Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!


watties.jpg
 
Huyo atakua alikuja kivingine,huku chadema unatakiwa uje na hela ,sisiemu ndio wanatoa hela, hongo,rushwa na takrima,au alikuia anataka kumalizia fainali yake CHADEMA,ahahahaaaaaa amechemka fulu.
 
Juzi juzi walikua wanamsifia humu sasa ngoja tukae mkao wa kusoma matusi atakayopokea toka kwa wanazi wa chadema humu
Ni Kweli alikuwa anasifiwa na hata kazi alizokuwa anazifanya kwa kweli zilikuwa nzuri. Kama ni kweli nadhani sio habari njema.

Vema tujue kama ni kweli maana mpaka sasa ni tetesi. Tujue kajitoa kwa sababu gani na anakwenda wapi.
Ni vizuri pia kama tutajizuia kuwa wepesi kuwaona watu tuliokuwa nao hawafai pale wanapoondoka. Anaweza kustaafu siasa jumla, then what a shame will we get by berate him?
 
Vyovyote itakavyokuwa, CHADEMA ni taasisi, haijengwi na mtu mmoja. So let him go.
 
Labda Ritz ni CDM !!!!

Mwacheni Ritz anaipa hadhi JF iwe kwa hoja au ushabiki bila matusi kama wengine wafanyavyo. Hata mahakamani pamoja na kuwa na source zote za hakika kwamba mtu amehusika katika kashfa ya criminal case, Jamhuri itampatia mtu wa kumtetea hadi haki itendeke. Kinachoendelea hapa nakipenda kuwa na watu wa pande zote kwani ndiko kukomaa na kujengana.
 
Mimi nipo hapa ilembula ambako ndio nyumbani kwake,nimefuatilia habari hii kwa mtu wake wa karibu,ni habari ya kweli kuwa nyimbo amejitoa cdm.ni pigo kwa cdm
 
Back
Top Bottom