa hivi yashaanza kumshinda na kumkera Arushaone tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,820
Likes
398
Points
180
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,820 398 180
Hahahaha! Na ukisema sana Nicas Mtei atakwambia unatafuta umaarufu lol! Chit chat oyeeeeee! Sasa hivi yashaanza kumshinda na kumkera Arushaone tehe tehe!
Dah!
Namuona chalii yangu Arushaone huyoooo anaelekea siasani!!!
Halafu sweetlady mbona nitonye simuoni huku siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
Dah!
Namuona chalii yangu Arushaone huyoooo anaelekea siasani!!!
Halafu sweetlady mbona nitonye simuoni huku siku hizi?
Na mie nikiondoka nawachukua Mungi na Filipo ... nitonye nae kachoshwa na utoto wa chit chat , amehamia jukwaa la dini
 
Last edited by a moderator:
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Likes
5
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 5 0
Pal Catherine, tushapoteza members wengi sana wa CHIT CHAT baada ya kuona ni mathread mengi yamekaa kiutoto na mengine yamekopiwa na kupestiwa hapa aidha kutoka FB au za hapahapa za zamani!!
inasikitisha sana pal..... halafu ni watu wazima haswa tena wengine nawafahamu hadi kwa sura. bora umewapa za uso leo.
 
Last edited by a moderator:
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Likes
5
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 5 0
kabla klik kwenye forum ya CHIT CHAT utakuta maneno hayo hapo chini  • General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!

Hivi tafsiri yake ni nini? naomba mtoa mada na waliokusapoti mnitafsilie kwa kiswahili maana wengine hapa hii lugh ya akina thank you tumekariri tu, si unajua tumesoma zile shule ambazo kila kijiji zipo
let's talk abt anything lakini sio nonsense. ngoja pal aje kutafsiri.. lol
 
Forum statistics

Threads 1,236,725
Members 475,218
Posts 29,267,381