Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

HorsePower na Mtambuzi nimeyaona mawazo yenu kwa kweli ni muhimu sana japo utekelezaji wake ni mzigo mkubwa na changamoto ni nyingi katika kutekkeleza hayo na kujiondoa kabisa katika huu ulimwengu ambao vishawishi ni vingi
Ila muhimu ni kila mtu kucheza nafasi yake

Nakubaliana na wewe, wanasema change begins with you, hivyo mtu mmoja mmoja akibadilika maana yake society nzima nayo itabadilika! Kwa hiyo acha, kila mtu awajibike kwa nafasi yake.
 
Nakubaliana na wewe, wanasema change begins with you, hivyo mtu mmoja mmoja akibadilika maana yake society nzima nayo itabadilika! Kwa hiyo acha, kila mtu awajibike kwa nafasi yake.

Mkuu HorsePower najivunia kwa kiwango kikubwa naheshimu ndoa yangu na namheshimu mwenzangu na najitahidi kutunza hilo na japo majaribu ni mengi huwa namuomba sana aliye juu zaidi kunilinda na kuniepusha na mengi japo najua ni mengi sana
 
Last edited by a moderator:

Nalifahamu hilo, Mungu akutie nguvu majaribu yasikuzidi!
 
Mkuu HorsePower najivunia kwa kiwango kikubwa naheshimu ndoa yangu na namheshimu mwenzangu na najitahidi kutunza hilo na japo majaribu ni mengi huwa namuomba sana aliye juu zaidi kunilinda na kuniepusha na mengi japo najua ni mengi sana

umenena vyema sana Mr Rocky, ukiwa mwaminifu na ukimshirikisha Mungu pia hukuepushia majaribu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor asante sana na namuomba sana Mungu aniepushe na mengi na mazingira ambayo yatanipeleka kwenye kuanguka

ujue watu tunaongozwa na tamaa lakini ukishakuwa na roho ya kuipuuza tamaa ya mwili hata aje mtu wa dizain gani kuingia majaribuni ni ngumu Mr Rocky!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ujue watu tunaongozwa na tamaa lakini ukishakuwa na roho ya kuipuuza tamaa ya mwili hata aje mtu wa dizain gani kuingia majaribuni ni ngumu Mr Rocky!!!!!!!!!!
Naamini hivyo Lady doctor ila ni lazima uwe na hofu ya Mungu ndani mwako na sio kuongozwa na dunia hii na kujisemea nitashinda
 
Last edited by a moderator:
napitaaa!
ila bado mwaminifu kwa MUNGU kwanza na wanadamu pia
NI KWELI UNAPOKUWA MWAMINIFU KWA MUNGU HATA SIKU UKIMFUMANIA HUWEZI LIPA KISAS,,ILA UKIAMUA KUWA FAITH KWA AJILI YAKE SIKU UKIMFUMANIA UTAMTAFUTA RAFIKI YAKE ILI AJUE KWAMBA SI KWAMBA HUKUWA HUWEZI ILA NI KWA SABABU YAKE,,,,
:A S-key:
 
i dont know what u mean?

iko hivi unapompenda mtu na kuamua kumtunuku uaminifu kama zawadi ya kumpenda,siku akikusaliti unaweza nyang'anya zawadi yako(kusitisha uaminifu)..ila kwa ajili ya mungu huwezi,,hivo utabak kumfulahisha mungu na mpenzi wako pia
 
Uaminifu upo na unawezekana kabisa, na ukitaka kujua watu wanafanikiwa vipi, muulize ndugu yangu Mtambuzi atakusaidia kuchambua kwa kina namna ya kuishi maisha ya uaminifu. Ila ikumbukwe tu kuwa, uaminifu ni pamoja na kuacha tabia hatarishi!

nimependa sana nilipo bold.. Inawezekana.
 
Safari bado ni ndefu.....kikubwa ni maombi. Bible inatukumbusha kuwa adhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka. Binafsi nimeshaanguka Mara nyingi, ninasimama na kuendelea mbele kwa toba na maombi. Peje yetu na kwa akili zetu tutashindwa

Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Mzidi kutuombea mimi na Heaven on earth wangu tuzidi kusonga mbele maana Mr Rocky na Ngalihikija siwaelewi kabisa.
 
ngoja nigeuze nahisi hapanihusu hapa hii wrong turn nisije nikaliwa na mazombie????
 
Back
Top Bottom