This is too Much: Mchina atesa jijini!

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
10585.JPG

A Chinese man grabs a suspect by the shirt after he accused him of pick pocketing on samora Avenue in dare s salaam yesterday. Mnaoishi karibu na Zawadi saluni hamkuiona hii ?
 
sasa kibaka popote duniani ni wakushughulikiwa tu!

Iwe Bongo, Nairobi au Beijing!

sasa kama utawala wa sheria Bongo kidogo..unategemea nini?
 
Ila hiyo njemba hapo inamshukuru sana huyo mchina ,maana kama ingetumika Pinda Version(CCM Vol.PM2) ,wangekwisha mpeleka muchwari.
 
You bet! The guy is very lucky. Kakamatwa na mtu asiyependa kujichukulia sheria mkononi. Ana bahati kweli kweli. Hiyo ingekuwa mtaani kwetu, watu tungemuomba mchina atuachie tupashe kidogo. Then tunamrudishia mwizi wake akiwa hajiwezi.
 
........Mwiba....acha hizo aisee.....kwi kwi kwi kwi...
 
10585.JPG

A Chinese man grabs a suspect by the shirt after he accused him of pick pocketing on samora Avenue in dare s salaam yesterday. Mnaoishi karibu na Zawadi saluni hamkuiona hii ?

Nimeangua bonge la cheko baada ya kui study hii picha vizuri. Huyu mswahili mwenzetu anaonekana ni bonge la mtu ukimlinganisha na huyo mchina, am sure kama angekuwa amedakwa hivyo na mswahili mwenzie angefight back, lakini kwa kuwa ni rangi nyeupe na anadhani kila mchina ni Bruce Lee, jamaa kawa mpole kichizi!
 
Niliiona ilikuwa Alhamisi au Ijumaa Mtaa wa Samora karibu na ofisi za Daily News jamaa alimchomolea simu mchina akamdamka akampiga kabali akamtwanga ngumi then akawa anaulizia kituo cha polisi akawa anamkokota mwenyewe hadi kituoni
 
10585.JPG

A Chinese man grabs a suspect by the shirt after he accused him of pick pocketing on samora Avenue in dare s salaam yesterday. Mnaoishi karibu na Zawadi saluni hamkuiona hii ?

Sasa ndugu yangu Mwiba, hiyo heading yako mbona kama inaleta uchochezi fulani ambao si walazima na haiendani na tukio halisi?

Huyo kijana kama ni mwizi, mwizi ni mwizi tu! Hatuwezi kumwacha mwizi anayemwibia mchina eti kwa sababu mchina ni non citizen na mwizi ni mbongo......! mwizi ni mwizi tu! Tena mi nafikiri (kama walivyochangia wengine)heading yako ukiweka ''Mchina amwokoa kibaka wa ki tanzania'' kwa sababu huyo mchina angeamua kupiga kelele ya mwizi mwizi, mshikaji ingeshakuwa TUMPELEKE!

Asante mchina kwa kuheshima haki za binadamu, lakini jiangalie kesho watakurudia!
 
You bet! The guy is very lucky. Kakamatwa na mtu asiyependa kujichukulia sheria mkononi. Ana bahati kweli kweli. Hiyo ingekuwa mtaani kwetu, watu tungemuomba mchina atuachie tupashe kidogo. Then tunamrudishia mwizi wake akiwa hajiwezi.

Huko mtaani kwenu wapole kumbe......sisi mtaani kwetu, vijan wangemuonyesha kimfuko cha majivu in 3 min!
 
Nimeangua bonge la cheko baada ya kui study hii picha vizuri. Huyu mswahili mwenzetu anaonekana ni bonge la mtu ukimlinganisha na huyo mchina, am sure kama angekuwa amedakwa hivyo na mswahili mwenzie angefight back, lakini kwa kuwa ni rangi nyeupe na anadhani kila mchina ni Bruce Lee, jamaa kawa mpole kichizi!

Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.

Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.

Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.
 
Mkubwa hiyo kabali aliyopigwa ilikuwa balaa jamaa akawa hana ujanja
 
Hamna bana....ilitakiwa jamaa hapo ageuke na kumpiga kipepsi cha nguvu huyo Mchina....mwenyewe angeachia huo mkunjo

Then wabongo walikuwa wamejaa na wanamshangilia Mchina na kumuonesha kituo cha polisi
 
Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.

Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.

Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.

Nyani usiombe kubambwa ,maana kwa kweli unakuwa huna nguvu wala ujasiri halafu sehemu yenyewe ndio hapo ,jamaa akitania tu umemalizwa, yaani kama kujitetea wangejitetea wengi. ila huyo jamaa anaonekana mnyonge kabisa na kichwa ameinamisha ,nafikiri hata wenyeji walishikwa na butwaa kwa jamaa alivyonywea maana kama angejaribu kwenda kibabe kichwa juu mara angeshitukia missile inatua kwenye kichwa ,kuna watu wanashabaha hasa kwa mabo ya kupopowa wezi walioko chini ya himaya ,nakumbuka jamaa alipigwa kitofa huku akiwa ameshikiliwa na polisi ,jamaa walifikiri polisi angemuachia na kumfuata alierusha kitofa ,lakini polisi akabaki nae tu....Usiombe hata kama unajua uchawi siku hiyo hautokusaidia kitu si unaona mafisadi wanavyorusha unga bungeni.
 
Hamna bana....ilitakiwa jamaa hapo ageuke na kumpiga kipepsi cha nguvu huyo Mchina....mwenyewe angeachia huo mkunjo

Mbongo hangeweza kufanya hivyo coz alijua yuko kny safe hands, angempiga kipepsi mchina na kuanza kukimbia mchina angemwitia MWIZI......! then angekuwa maiti muda si mrefu so ilikuwa awempole tu!
 
Nyani usiombe kubambwa ,maana kwa kweli unakuwa huna nguvu wala ujasiri halafu sehemu yenyewe ndio hapo ,jamaa akitania tu umemalizwa, yaani kama kujitetea wangejitetea wengi. ila huyo jamaa anaonekana mnyonge kabisa na kichwa ameinamisha ,nafikiri hata wenyeji walishikwa na butwaa kwa jamaa alivyonywea maana kama angejaribu kwenda kibabe kichwa juu mara angeshitukia missile inatua kwenye kichwa japo yupo chini ya himaya nakumbuka jamaa alipigwa kitofa huku akiwa ameshikiliwa na polisi ,jamaa walifikiri polisi angemuachia na kumfuata alierusha kitofa ,lakini polisi akabaki nae tu....Usiombe hata kama unajua uchawi siku hiyo hautokusaidia kitu si unaona mafisadi wanavyorusha unga bungeni.

Yeah...unachosema ni kweli. Jamaa usikute aliishiwa nguvu kwa sababu alikuwa kaiba au kataka kuiba kweli...
 
Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.

Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.

Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.

we nyani unaijua hiyo michezo lakini au unayajua majina yake tu??
usicheze bana wee,master ni master to popote pale...
mimi nilicheza mpaka yellow belt lakini layman yeyote alikuwa hawezi kunigusa,wala jamaa wa boxing,ni kichapo tu
wacha kabisa na hayo mambo ndugu yangu hasa ukikutana na mtu aliyetoka dojo zuri
 
Kijana una nyenzo nyingi sana kwenye hili swala la kujiokoa....ha ha ah a
 
Last edited:
...kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.

...kuna mwingine yeye hajui kabali, mtama wala mieleka, yeye NDOO TU! ukija hovyo hovyo unatwangwa kichwa mpaka akili inakuruka, marejeo kesho yake wodini...
 
we nyani unaijua hiyo michezo lakini au unayajua majina yake tu??
usicheze bana wee,master ni master to popote pale...
mimi nilicheza mpaka yellow belt lakini layman yeyote alikuwa hawezi kunigusa,wala jamaa wa boxing,ni kichapo tu
wacha kabisa na hayo mambo ndugu yangu hasa ukikutana na mtu aliyetoka dojo zuri

Kwenye MMA hakuna cha dojo wala usensei. Kila siku hao watu wa kareti na sijui kung fu wanabondwa tu. Siku hizi huwezi kuwa one dimensional. Kama ukiwa well versed ktk fani za msingi i.e. (stand-up boxing, graeco roman wrestling, na jiu-jitsu) basi wewe utakuwa na nafasi nzuri ya ku take on all comers.

Trust me, I know this stuff and I follow it religiuosly!
 
Back
Top Bottom