Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
naweza kukubaliana na wewe........mkuu yoyo nitaua
nyani ni muangaliaji wa UFC tu hana lolote!!!
naweza kukubaliana na wewe........mkuu yoyo nitaua
nyani ni muangaliaji wa UFC tu hana lolote!!!
thats whats up cupcake....ila i can handle this guy....no worries.....
That's right cupcake!...anakuangalia kwa wasiwasi uh.
No, huwa wanapambanishwa watu watu wa fani mbali mbali wakiwemo karate, judo, na kung fu. Siku hizi fighters wengi wanakuwa wako trained ktk fani zaidi ya moja kwa hiyo mara nyingi kumkuta mtu aliyeko one dimensional inakuwa vigumu kidogo. The sport has really progressed over the las decade....
Na wakati huo unafikiria kuua cupcake wangu sijui miye nitakuwa wapi?!....Maana i did take karate class plus kick boxing yaani i will practice on you most definetely.
uzuri wa karateka teke moja linaweza piga hata watu kumi,kwahiyo nyie jikusanyeni muwe wengi haina shida!!!
naweza kukubaliana na wewe........
enheee umekuja mulemule nilikokutaka
sasa nyani unachobisha kiko wapi wewe?hiyo michezo yote ina vikorombwezo vya martial art ya mchina na mjapani,kwahiyo kinachotofautiana ni styles tu hapo.kama wewe two knuckles unazi position laterally kwenye ring mimi nazi point dorsally nk
ndiyo kusema wanaochapana UFC wote wana ideas na martial art kwahiyo karateka anayechapwa anachapwa na mtu anayejua karate pia na siyo muangaliaji wa karate kama wewe nyani ngabu,kwi kwi kwi!
Yaani wewe mjinga kweli. Unathibitisha kile nilichokuwa nakidhania.
Ninachosema mimi ni kuwa, watu walio one dimensional, say karateka, kwenye Octagon ya UFC hawajawa na mafanikio kama baadhi ya watu wanavyodhani. Ukiangalia ma champion wengi, kama vile Randy Couture, Chuck Lidell, Tito Ortiz, na wengineo, wengi wao wana background ya graeco roman wrestling na jiu-jitsu.
Nitajie karateka yoyote yule aliyewahi kuwa champion katika UFC na Pride? Nitajie hata mmoja tu...
Unavyozidi kubisha ndio unazidi kuonyesha ujinga (ignorance) wako kuhusu mixed martial arts!
una maana kwenye ngumi za mtaani hakuna utaalam hata mtu wa jiu jitsu(wacha karate na kung fu) ambayo imetoa mabingwa UFC kama ulivyodai anaweza kunyukwa na mtu yeyote tu ili mradi awe na ujasiri wa kuzipiga.
hapa ndipo ubishi ukaanza.nikakubishia kuwa haiwezekani.
unielewe-mimi hoja yangu ni kuwa mtu aliyepitia any style of martial arts can not be defeated by a layman like you nyani usiyejua hata kusimama katika stance moja ya kimichezo.
Unaona sasa! Yaani hukunielewa kabisa. Zero..zip..nada! Soma tena hayo maneno yangu. Keywords wapo ni "anything goes". Ndiyo, wewe kama una advanced training ya Martial Arts utakuwa na competitive advantage dhidi ya layman asiye na ujasiri. Unaweza ukamdunda kwa kutumia psychological warfare peke yake bila hata kurusha overhead roundhouse kick. Lakini kumbuka nazungumzia streetfight hapa na kama nilivyosema anything goes. Sasa mimi nikiwa na mchizi wangu YNISM na kichaa wangu Masanilo na Koba, halafu eti wewe unaleta zako za kuleta. Mimi nakudindia, tunaanza kuzipiga....soon unastukia YNIM kakupiga mtama na umelamba sakafu, mchizi wangu Masa naye anakuja anakuvunjia chupa ya Heineken kichwani....Koba anatoka chooni anakurushia stool halafu anaanza kukutimba na Timbalands zake....sasa hebu nambie huo Usensei wako utau-apply saa ngapi?
Kusema martial artist "can not be defeated by a layman" in a streetfight ni uongo. Hata kwenye octagon, cage, au ring huwezi kusema hivyo. Hata Vegas oddmakers bado watampa chance huyo layman. In a fight (provided it is a fair fight) you always have a fighting chance. Kusema "can not be defeated" is a stretch!
nyani hapo hakuna swala la anything goes,issue ni whether you got the fighting skills or not.
Mfano mwingine nina rafiki yangua naye alikuwa anafanya hiyo michezo ya kuruka ruka tangu primary naye siku ya siku kaviziwa pale Keko ngazi mbili karusha rusha mateke na ngumi jamaa akamuotea na kipisi cha nondo cha usoni akazirai.
Hakuna rules kwenye streefighting...hakuna referee atakayesimamisha mpambano kama umezidiwa, hakuna rounds wala nini.....hiyo ndiyo maana ya anything goes....now what part of that don't you understand?
Na streeft fight most likely itakuwa ni brawl i.e. man to man, hand to hand , and everything else around you....hiyo ndio maana ya anything goes....kipi kigumu kuelewa hapo?
ndiyo maana nasemaje kinachomata ni ujuzi,kama huna utanyukwa awepo refa asiwepo,kuwe na round kusiwe na round,uwe na panga usiwe na panga,ngumi za mtaani au ulingoni.
haya mambo ya kumkabili mtu mwenye silaha,kupigana na mtu zaidi ya mmoja yote yanafundishwa kwenye martial arts
wewe hujawahi kwenda dojo ndiyo mana huyajui yote haya.kwa taarifa yako mazoezi ya viungo ya dojo kama mwalimu mzuri ni tosha kabisa kumdhibiti mtu asiye na mazoezi wacha zile teknikali zenyewe za mchezo.
huwezi kuvuka hata dakika moja wewe....
We mtarajiwa huyu nyani Ngabu mkwala tu hana lolote huyu kelele tu watu kama hawa wanakuwa na mbio sana kwa riadha ndio wenyewe.
Hivi utakikabili vipi kitofa kilichoelekezwa kwako? Utakabili vipi chupa?