Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Tatizo la Chadema ni kuwa mtu akiwa tofauti kidoogo
watamuita msaliti
ukitazama ya bawacha
bavicha
ya mwanza na hili....ni ishara ya kitu fulani
 
Unajua haya majizi yaliokua sisiemu bila takrima na dili mara michongo maisha yao hayaendi kabisa , Mwalimu Julius Kambarage nyerere alisema ukila nyama ya mtu hiyo dhambi utakua unatembea nayo mpaka kufa,sasa huyu jamaa kaja Chadema akijua huku pia anakuja kula na kuiba mali za walala hoi,Chadema unatakiwa uje na dhamira ya kujenga sio kujengwa.hizo nyimbo zake akapigie huko kwa wazee wa kujivua gamba.
 
Amechoka safari ya kanini huyo, sie tunamwamini Jah mpaka tukafike katika nchi ya Ahadi yenye maziwa na Asali!

Mr Nyimbo unaamua kurudi Misri kweli????
 
Lazima ajitoe tuu tunajua alitegemea kutakuwa na kiwanda cha kutengeneza pesa!
Bora amejitoa mapema kabisa arudi kwao!

Cdm si nyimbo!
 
hajapata alichotumwa kukitafuta. Anajifanya yuko neutral si ccm wala chadema! Mnafiki huyu. Desmond Tutu aliwahi kusema " if you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Aseme tu amerudi ccm alichokuwa ametumwa hajakipata. Ameamua kudandia meli iliyotoboka.
 
Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga
 
hajapata alichotumwa kukitafuta. Anajifanya yuko neutral si ccm wala chadema! Mnafiki huyu. Desmond Tutu aliwahi kusema " if you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Aseme tu amerudi ccm alichokuwa ametumwa hajakipata. Ameamua kudandia meli iliyotoboka.

True anarudi CCM, Sababu kubwa inaweza kuwa amepiga mahesabu ya 2015 akaona Jimbo analo taka kugombea kuna Vijana wako juu zaidi yake akaona ni bora asepe tu,
 
hakuna shida, akapumzike kwa amani mbali ya kwamba alikuwa nguzo muhimu kwa cdm kanda hiyo ya njombe, but kumlazimisha kubaki nikutafuta matatizo zaidi, asante kwa uliyofanya na tunakutakia kila lakheri mapambano yanendelea CDM itasonga tu hata bila wewe.....

kulazimisha penzi, ni sawa na kulazimisha fani mwishowake unaleta utani, kama demu hataki mwache aende zake usimbake.. kama ni uarabuni utanyongwa!
 
aeende salama ajaribu tena baadae amekaaa kinafiki zaidi cdm sio nccr kwambaukiingia utapekuwa mpaka chupi
 
Inanishangaza kuona mtu aliyepata kuwa mbunge kwa miaka kumi akiwa CCM, na kisha kuhamia CDM kwa lengo la kuendelea kuwa mbuge lakini akabwagwa, leo hii aje na wimbo wa sera ya taifa!!!???.

Huyo mhe. asituongopee, nchi zote zenye mfumo wa vyama vingi kila chama huwa na sera zake japo za taifa huwepo pia. Hata TZ, zipo pia sera za taifa na pia zipo za vyama. Hivyo hilo lake kuhusu sera siyo geni kwa TZ.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kwamba, huyu bwana nadhani alitegemea kuneemeka kupitia CDM. Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo na yawezekana biashara zake nazo zina mikwamo kupitia dola, hivyo ameona njia ya kujinasua ni kuachana na CDM, lakini si kweli kwamba anakimbia umangimeza.

Kama ungekuwepo huo umangimeza Mhe. Tendwa angekuwa wa kwanza kuipiga ngoma hiyo.
 
Huy mtu hatosheki ana watoto wazuri,hela! bado tu linahangaika.iko siku litasema linauacha Ukristo linakaa bila ya Dini!!!
 
Back
Top Bottom