This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Ili kuondokana huu utawala wa kishenzi, 2015 tufanye kweli sasa tutawale nchi yetu wenyewe, kwa kumuweka Dr. Slaa na CHADEMA madarakani Amen

Yaani huko Chadema hakuna mwengine isipokuwa Slaa ? Kule wana Lipumba Zenji wana Seifu yaani ni wao kwa wao tu ?
 
pia msisahau kua masha na magai walikua ni private lowyer wa mamvi lowasa ambae ye na rostam wanahisa voda, wakamuweka masha uwaziri wa mambo ya ndani, shukran wana nyamagana kwa kumuangusha kuwadi huyo na msaliti wa wananchi mtetea maslah ya mafisadi. Rostam na lusifa.
 
RA is from Iran. Demographic ya Iranians ni Persians (51%), Azerbaijanis (24%), Gilaki and Mazandarani (8%), Kurds (7%), Arabs (3%), Baluchi (2%), Lurs (2%), Turkmens (2%),.

Huyu jamaa sio mhindi.

mkuu huwa napata kigugumizi sana kuchangia issue za RA. Nina uhakika kabisa amezaliwa mwisi wilayani igunga na amesoma na kaka yangu shule ya msingi isenegeja. Na mimi ni mzaliwa wa kijiji jirani na mwisi. Wazazi wake nawajua ingawa sasa hivi amewahamisha wamebaki wengine kama wajomba zake n.k. Nafahamu pia kuwa amesoma masters ya uchumi huko england. Kwa hiyo alipomaliza shule ya msingi ndo akaenda iran? Maana hata kaka hajui baada ya RA kumaliza shule ya msingi alikwenda wapi
 
ndg wana jf
Nimesikia mengi sana kumhusu mhe. huyu (RA). Mimi bado najihesabu kuwa ni mgeni humu jf na bahati mbaya si mjuzi sana na mfuatiliaji wa mambo ya siasa pengine labda kutokana na taaluma yangu ambayo hainipi mwanya sana kuchunguza maisha ya watu. Hata hivyo kama ilivyo slogan yetu (Great thinkers) huwa nalazimika wakati mwingine kujiuliza juu ya yale yanayoelezwa kuhusu mh. RA.Kuna thread nyingi sana humu jf zinazomzungumzia RA na hata zile ambazo hazitaji jina lake ndani ya michango wa wana jf huibuka jina la RA na kunifanya nijiulize ukweli wa yanayosemwa na jinsi ninavyomfahamu mhe. huyu kidogo.

Ndg wana jf
Sina comment juu ya nguvu aliyonayo mhe. huyu serikalini kwa sasa kwa kuwa sina data. Utata unakuja pale misamiati kama jasusi, pandikizi la Iran, na wengine kumfananisha na gaidi. Bahati nzuri mimi nafahamu hadi kijijini kwao na amekua namuona. Amezaliwa katika kijiji cha mwisi na amesoma na kaka yangu katika shule ya msingi Isenegeja wilayani igunga. Wazazi wake nawafahamu (Walikuwa wakijishughulisha na uuzaji wa ngozi) ingawa kwa sasa wengi hawapo hapo mwisi wamebaki ndugu wengine kama wajomba n.k. Baada ya kumaliza s/m hata kaka yangu anasema hajui alikwenda kusoma sekondari wapi na shahada ya kwanza ingawa masters ya uchumi amesomea uingereza. Aliibuka mwaka 1994 kugombea ubunge baada ya kifo cha Marehemu Charles Kabeho. Nilibahatika kuhudhuria katika kampeni zake. Si mjuzi sana wa kujieleza. Kampeni zake nyingi alikuwa na m/kiti wa CCM wa mkoa wa tbr wakati huo mzee Mkumba na kikundi cha ngoma cha Mwinamila.

Hoja
Je haya ( kuhusu ujasusi, ugaidi, pandikizi la Irani) kumhusu RA tuyachukulie kama ni chuki binafsi/wivu (wa kibiashara) au jokes
Note: achilia mbali ufisadi na nguvu yake serikalini, sina comment maana sina data

Naomba kuwasilisha.

Polisi
Senior Member, JF
 
Umejaribu kujieleza kwa tahadhari sana huenda inaonekana kuna jambo unahofu ndiyo maana unacomment kwa kuvizia vizia ila siku zote mtu hujijengea taswira yake mwenyewe kulingana na ayatendayo iwe kwa uzuri au kwa ubaya so huyu RA Kutokana na matendo yake ya kuihujumu nchi amejijengea taswira mbaya mbele ya wananchi jua yeye ndiyo amemuweka JK madarakani kwa hela alikwapua KAGODA amehakikisha anamweka Anna Makinda spika ili kujiwekea mazingisa ya ulaji, amehakikisha aliyekuwa mwanasheria wake vodacom zamani NGELEJA anabakia wizara ya nishati na madini ili kufunika issue ya DOWANS tena enzi za Mwl. Sijui angempa jina gani kwani hata hili la jasusi lisingemtosha.
 
Polisi huyo RA ni mtu hatari sana,ila kwasababu umesema alisoma na kaka yako,mwambie kaka yako amtafute ili akupe data zaidi,tena nadhani huyo kaka yako atakusaidia zaidi.
 
Ni taaluma gani hiyo ambayo haikupi mwanya wa kuchunguza maisha ya watu?..kwanza hakuna anayechunguza maisha ya watu hapa...ni facts zinazogusa maisha ya watu wote ndiyo zinazoongelewa...hakuna anayesema Rostam ana wake wangapi au watoto wangapi...
Hivi una tarifa kwamba huku ndani kuna watu wa kila taaluma?.
 
Mwambie by any chance if happens yuko mikononi mwangu hata kwa dakika 2 either mie nife au yeye but probably 98% i will kill him...
 
mi naona anasingiziwa......ni mtu safi tu japo wanasema kagoda ya kwake, richmond, dowans yeye na lowasa na kikwete nadhani anasingiziwa tu...ni mkristo safi na mbona huwa anasaidia hata makanisa?...huyu ni mtu safi na yote hayo anasingiziwa tu
 
Kaja Tanzania kwa nia moja tu na kuhujumu nchi, huwezi kufanya kazi ya kuhujumu nchi bila kuishika dola, kafanikiwa kuishika dola na dili zote kubwa kubwa yeye ndiyo mtu wa kati, juzi katuambia alikuwa falme za kiarabu kutafuta wawekezaji sijui alitumwa na serikali au wananchi wa igunga mimi sijui.

Sasa kufanikisha hilo lazima ukishike chama tawala na kujiwekea mizizi mirefu, nani asiyejua wao na kundi lake ndiyo wameuteketeza uspika wa sitta?

Nawaambia huyu jamaa as long as bado ni premium member wa CCM basi atatusumbua sana. ni mwerevu na anatumia weakness za viongozi wetu kujinufanisha.

Ukitaja ufisadi mkubwa mkumbwa huwezi kukosa ushiriki wa RA, hao na wenzake ndiyo wanaoongoza nchi (background mode), sisi watanzania hatuwezi kuwafanya kitu kwa sasa.
 
ndg wana jf
Nimesikia mengi sana kumhusu mhe. huyu (RA). Mimi bado najihesabu kuwa ni mgeni humu jf na bahati mbaya si mjuzi sana na mfuatiliaji wa mambo ya siasa pengine labda kutokana na taaluma yangu ambayo hainipi mwanya sana kuchunguza maisha ya watu. Hata hivyo kama ilivyo slogan yetu (Great thinkers) huwa nalazimika wakati mwingine kujiuliza juu ya yale yanayoelezwa kuhusu mh. RA.Kuna thread nyingi sana humu jf zinazomzungumzia RA na hata zile ambazo hazitaji jina lake ndani ya michango wa wana jf huibuka jina la RA na kunifanya nijiulize ukweli wa yanayosemwa na jinsi ninavyomfahamu mhe. huyu kidogo.

Ndg wana jf
Sina comment juu ya nguvu aliyonayo mhe. huyu serikalini kwa sasa kwa kuwa sina data. Utata unakuja pale misamiati kama jasusi, pandikizi la Iran, na wengine kumfananisha na gaidi. Bahati nzuri mimi nafahamu hadi kijijini kwao na amekua namuona. Amezaliwa katika kijiji cha mwisi na amesoma na kaka yangu katika shule ya msingi Isenegeja wilayani igunga. Wazazi wake nawafahamu (Walikuwa wakijishughulisha na uuzaji wa ngozi) ingawa kwa sasa wengi hawapo hapo mwisi wamebaki ndugu wengine kama wajomba n.k. Baada ya kumaliza s/m hata kaka yangu anasema hajui alikwenda kusoma sekondari wapi na shahada ya kwanza ingawa masters ya uchumi amesomea uingereza. Aliibuka mwaka 1994 kugombea ubunge baada ya kifo cha Marehemu Charles Kabeho. Nilibahatika kuhudhuria katika kampeni zake. Si mjuzi sana wa kujieleza. Kampeni zake nyingi alikuwa na m/kiti wa CCM wa mkoa wa tbr wakati huo mzee Mkumba na kikundi cha ngoma cha Mwinamila.

Hoja
Je haya ( kuhusu ujasusi, ugaidi, pandikizi la Irani) kumhusu RA tuyachukulie kama ni chuki binafsi/wivu (wa kibiashara) au jokes
Note: achilia mbali ufisadi na nguvu yake serikalini, sina comment maana sina data

Naomba kuwasilisha.

Polisi
Senior Member, JF
jaribu kufanya uchunguzi wa hayo yanayosemwa juu ya RA then wwe mwenyewe ndo utajua ukweli
 
Umejaribu kujieleza kwa tahadhari sana huenda inaonekana kuna jambo unahofu ndiyo maana unacomment kwa kuvizia vizia ila siku zote mtu hujijengea taswira yake mwenyewe kulingana na ayatendayo iwe kwa uzuri au kwa ubaya so huyu RA Kutokana na matendo yake ya kuihujumu nchi amejijengea taswira mbaya mbele ya wananchi jua yeye ndiyo amemuweka JK madarakani kwa hela alikwapua KAGODA amehakikisha anamweka Anna Makinda spika ili kujiwekea mazingisa ya ulaji, amehakikisha aliyekuwa mwanasheria wake vodacom zamani NGELEJA anabakia wizara ya nishati na madini ili kufunika issue ya DOWANS tena enzi za Mwl. Sijui angempa jina gani kwani hata hili la jasusi lisingemtosha.

My dear kurunzi, i have tried to be as straight as an arrow. Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kwamba amejijengea taswira mbaya kwa umma. Lakini ni sahihi kusema huyu bw. ni jasusi (sote tunaelewa maana ya jasusi), pandikizi la iran n.k? ndiyo nikwambia RA kazaliwa tz.
 
Back
Top Bottom