Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga

Kwani wachaga wakijiunga kuna Zambi? Hebu Tuambie wewe unataka wajiunge Chama kipi? Mkuu hii iko kila Mahari Duniani Tazama chama Cha ANC wazuru karibia wote ni ANC ingawa kuna Vyama kibao vya Upinzani na Makabira kibao, Dunia nzima vyama huwa vina root yake, Uingereza ambayo inaonekana ni moja ya Mataifa yenye Demecrasia ya hali ya juu, Kuna ubaguzi kule, Huwezi Kuwa Prime minster bila kuwa Muangalikana,

So ishu ya kusema Wachaga wote wako CDM haina mshiko, na Mara nyingi haya mambo yanategemea root ya CHAMA, cheki CUF kule Pembe,

Fuatilia historia za Vyama vyote Dauniani na Utagundua vyama vyote vina sehemu vinapo ungwa Mkono kwa Nguvu zote hata USA hii ipo, kuna Majimbo yanajulikana ni ya Republican na mengine siku zote ni ya Democratic, wewe unazani hii ni kwa nini?

  1. Hayo ni mawazo ya mwenzetu, Mzee Nyimbo, si lazima awe sahihi sana lakini ndio mawazo yake! Tuyaheshimu
  2. Huyu mzee inawezekana bado anaamini aliyeko juu mngojee chini, aliyeko juu unamfuata huko huko
  3. Huyu mzee inawezekana either anafanya makusudi au amesahau mifano mbalimbali yanye mlengo wa mabadiliko duniani, tukianza na kina Nyerere na wenzie, Mandela, Nkurumah, Xanana na Lamos Horta wa Timor Leste, hawa watu walipambana kuhakikisha mabadiliko yana kuja
  4. Huyu mzee inawezekana anaamini baada ya dhiki ni Faraja, huku watawala wanaweza badili ikawa 'baada ya dhiki ni dhiki kuu'.
  5. Hayo ni mawazo ya mwenzetu kwa kweli,
 
Ni wenye nia ya kweli ndio watakaobaki chadema.
Sijui kwaniniwatu bado wanatamani kutumikiwa na kwa wazee wa aina hii kukosa vyeo vya kula kula basi kujitoa kwa huwa chaguo la kwanza,amejiunga mwaka juzi CDM kinataka kujiridhisha kama kweli yeye ni kenge ama mamba.Amejidhihisha mapema kabla chama hakijaingia mkenge wa kumwamini zaidi ili kumpa fursa za kuingia kwenye vikao vizito vya maamuzi.Alichokuwa anakitaka hajakipata kabla ya muda aliokuwa ametarget sasa kazi imekuwa ngumu na kwa umri wake usiopungua 70 anaona akirudi kwa waliomtuma ni aibu so bora kukaa kando na kujifanya nataka kuwa nje ya vyama.Haturudi nyuma kwa namna yoyote ile mabadiliko daima.
 
Tapeli wa kisiasa huyo,kila mwaka anahama vyama.
 
Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga
Jifunze kufikiri sawasawa kabla ya kupost humu JF.

Embu jaribu kurudia kusoma ulichokiandika halafu jiulize kama kiakili wewe ni mzima.
 
Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga

huwajui wachaga ww pimbi.
 
"Mfano wewe ukipokea rushwa na kuamua kufanya tofauti na aliyekuhonga kwa kuwa baadaye atakuwa hajapata kile alichotaka kukinunua toka kwako, unafikiri kesho atarudia".

Thomas nyimbo hii Slogan kali wapelekee CCM maana leo wanatandikana ngumi sijui na Wazazi itakuwaje
Kali ya pili ni ile uliyotoa ya MGOMBEA HURU hiyo ikipitishwa tutakuwa sawa na Mataifa mengine haya ya UMANGIMEZA yatapotea
 
Ameamuwa kuwa mwansiasa "Malaya",eti rushwa itaisha kama wananchi wakikataa kuitoa(akimaanisha kuwa ni tatizo dogo sana kwa upande wa ccm).Huyu alipenda awe kijogoo,kaishia kuwa kuku mtetea.Huwezi kusema eti chadema ni watu wawili(Mbowe na Slaa),na wakati wewe unasema mtu kwanza chama baadaye,hiyo ndiyo mbaya zaidi.Heri wawili kuliko mmoja.Amechemsha.Aendelee kuzilea mali zake.Hata huo mkao wa press conference ya hotelini kwake ukitizama utajuwa ni mpenda makuu.
 
alitakaka cheo huyu.

Anasema katiba ikipitisha mgombea huru atagombe ubunge, Iko kitu hapa ati anaachana na siasa za Vyama ameanza kuwa Mtu wa Kulalamika badala ya Mtu wa kutafuta ufumbuzi. Low thinker!
 
Chama cha Kikanda, chama cha Kikabila,Kikoo na sasa chama cha Kimangimeza...
Usiwe na akili kama za kuku anayefukua hapo chini tu na ndiyo maana akawa ndege asiyeweza kuruka!

Wachagaa walishaikataa ccm kabla hata chadema haijapata umaarufu!Ulitaka waende chama gani cuf?TLP kila mtu anajuwa hakina mpango,NCCR Mageuzi ni the same,ulitaka waende wapi wewe kama unatumia akili kufikiri?
 
hajapata alichotumwa kukitafuta. Anajifanya yuko neutral si ccm wala chadema! Mnafiki huyu. Desmond Tutu aliwahi kusema " if you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Aseme tu amerudi ccm alichokuwa ametumwa hajakipata. Ameamua kudandia meli iliyotoboka.
Hakuna aliyetoka CCM atakayeweza kufika Kanani. Wote wataishia jangwani kizazi kipya ndicho kitakachoingia kanani pamoja na wakongwe wachache wanaomtii Mungu kwa dhati! Hakuna tofauti na safari ya wana wa isirael kutoka Misiri, wengi wao walikumbuka hata misosi ya misiri mambo yalipokuwa magumu huko jangwani. Ukweli ni kwamba kanani hawataingia hawa wakongwe waliotoka ccm labda wale wateule wachache kama ilivyokuwa kwa Joshua na Kalebu. Chadema itaingia madarakani na damu mbichi pamoja na akina Joshua na Kalebu wachache tu! Kanani wataingia watoto na siyo wazee wanaokumbuka misosi ya Misiri kama Mzee Song!
 
Kwani wachaga wakijiunga kuna Zambi? Hebu Tuambie wewe unataka wajiunge Chama kipi? Mkuu hii iko kila Mahari Duniani Tazama chama Cha ANC wazuru karibia wote ni ANC ingawa kuna Vyama kibao vya Upinzani na Makabira kibao, Dunia nzima vyama huwa vina root yake, Uingereza ambayo inaonekana ni moja ya Mataifa yenye Demecrasia ya hali ya juu, Kuna ubaguzi kule, Huwezi Kuwa Prime minster bila kuwa Muangalikana,

So ishu ya kusema Wachaga wote wako CDM haina mshiko, na Mara nyingi haya mambo yanategemea root ya CHAMA, cheki CUF kule Pembe,

Fuatilia historia za Vyama vyote Dauniani na Utagundua vyama vyote vina sehemu vinapo ungwa Mkono kwa Nguvu zote hata USA hii ipo, kuna Majimbo yanajulikana ni ya Republican na mengine siku zote ni ya Democratic, wewe unazani hii ni kwa nini?

well said, tatizo watu wakishindwa kuja na hoja za mashiko wanahamia kwenye issue za udin na ukanda!
 
Ikumbukwe kuwa mzee Nyimbo amekuwa afisa mwandamizi TISS kwa kipindi chake chote cha ukubwani.hii inaweza kuwa ina uhusiano na uamzi wake huo
 
Ningeshangaa kwa mazingira ya siasa za Tanzania yalivyo kama Chadema ingekosa wanachama wanaohama chama.

Wasaliti ni lazima wawepo na ukiona wimbi la usaliti linazidi ujue ndiyo tunakaribia mafanikio yenyewe

Kwanza natoa wito kwa wasaliti wote waondoke

Hivi angeshinda ubunge
angethubutu kujitoa?

Excuse za usaliti wao hazitofautiani mara nyingi
 
Usiwe na akili kama za kuku anayefukua hapo chini tu na ndiyo maana akawa ndege asiyeweza kuruka!

Wachagaa walishaikataa ccm kabla hata chadema haijapata umaarufu!Ulitaka waende chama gani cuf?TLP kila mtu anajuwa hakina mpango,NCCR Mageuzi ni the same,ulitaka waende wapi wewe kama unatumia akili kufikiri?
Kama kuna walakini katika CDM, ni vema kusemwa, na ni vizuri kujua kasoro za chama hicho iwapo kweli wana nia njema na nia mbadala zaidi ya vyama vingine.

Zaidi ufike wakati wa Magwanda kukubali kasoro zao na kuwashukuru wanaoziona kasoro hizo badala ya kuwabeza!
 
With all due respect,ulichoandika siyo utofauti bali ni ujinga so to speak...
Kibunango said:
Chama cha Kikanda, chama cha Kikabila,Kikoo na sasa chama cha Kimangimeza...
 
Kutokana na tuhuma alizotoa ni kwamba Mh Mbowe na Dr. Slaa wanajinufaisha wao binafsi
Je ni kweli kwamba Mbowe na Slaa wanajinufaisha wao binafsi?
Je ni kweli kwamba hawa viongozi wa juu hawashauriki?
Kujivua uanachama ni haki yake lakini angetoa na ushahidi kuthibisha haya aliyosema,vinginevyo tutamuona ni mtu anesumbuliwa na njaa tu.
 
inaelekea jamaa bado ana kasumba ya kigamba gamba. naona atarudi tu CCM
 
sasa mbona makamanda wanaondoka tenaaa!!!,au hakua kamanda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom