Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.