Sikubaliani na wewe dogo uchumba wa muda mrefu sio mzuri mara nyingi huishia kubwagana pengine kwa sasa una msukumo zaidi wa hamu ya kufanya mapenzi zaidi ya ndoa jaribu kulidhibiti hilo na komalia kitabu haya mambo yapo tukuoa c leo,bt lazma 2jenge mahusiano,uchumba then ndoa,so mda wa kumake mahusiano ndo sasa.
ahahahhahahhha nahis umefikia ile hatua usiyopenda kufikia
KUKASIRIKA!
hapa kuna mtu sasa hiv anapigwa kerbu!
Dada mkubwa taratibu, asije kujitundika bure!!! Dogo kaniangusha sana nikiwa kama mwanaume lakini ndiyo hivyo tumsaidie hivyo hivyo.yaani kwanza mwali nimevimba kwa hasira
hivi huyu ni mwanaume kabisa lotahiriwa na ni rijali??
yumkin tohara za yule Dr wa kkoo zinaharibu watoto wa kiume.............
hapa nimeangalia kidudu cha yule alokudai visheti nikataman nikakikate mara ya pili mstuni kwenye maji ya baridi labda akili itakuja nzuri zaid...............
mitoto ya kulelewa kimadeko madeko majanga yake ndo haya
mwanaume unapita kabisa eti unajidai wewe bikra, hivi hii ni sifa ya kiume ama ya kike??
kwanza nani alimwambia wanawake wanashida na huo ubikra wake??
huo ubikra awapelekee wanaofumuaga marinda wakamtoe manake hajielewi.....
ama la mwali ukute kasema ubikra kumbe anaomba afumuliwe rinda akidhan ndo uanaume.
naomba ni log off.
Dada mkubwa taratibu, asije kujitundika bure!!! Dogo kaniangusha sana nikiwa kama mwanaume lakini ndiyo hivyo tumsaidie hivyo hivyo.
miss chagga nimekupenda bure na majibu yakooooo.....I want to mary uuuu......hahaaaaa daaagh we lugano5 wacha kuwa mzembe ivyo yani unaleta drama kabisa....sasa we hujui ukitakacho maana unasema unasaka mke hapo hapo miss chaga anataka kukutafutia wa kutolea undewa pia unakubali.....watu wamekudharau no wonder DEMBA anakuuliza una bikra ya nyuma??......ooooops
mmmh,kivipi?
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
new generation ya wanachuo.....i'm speechless
thanks kaka,bt time goes i must have a girl.
sio kwa gia ya kuoa,bali its true am looking for a girl to marry.
ndo hapo sasa nyie wanaume wenzie kumsaidia.........
ameonyesha ni jins gani huko mbelen tutakosa wanaume wa kweli
vigezo ulivoviweka vinafafana na me that why nikakwambia utafikiri ulikuwa unanitaka me............. ila we ni mtoto
acha kuchanganya mambo mawili 1993 bado unanuka maziwa na mama....Mshikilie Elimu usimwache akakuponyoka kwa sababu ya kukimbizana na ma.kahab.a. Piga shule tu. Ipo siku watakufuata mpaka utashangaa...
mdogo wngu ungejua unacholilia wala usingepoteza muda wako kujihuzunisha nafsi! Huta elewa ninacho maanisha mpaka uingie yakukute ndo akili ikufunguke! Shinikizo l lika ndilo linalo kusumbua.