This is too Much: Mchina atesa jijini!

Kwenye MMA hakuna cha dojo wala usensei. Kila siku hao watu wa kareti na sijui kung fu wanabondwa tu. Siku hizi huwezi kuwa one dimensional. Kama ukiwa well versed ktk fani za msingi i.e. (stand-up boxing, graeco roman wrestling, na jiu-jitsu) basi wewe utakuwa na nafasi nzuri ya ku take on all comers.

Trust me, I know this stuff and I follow it religiuosly!

nyani,ni wapi huko wanakobondwa hao watu wa karate/kungfu?wanabondwa na nani?nyani,mimi nili train shotokan bongo like 4yrs ago now but i still remember most of the techniques if not all na believe me although now i just need physical exercises lakini ukitaka komite na mimi huku ukitegemea hiyo mieleka yako au yoga sijui haki nitakutoa nishai!!ukija kunivaa na hiyo mieleka basi kabla hujafika nakusogeza na yoko ya mbavu,tehe tehe tehe!
 
Mimi ni avid fan wa mixed martial arts and i never miss any exciting ppv event...be it the UFC, the now defunct Pride, Affliction, etc. Nimeanza kuangalia UFC since '94.

Do you know what the UFC is? Or do you know what Mixed Martial Arts is? Do you know the rationale behind the inception of Ultimate Fighting Championship? Do you even know what I'm talking about here?

Do you know anything about the legendary Gracie family?
 
maneno meengi...kumbe ni muangaliaji tu
nilidhani naongea na mcheza kumbe ni mpenzi wa mchezo!
 
Hiyo ya uangaliaji ni tafsiri yako wewe.....

mimi nimecheza shotokan mpaka mkanda wa njano.najua vya kutosha kuhusu karate,historia yake,madhara yake,miiko yake naweza kukuchambulia vyote... sasa nawe sema unajua mchezo gani kwa kiwango gani siyo hizo blabla za kuangalia UFC tangia 94.kwani mimi kuangalia UFC siwezi?
 
huwezi maana ungekuwa unaweza ungekuwa unaona hao makarateka wanavyonyukwa....
 
Kwenye MMA hakuna cha dojo wala usensei. Kila siku hao watu wa kareti na sijui kung fu wanabondwa tu. Siku hizi huwezi kuwa one dimensional. Kama ukiwa well versed ktk fani za msingi i.e. (stand-up boxing, graeco roman wrestling, na jiu-jitsu) basi wewe utakuwa na nafasi nzuri ya ku take on all comers.

Trust me, I know this stuff and I follow it religiuosly!

Hapo kwenye red itakuwa ulionewa sana udogoni au mambo ya kujiweka tayari tayari kukwepa vibaka.

Haya mambo ya chi-sah, wo-ha na kuruka ruka nikija na Glock 45 yangu alafu nakudidimiza risasi moja kwenye unyayo lazima utulie.
 
Tatizo lako nadhani hatuko kwenye ukurasa mmoja. Kwa kuanzia tu tembelea hizi sehemu www.sherdog.com na www.mmaweekly.com

Ukishajielimisha kidogo, njoo tujadiliane kama watu walio na ufahamu na wanachoongelea.

sawa mkuu lakini kabla sijaenda kujielimisha huko ulikosema nikuulize kwa mara ya mwisho
hiyo mixed martial arts haina elements za traditional chinese/japanese martial arts kwa mfano?
 
Hahahahaaa...ndio maana ikaitwa 'Mixed' Martial Arts kwa sababu ina combine elements za fani mbalimbali hata streetfighting. Na ilianzishwa kujibu lile 'age old question'...ambalo kwa mfano, ni nani zaidi kati ya mpiganaji kung fu na karate...au nani zaidi kati ya mwanamieleka na bondia...au nani zaidi kati ya expert wa muay thai na jiu-jitsu.

Siku hizi watu wana train katika genre mbalimbali. Mambo ya one dimensional yameshapitwa na wakati na watu wengi walio one dimensional hawafiki mbali ktk UFC au Affliction. Fikiria, wewe ukiwa bondia na mimi nikiwa na pedigree ya graeco roman wrestling, jiu-jitsu, na kickboxing kidogo...halafu tunazipiga. Wewe sana sana utakachokuwa unaombea kitokee ni ubahatishe ngumi kwenye kidevu na uombee kidevu changu kiwe cha glass (glass chin). Je hilo lisipotokea utafanya nini? Do you have any takedown defense? Can you sprawl? What about fighting on your back? In what other ways can you end the fight other than getting lucky and knocking someone down?

On the other hand, because I'm well versed, well rounded, I can end the fight in so many ways...I can submit you by an anke lock, I can choke you out, I can put an omma plata on you, submit you using an anaconda choke, or I can just take you down and ground and pound you into submission.

Dude, I know this stuff. You can also check out this site UFC® : Ultimate Fighting Championship®
 
nyani nina swali lingine. kwenye UFC huwa wanapambanishwa watu wa mixed martial arts au?
 
No, huwa wanapambanishwa watu watu wa fani mbali mbali wakiwemo karate, judo, na kung fu. Siku hizi fighters wengi wanakuwa wako trained ktk fani zaidi ya moja kwa hiyo mara nyingi kumkuta mtu aliyeko one dimensional inakuwa vigumu kidogo. The sport has really progressed over the las decade....
 
Back
Top Bottom