Kakosa cheo huyo.
Mimi nipo hapa ilembula ambako ndio nyumbani kwake,nimefuatilia habari hii kwa mtu wake wa karibu,ni habari ya kweli kuwa nyimbo amejitoa cdm.ni pigo kwa cdm
Nimepigiwa simu na mkazi mmoja wa njombe,kuwa aliyekuwa mgombea wao wa ubunge mwaka 2010,amejitoa ndani ya Cdm!kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi naomba atujuze!
Sosi??
Nape Jr at work! Muelevu ameshajajua ni chama kipi cha fujo, kumbuka Igunga, Arusha, Ilemela, Iringa kwa yule diwani Chonanga, etc. nendeni mkaziakane wafu nyie ccm. Mnaiga hata kushona magamba!Ameona chadema ni chama cha fujo.kusini hawapendi kabisa fujo
Sosi??
jimbo la jah pipo
jimbo la jah pipo
Nipo Njombe sijasikia ila hata ikijitoa majembe mengine yatajitokeza maana Nyimbo si Tanzania ni nyimbo tu. Kwa ufafanuzi aligombea Njombe Magharibi kwa Lwenge na si Kwa Makinda Njombe kusini wala Jah People (Sanga)- Njombe Kaskazini upepo usipogeuka hakuna aliye salama si Makinda, jah wala Lwenge ifikapo 2015. Nyimbo ni tough lakini rough si sahihi sana kwake kuwa CDM hana tofauti sana na Mzee wa Maswa Shibuda maana hawa wawili nimewahi kukaa nao meza moja nikifanya kazi majimboni mwao.
Nimepigiwa simu na mkazi mmoja wa njombe,kuwa aliyekuwa mgombea wao wa ubunge mwaka 2010,amejitoa ndani ya Cdm!kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi naomba atujuze!