Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Alidhani chadema kuna vyeo vya fadhila! Kwanza ni mzee hana future na hii nchi! Akafilie mbali! Chadema kinabeba matumaini ya kizazi kijacho na yeye siyo mlengwa wa kizazi kijacho, na kwakuwa ni mbinafsi hataki hata wajukuu wake wafaidi matunda ya uhuru, wazee kama hawa ni wa kuchapa viboko tu!
 
So, ni kweli kuna umangimeza hapo CDM?
Huyo mtu alikuwa mbunge kupitia ccm toka 2000 hadi 2010,kagombea ubunge kwa chadema mwaka huo huo akaukosa.In less than two years amejitoa,kaja na hayo ya umangi meza.

Mimi sijui kama ni kweli,lakini kwa mawazo yangu,hana credibility ya kusema hivyo.Anaonekana ni mtu asiyeweza kufanya kazi na wenzake.

Kwani wewe hayo maneno uliyoyasema(ukanda na ukabila), ni ya ukweli kwasababu wewe umeyasema?Same applies to him.
 
Huyu ni mtaka vyeo. Amepiga darubini akaona kuwa hata ramani za 2015 hazisomi, akaamua kukubali yaishe.
Kwa umri wake hawezi kuiweza kasi ya vijana.

Amefanya uamuzi mzuri mapemaa kabla ya aibu za ukubwani.

Umri? Mhhh...
 
Huyo mtu alikuwa ccm hadi 2010,kagombea ubunge kwa chadema mwaka huo huo akaukosa.In less than two years amajitoa,kaja na hayo ya umangi meza.

Mimi sijui kama ni kweli,lakini kwa mawazo yangu,hana credibility ya kusema hivyo.Anaonekana ni mtu asiyeweza kufanya kazi na wenzake.

Kwani wewe hayo maneno uliyoyasema(ukanda na ukabila), ni ya ukweli kwasababu wewe umeyasema?Same applies to him.
Mzee Nyimbo has called a spade a spade.

Hayo aliyosema juu ya CHADEMA mimi nimeyasema mara kadhaa humu jamvini.
Taabu ya wanachama wa CDM ni kuiona siasa katika miwani ya CDM na kutotambua makosa makubwa yanayofanywa na CDM.

Chuki dhidi ya CCM, ambayo imeamua kufa yenyewe ,haiiletei nchi manufaa yoyote kama CDM haina vision ya kule tuendako.

I have said this again and again, asante Mzee Nyimbo umenotice makosa ya kimsingi from inside CHADEMA.
 
Huyo ni njaa ndio ina msumbua tu sikutegemea hatoe sababu dhaifu zaidi ya aliyotoa!

Kutokana na tuhuma alizotoa ni kwamba Mh Mbowe na Dr. Slaa wanajinufaisha wao binafsi
Je ni kweli kwamba Mbowe na Slaa wanajinufaisha wao binafsi?
Je ni kweli kwamba hawa viongozi wa juu hawashauriki?
Kujivua uanachama ni haki yake lakini angetoa na ushahidi kuthibisha haya aliyosema,vinginevyo tutamuona ni mtu anesumbuliwa na njaa tu.
 
Kwani wewe hayo maneno uliyoyasema(ukanda na ukabila), ni ya ukweli kwasababu wewe umeyasema?Same applies to him.
Najaribu kukusanya yale yote yanayosemwa na baadhi ya wananchi ambao wamejitoa katika CDM. Hizi zinaweza kuwa kasoro za CDM ama ni kelele tu za hao waliojitoa. Kwani lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Ukanda na ukabila katika CDM umekanushwa kwa vielelezo na takwimu, na nategemea hili jipya la umangimeza kutolewa ufafanuzi vilevile.
 
naona wengi hammjui huyu mzee,nimefanya naye shughuli za chama muda mrefu sana toka awepo cdm ni moja ya wazee wanaopenda kuabudiwa kama mfalme ,anapenda hadi viongozi wa cdm wa taifa wafuate aina ya siasa zake,kwa kifupi ni hivi.wiki iliyopita mh.mbowe(m/kiti)alikuwa na ziara ya kuwanadi wagombea udiwani kupitia cdm ktk mikoa ya mbeya na njombe,alipotoka iringa alipitiliza kwenda mbeya bila kupitia kwake ,hapo ndo povu lilipoanza kumtoka mzee nyimbo kuwa viongozi wa kitaifa hawa mheshimu ,alipiga simu kwa dr,slaa kulalamika juu ya hili lkn dr.slaa alimjibu kuwa kwenye ratiba hakukuwa na ratiba ya m/kiti kupitia kila jimbo na muda ulikuwa mdogo sana na sehemu za kupitia zilikuwa nyingi sana.mzee nyimbo akawa analalamika sana juu ya kutopitiwa nyumbani ili aongozane naye huko mby na makete then ludewa .kama humjui unaweza ukasema jamaa ni jembe sana lkn kiukweli kwa aina ya siasa za sasa huyu mzee haziwezi kabisa na ni mbabe anayetaka analosema yeye ndo la kufuatwa hata kama linamakosa .kila lakheri kuko aendako sisi alitukuta tukipigania kukijenga chama chetu ametuacha bado tunasonga mbele,tunatangulia ktk mapambano huyu mzee atatukuta mbele tukiwa tayari yunafaidi matunda ya nchi yetu
 
Mzee Nyimbo has called a spade a spade.

Hayo aliyosema juu ya CHADEMA mimi nimeyasema mara kadhaa humu jamvini.
Taabu ya wanachama wa CDM ni kuiona siasa katika miwani ya CDM na kutotambua makosa makubwa yanayofanywa na CDM.

Chuki dhidi ya CCM, ambayo imeamua kufa yenyewe ,haiiletei nchi manufaa yoyote kama CDM haina vision ya kule tuendako.

I have said this again and again, asante Mzee Nyimbo umenotice makosa ya kimsingi from inside CHADEMA.
Nani anajuwa kwamba wewe siyo Nyimbo?Na angepata ubunge kwa kupitia chadema angejitoa?Si alikuwa mbunge kwa kupitia ccm kwa miaka 10?Hana lolote huyo,makosa ni ya chadema kusifia watu hovyo hovyo na kukaribisha makapi bila kuyapima,eti mlezi.Vitu vingine bana!
 
naona wengi hammjui huyu mzee,nimefanya naye shughuli za chama muda mrefu sana toka awepo cdm ni moja ya wazee wanaopenda kuabudiwa kama mfalme ,anapenda hadi viongozi wa cdm wa taifa wafuate aina ya siasa zake,kwa kifupi ni hivi.wiki iliyopita mh.mbowe(m/kiti)alikuwa na ziara ya kuwanadi wagombea udiwani kupitia cdm ktk mikoa ya mbeya na njombe,alipotoka iringa alipitiliza kwenda mbeya bila kupitia kwake ,hapo ndo povu lilipoanza kumtoka mzee nyimbo kuwa viongozi wa kitaifa hawa mheshimu ,alipiga simu kwa dr,slaa kulalamika juu ya hili lkn dr.slaa alimjibu kuwa kwenye ratiba hakukuwa na ratiba ya m/kiti kupitia kila jimbo na muda ulikuwa mdogo sana na sehemu za kupitia zilikuwa nyingi sana.mzee nyimbo akawa analalamika sana juu ya kutopitiwa nyumbani ili aongozane naye huko mby na makete then ludewa .kama humjui unaweza ukasema jamaa ni jembe sana lkn kiukweli kwa aina ya siasa za sasa huyu mzee haziwezi kabisa na ni mbabe anayetaka analosema yeye ndo la kufuatwa hata kama linamakosa .kila lakheri kuko aendako sisi alitukuta tukipigania kukijenga chama chetu ametuacha bado tunasonga mbele,tunatangulia ktk mapambano huyu mzee atatukuta mbele tukiwa tayari yunafaidi matunda ya nchi yetu

Nakushukuru mkuu umemaliza kila kitu.Pia ikumbukwe huyu mzee ni mwasisi wa chama kilichokufa cha PONA.
 
Najaribu kukusanya yale yote yanayosemwa na baadhi ya wananchi ambao wamejitoa katika CDM. Hizi zinaweza kuwa kasoro za CDM ama ni kelele tu za hao waliojitoa. Kwani lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Ukanda na ukabila katika CDM umekanushwa kwa vielelezo na takwimu, na nategemea hili jipya la umangimeza kutolewa ufafanuzi vilevile.
Yeye ndiye anayetakiwa kulitolea ufafanuzi kama anaweza.Kama hakutaka kuwa mlezi,maybe alitaka kuwa katibu ama mwenyekiti?Jiulize,ni nini alikitaka ndani ya chadema?Ni nini kilimfanya akahamia chadema?Kama alikuwa anaamini mtu kwanza,chama baadaye,nini kilimfanya akahamia chadema?Ni mnafiki tu,tatizo liko kwa chadema kuwakaribisha wanafiki kwa sababu wanazozijuwa wao.Chama wanatakiwa wakijenge kuna wananchi wengi tu wenye uwezo ambao hawakuwahi kuwa kwenye chama chochote cha kisiasa,sasa huyo aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya ccm for 10 years,leo ndiyo amegundua mtu kwanza chama baadaye?Alisema aliyaamini hayo toka kitambo,sasa alienda chadema for what?Unaelewa maana ya umangi meza?Huyu anayeamini mtu kwanza chama baadaye,angepata uongozi wa chama angefanya nini?
 
Nani anajuwa kwamba wewe siyo Nyimbo?Na angepata ubunge kwa kupitia chadema angejitoa?Si alikuwa mbungu kwa kupitia ccm kwa miaka 10?Hana lolote huyo,makosa ni ya chadema kusifia watu hovyo hovyo na kukaribisha makapi bila kuayapima,eti mlezi.Vitu vingine bana!

Ni kweli mkuu.Hii kukumbatia majitu yaliyotemwa CCM soon itakuwa janga ndani ya chama.Inafika mahali hata makapi na matakataka yanapewa Ulezi.My foot! Wapo vijana wengi wanaifia CDM bila hata kutambuliwa.
 
Ni Kweli alikuwa anasifiwa na hata kazi alizokuwa anazifanya kwa kweli zilikuwa nzuri. Kama ni kweli nadhani sio habari njema.

Vema tujue kama ni kweli maana mpaka sasa ni tetesi. Tujue kajitoa kwa sababu gani na anakwenda wapi.
Ni vizuri pia kama tutajizuia kuwa wepesi kuwaona watu tuliokuwa nao hawafai pale wanapoondoka. Anaweza kustaafu siasa jumla, then what a shame will we get by berate him?

Inavyoonekana, kachukizwa na kitendo cha Dr Slaa kwenda kufungua tawi la CHADEMA la Nyololo, ilihali tayari tawi hilo alishalifungua yeye. Kikubwa anacholaumu Nyimbo ni umangimeza wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Ile kudhani kwamba wao ndiyo wa maana zaidi kuliko wenzao wanaojenga chama kule chini.

Katika hili slaa na Mbowe wajisafishe, maana tumempoteza mpambanaji mhimu sana katika chama. Huyu jamaa alikuwa anatumia hela yake ya mfukoni kukijenga chama. I wish akina Slaa wajishushe na waende wakampigie magoti jamaa kwa maslahi ya chama. Namfahamu Nyimbo si mtu wa kujinyenyekeza kwa mtu, japo ni mchapakazi mzuri.

Hili ni pigo kubwa kwa chadema kwa mikoa ya kusini mwa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
naona wengi hammjui huyu mzee,nimefanya naye shughuli za chama muda mrefu sana toka awepo cdm ni moja ya wazee wanaopenda kuabudiwa kama mfalme ,anapenda hadi viongozi wa cdm wa taifa wafuate aina ya siasa zake,kwa kifupi ni hivi.wiki iliyopita mh.mbowe(m/kiti)alikuwa na ziara ya kuwanadi wagombea udiwani kupitia cdm ktk mikoa ya mbeya na njombe,alipotoka iringa alipitiliza kwenda mbeya bila kupitia kwake ,hapo ndo povu lilipoanza kumtoka mzee nyimbo kuwa viongozi wa kitaifa hawa mheshimu ,alipiga simu kwa dr,slaa kulalamika juu ya hili lkn dr.slaa alimjibu kuwa kwenye ratiba hakukuwa na ratiba ya m/kiti kupitia kila jimbo na muda ulikuwa mdogo sana na sehemu za kupitia zilikuwa nyingi sana.mzee nyimbo akawa analalamika sana juu ya kutopitiwa nyumbani ili aongozane naye huko mby na makete then ludewa .kama humjui unaweza ukasema jamaa ni jembe sana lkn kiukweli kwa aina ya siasa za sasa huyu mzee haziwezi kabisa na ni mbabe anayetaka analosema yeye ndo la kufuatwa hata kama linamakosa .kila lakheri kuko aendako sisi alitukuta tukipigania kukijenga chama chetu ametuacha bado tunasonga mbele,tunatangulia ktk mapambano huyu mzee atatukuta mbele tukiwa tayari yunafaidi matunda ya nchi yetu
tweve, japo nakubaliana na wewe kuhusu ubabe wa huyu mzee, and I know him very well katika suala zima la kujiona yeye yupo juu ya kila mtu, nadhani kwa wakati huu ambao tunahitaji sana kukijenga chama kule kusini huyu mzee alikuwa bado anahitajika sana.

Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mbowe kumjulisha Nyimbo kwamba anakwenda kule na kumtaka Nyimbo aungane naye huko? How much does it cost to invite this person to join in a campaign? As far as anafahamika kwa jitihada anazozifanya katika kukijenga chama, mimi sioni ubaya kama viongozi wa juu wa chama wangeendelea kumnyenyekea kwa maslahi ya chama, halafu huko mbele ndiyo wakaonyesha makucha yao. Lakini nina wasiwasi sana kama nyie akina Tweve mtaiweza mikikimikiki ya huko mkiwa peke yenu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu.Hii kukumbatia majitu yaliyotemwa CCM soon itakuwa janga ndani ya chama.Inafika mahali hata makapi na matakataka yanapewa Ulezi.My foot! Wapo vijana wengi wanaifia CDM bila hata kutambuliwa.
Ndipo hapo huwa ninashangazwa,mtu amehamia chadema tu eti anakuwa mlezi.Ulezi anapewa anayeaminika,ukiniuliza ni nini kilimfanya aaminike hivyo sikijui,tena mtu aliyekampeni kwa kusema "mtu kwanza chama baadaye."?

Unless maana ya ulezi ni tofauti kwa chadema.Kuna namna chadema ni wababaikiaji wa majina.
 
Ni wewe huyu? Maana usije kuwa huitakii CDM mema kwakysena madhaifu haya...
 
Back
Top Bottom