jambotemuv
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 224
- 62
eh!? Wakuu wa mashirika ya umma wanateuliwa na nani na bodi zao zinateuliwa na nani? Mahesabu yao yanakaguliwa na nani na yakiingia matatani nani anawapa ruzuku? Unless unamaana nyingine unaposema "mashirika ya umma yako nje (ya) mfumo wa serikali kuu".
Halafu ukijenga hoja wewe jenga tu bila kurusha madongo, dharau au kwa namna fulani kuwafanya wengine wawe duni kwa sababu wana mtazamo tofauti.
Usitake kumharibia unaejifanya unamtetea kwa kukumbushia hii habari. Kamuulize kwanza kama angependa hii ishu irudi kwenye public domain!
.
Ni kweli! nani kasoma na Rostam A, popote palee? na kama Mzee Mwanakijiji anavyosema alikuwa wapi before 1980, nani kawahi kumuona? maana kuna watu wanasema alikuwa wa kwanza darasa la saba! wapi? na shule gani? Kweli jamaa hana marafiki wa utotoni? Kama alipewa uraia ni lini? na wapi?Prince William, Karibu sana JF. Mchango wako ni muhimu kwenye ukombozi wa wanyonge.
Huyu jamaa Rostam Aziz, kweli alisoma wapi? Manake isije ikawa tuna misukule kila mahali mpaka bungeni!
Sisi wote si malaika, na kuna wakati tunashindwa kujizuia. Lakini kama kuna mtu nimemuumiza feeling zake kutokana na namna nilivyomjibu, naombamsamaha. Siku nyingine, aniambie tu, kuwa Fundi Mchundo, haujanitendea haki nami nitajirekebisha!
Amandla......
I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
Na juzi huyu tapeli akawa na guts kusema hadharani kuwa he has never met nor does he know that man. (Meaning Ballali) The man is a liar na wanaomtetea wanapaswa kuchunguzwa akili zao.In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.
I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
- Mkuu leo asubuhi kuna mahali umeshambuliwa kwamba unatumwa, ukadai hutumwi na ukanitaja kama shahidi wako na kweli nikaweka ushuhdua wangu kwamba hutumwi ni mawazo yako tu kumtetea fisadi papa Rostam,
- Sasa tizama hapa na wewe unarudia yale yale ya kumtuhumu Prince kwamba anayejaribu kumsafisha na akaamuulize, una maana gani? Kwamba aakamuulize aliyemtuma? Kumbe na wewe umetumwa?
Again acha personal, kata ishu mkuu kama imekushidna waachie wengine ila tu kwa taarifa yako sio rahisi kumsafisha fisadi papa, ndio maana hata wenziwe wengi wa Mtandao wameshamtema tayar, jaribu kukata ishu bila personalization!
Respect.
FMES!
Africa Business, February 1, 2006
Not in the cabinet, but perhaps the most powerful person after Kikwete is the president's long-term political associate Rostam Aziz, the Oxford-educated economics graduate, business tycoon and parliamentarian.
.
With all due respect, Mzee Mwanakijiji, mbona hata wewe kuna wakati unajibu kwa lugha ya dharau? Sisi wote si malaika, na kuna wakati tunashindwa kujizuia. Lakini kama kuna mtu nimemuumiza feeling zake kutokana na namna nilivyomjibu, naombamsamaha. Siku nyingine, aniambie tu, kuwa Fundi Mchundo, haujanitendea haki nami nitajirekebisha!
Amandla......
- Zoezi la kuuza nyumba za serikali halikwua na tatizo, isipokuwa tatizo lililetwa kwanza na yeye mwenyewe Magufuli alipoanza kuuzia nyumba hizo ndugu zake na marafiki zake na mwisho kuuzia wasiohusika, otherwise it was a good thing,
- Mtandao never wanted Magufufli kwenye Cabinet yao, lakini ni umaarufu wa Magufuli kisiasa ndio ulioawalazimisha kumpa uwaziri, lakini toka siku ya kwanza walikuwa mbioni kumtafutia sababu za kumuondoa, infact nilisema mara ya kwanza baada ya cabinet kutangazwa, kwamba Mramba na Magufuli watatemwa mapema sana kwa Prince hayuko mbali sana na ukweli, ingawa tu masahihisho kwenye habari yake yanaweza kua ni neno Transparent na nyumba, hapana hakukuwa na transaprency kwenye lile zoezi, otherwise Prince is right 100% na the rest of the story!
Respect.
FMES!
isipokuwa pale ninapoamua tu kuwa fyatu for a second! (which does happen sometimes if i don't take my medication)..
There is no one dragging for tribalism sentiment s here, but based on the political calculations this is the fact on what has happened in the past and what is continuing to happen.
Tunahitaji tuseme ukweli wa mambo ambayo yanatugawanya katika vita hii ya aufisadi, Kukuhakikishia this is a big polical weapon that dragging us to hell ninajua hutaki kuamini but this is the truth.
I'm sure Mpilipili can vouch for this....LOL