Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

It is more than a puzzle mkuu Mr Rocky

Bab Nyani Ngabu point bado ina hold the centre "where do we dermacate clearly????"

OLESAIDIMU yes thats what we need. Demarcation ya hizi mambo wapi ambako unaweza sema nimecheat na wapi ambako unasema ni mwaminifu
Kama umechaza na mwamamke wa watu huko club mpaka ukachafua boxer na denda umekula then umebakisha hatua moja tuu unasema wewe ni mwaminifu mhhh nina wasi wasi na definition ya uaminifu

Endelea Mr Rocky kikwetu si vizuri kusema maneno nusu (nyi kiwicho)

Mkuu Mentor nilitaka kuuliza "ulandealike mpaka inu monowama"

But I am...kwa sasa! then nikioa tutajua...dat fair Samaritan!
 
Last edited by a moderator:
Miaka 4 mbona midogo sana uchanga wa ndoa unakusumbua. ngoja kidogo walau uwe na miaka 6 au 7 halafu urudi tena utupe feedback.
 
OLESAIDIMU yes thats what we need. Demarcation ya hizi mambo wapi ambako unaweza sema nimecheat na wapi ambako unasema ni mwaminifu
Kama umechaza na mwamamke wa watu huko club mpaka ukachafua boxer na denda umekula then umebakisha hatua moja tuu unasema wewe ni mwaminifu mhhh nina wasi wasi na definition ya uaminifu

Tuwaite wakongwe kaka au!!!!!!

Babu Aspirin, mtambuzi,BAK,TIMMING,The Boss,watu8

Mje na dictionnaries na Encyclopedia if need be
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimemsahau mkuu wangu Mtambuzi na Dark City hebu karibieni hapa mtupe wazo lenu kwenye issue ya uaminifu

Mkuu unajua ni akili yako tu ndio unayotakiwa kucheza nayo....

kama ukikubali kuendeshwa na mihemko ya ngono imekula kwako, lazima utakwenda na maji, swala la kusema sijui wanawake wanavishawishi kutokana na mavazi yao yasiyo na staha wala haihuu kabisa hiyo ni sababu ya kijinga kabisa, mbona hata mwanamke akivaa na kufunika mwili wake wote gubigubi, lakini atavutia tu, kwa sababu za kimaumbile na sio swala la kuvaa nusu uchi....

Swala la kutamani lipo, lakini lazima ujiulize kwamba kuna ulazima wa kwenda mbali zaidi ya hapo?, kwa hiyo mtu mwenye kujiheshimu atatamani na kuacha, kamwe hatakwenda mbali zaiidi ya hapo maana haendeshwi na mwili bali akili.

Namuachia mzee mwenzangu ODM Asprin naye atoe nasaha zake.............
 
Mutawalia mkuu Mtambuzi sasa ni kipindi gani mtu anakuwa ame cheat!!!???
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU kuna watu natamani niwaone hapa grafani11, HorsePower; SnowBall; Asprin, The Boss; watu8, BAK, nao waseme mawazo yao aise maana ni ya muhimu sana watuambie mpaka wa uaminifu ni upi

Nafikiri uaminifu anaouzungumzi huyu ndugu yangu kwamtoro ni uaminifu wa kutokutembea nje ya ndoa yake na sina hakika kama anazungumzia nje ya hapo. Pamoja na kuwa kuna changamoto nyingi za kusimama kwenye uaminifu, lakini kwa yeyote yule ambaye ameazimia kwa dhati kuwa mwaminifu anaweza kujitenga na mambo yote ambayo yanaweza kumsababishia kutokuwa mwaminifu.

Hapa naamnisha ni pamoja na kuepuka kuwa karibu mno na wadada na kuachana na tabia za kucheza na kushikana shikana matiti na makalio na wadada na hata huko disco, kuepuka kukaa au kucheza kwa ukaribu, kukumbatiana na kula denda na marafiki. Vitendo hivi haviwezi kufanywa na mtu anayejiita mwaminifu maana wakati wowote ule unaweza kuvunja uaminifu hata kwa mawazo na tamaa za mwili.

Uaminifu upo na unawezekana kabisa, na ukitaka kujua watu wanafanikiwa vipi, muulize ndugu yangu Mtambuzi atakusaidia kuchambua kwa kina namna ya kuishi maisha ya uaminifu. Ila ikumbukwe tu kuwa, uaminifu ni pamoja na kuacha tabia hatarishi!
 
Last edited by a moderator:
HorsePower na Mtambuzi nimeyaona mawazo yenu kwa kweli ni muhimu sana japo utekelezaji wake ni mzigo mkubwa na changamoto ni nyingi katika kutekkeleza hayo na kujiondoa kabisa katika huu ulimwengu ambao vishawishi ni vingi
Ila muhimu ni kila mtu kucheza nafasi yake
 
Last edited by a moderator:
Itz too early to celebrate victory bro. In a marriage lifetime span 4 yrs is just a kick off stage
 
Back
Top Bottom