Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

We 4 tu, mimi ni mara 3 yoko 4 na sina wazo wala mpango wa kucheat maishani mwangu, ingawa sina uhakika kama yeye hacheat. Nilichoamua ni mimi kusimama kama mimi no matter yeye ana msimamo gani
 
Signature yako inashuhudia hilo mkuu
 
kwamtoro, na wale ambao wapo kwenye jitihada za kujikwamua kwenye janga la kucheat unawakaribisha hapa?
 
Last edited by a moderator:
Denda je? Rukhsa?

Mkuu Nyani Ngabu hayo majanga acha hizo mambo kabisa outing, club, zote hizo kuna mazingira ambayo mambo sio ya kawaida yanatokea japo humalizi kile kitendo ila kwa hapo unakuwa ushamcheat mkeo
 
Last edited by a moderator:
Acha tuiweke kabisa hapa

"..Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake"

Saaaaaafi saaaaana; Ndio maana nyumba ndogo nyingi ni wasichana na si wanawake!!!!!!
 
kwamtoro, na wale ambao wapo kwenye jitihada za kujikwamua kwenye janga la kucheat unawakaribisha hapa?
Ki ukweli nitawapokea kwa mikono miwili. Maisha ya uaminifu mazuri sana Samaritan. Naamini yeyote atakaye kata shauri, atajengeka kutokana na uzoefu wa waaminifu wa jukwaa hili. Vilevile siyo mbaya tukaja kuandaa bonge la event la watu waaminifu tuka chill pamoja kuongezeana uzoefu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyani Ngabu hayo majanga acha hizo mambo kabisa outing, club, zote hizo kuna mazingira ambayo mambo sio ya kawaida yanatokea japo humalizi kile kitendo ila kwa hapo unakuwa ushamcheat mkeo

Babu kuwa makini,hayo mambo are enticing na member lazima atoe japo chozi!!!!

The bad news is wanakagua boxer meeen sasa huko club,harusini na other boys out things mpaka mnaloweshana boxer ni nini hii?????!!!!

Hilo swali kashaulizwa mwana akabaki kinywa wazi!!!
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli nitawapokea kwa mikono miwili. Maisha ya uaminifu mazuri sana Samaritan. Naamini yeyote atakaye kata shauri, atajengeka kutokana na uzoefu wa waaminifu wa jukwaa hili. Vilevile siyo mbaya tukaja kuandaa bonge la event la watu waaminifu tuka chill pamoja kuongezeana uzoefu.

Ni wazo zuri, ila angalizo kwenye hilo bonge la event isije ndio ikawa mwisho wa uaminifu kwa baadhi ya wanachama!!!!
 
Babu kuwa makini,hayo mambo are enticing na member lazima atoe japo chozi!!!!

The bad news is wanakagua boxer meeen sasa huko club,harusini na other boys out things mpaka mnaloweshana boxer ni nini hii?????!!!!

Hilo swali kashaulizwa mwana akabaki kinywa wazi!!!
Mkuu @Olesaidimu haya mambo magumu sana aise
Hebu niambie sasa mpaka boxer zimechafuka kwa mambo kama hayo je kuna uaminifu hapo
Denda kama alilouliza @Nyani Ngabu hapo juu nako si kucheat pia
 
It is more than a puzzle mkuu Mr Rocky

Bab Nyani Ngabu point bado ina hold the centre "where do we dermacate clearly????"
 
Back
Top Bottom