I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
sio silipi,i am very handsome kaka
thanks kaka,bt time goes i must have a girl.
weeee! aliyekwambia degree huchukuliwa nani? Zinasomwa tena kwa msoto mkali na manyanyaso kutoka kwa lecturers (japo sio wote). siku hizi kila kitu vijana wamesimplify, ndo maana unasema unachukua degree. soma kijana usichukue degree. au mwenzetu huko chuon degree zimetundikwa sehemu fulani, ukifika hapo unazuga miaka yako 3,4/5 then unaibeba?
ahahhahahha af wewe
ujue bado nna hasira na wewe!!poa tu!
af hii habari ya watoto wa kiume siku hiz kuadopt tabia za mama zao inatoka wapi!
zamani mtoto wa kiume alikuwa ANATAKA KUWA KAMA BABA!
UKIMWAMBIA MWANANGU UMEKUWA MREFU SIKU HIZI ,ye anaitikia KAMA BABA ENH!?
mwanangu kula haraka haraja ,ye ANAITIKIA KAMA BABA ENH?
Asprin, Dark City Kaizer Mtambuzi SnowBall HorsePower na wengine mna kesi ya kujibu!
HIVI SIKU HIZI BADO MNAENDELEA KWA MAROLE MODEL KWA WATOTO WENU WA KIUME JAMANI?
this is scary asee
natishika maana nahofia binti zangu wasije pata waume wanaolia lia mtoto kaumwa mafua ye anapiga simu kwa mamake !mxiiiiiiiiiiiiiiu!
Huwezi kukubali ila akina mama mnatuharibia watoto aisee,....
Babu DC!!
virginity ipi?
Una miaka 20...
Unataka kuoa..
Hata ingekuwa mie unaniambia hayo ya kutaka kunioa ningekuona msanii tu..
kama uliyotolewa
sio silipi,i am very handsome kaka,and very bright
hebu fanya maamuzi sahihi ya kukamilisha kilichokuleta chuo sio kuleta uhandsome ili kupata mabinti,ngoja nikupe mfano mzuri kuhusu mimi wakati naanza chuo miaka hiyo niliwahi kuwa na fikira za kijinga kuhusu mapenzi nilidhani kuwa handsome inatosha kupata msichana nimpendae lakini nilikuwa wrong kwani nilipungukiwa kitu ambacho ni cash kwahyo wasichana pamoja na ubright na uhandsome hawakushoboka na mimi sababu sikuwa na pesa ya kutosha kujihudumia mimi mwenye,
wazo langu kwako jenga maisha mazuri kwa kutumia uwezo wa akili ulionao na utampata umpendae awe mzuri au mbaya.
>KUMBUKA CHUONI SIO SEHEMU YA KUTAFUTIA WACHUMBA NA WAPENZI.
Kula kitabu dogo achana na milupo kuwakosa tu ushachanganyikiwa jee ukimpata kisha akakutema si utajinyonga wewe?
ahahahhahahhha nahis umefikia ile hatua usiyopenda kufikia
KUKASIRIKA!
hapa kuna mtu sasa hiv anapigwa kerbu!
Mbona wengine tulimaliza Chuo bila girlfriend hali ya kuwa ni Marijali? kazana na kitabu dogo that is is the first priority for you!
Soma kwanza mapenzi yapo