This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Tafadhali naomba yeyote mwenye historia ya muheshimiwa huyo aiweke hapa.Wale mliozaliwa,kukua na kusoma nae hapo Igunga an kwingineko wekeni na picha zake za zamani tumjue vizuri.
Nawakilisha...........
 
Moja ni ile aliyoisema mwenyewe kuwa biashara alizonazo alizirithi kutoka kwa wakoloni mababu zake waliobakia kipindi cha misafara ya watumwa wakati wa ukoloni.Baadae wakajiita wasukuma na wanyamwezi.
 
Ukweli kuhusu Rostam Azizi

Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.

Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi –Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajag’atuka uongozi.

Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.

Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.

Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.

Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .

Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.

Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.

Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.

Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.

Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.

Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .

Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.

Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.

Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.

Hajawahi hata mara moja kwenda Iran na kama amewahi kufanya hivyo ni kwa siri na kupitia nchi nyingine ,hii ina maanisha nini ?anawaghiribu wa Tanzania wasifahamu ujasusi wake na hivyo amefanikiwa kuikwepa idara ya ujasusi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi imejigamba kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Kama sivyo Jasusi huyu amefanikiwa kuinunua Idara hiyo.

Iran inafahamu kwamba kikwete anafahamu ujasusi wa Irani hapa nchini ,lakini anaogopa kuchukua hatua dhidi yao akihofia kuhatarisha maisha yake ,kwani amejipeleka mno kwao hata ameozwa mtoto wa Megheji na mtoto wa Asas ambaye harusi yake ilifanyikia kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika mkoa wa Iringa, wote hawa ni wa Iran.

Ndiyo maana ubadhilifu wote unaofanywa na Rostam Azizi kikwete anashindwa hata kuukemea sembuse kuchukua hutua za kisheria? Kwa hiyo kitendo cha Jakaya kikwete alipokuwa igumga wakati wa kampeni zake za Urais kumunadi Rostam Azizi kuwa ni mtu safi hazikuwa za kubahatisha na zinatoa picha kuwa bila Rostam Azizi kikwete hawezi kuongoza nchi.
 
Mkuu, naomba ukatafiti tena jinsi biashara ya madini inavyofanywa halafy urudi kuisoma upya mada yako
 
Inaendelea--------------
 
Tueleze habari ya KAGODA na Rostam,Hii nyingine ni hadithi ya kawaida,mbona hauwataji wengine waliouziwa mitambo na kampuni za nje,kutumika kwa mitambo kuchimba madini ni jambo la kawaida kabisa,mbona hata wewe ukitaka kulima unakodisha trekta,iweje kwa Rostam tu,Elezea mada yako kwa data na siyo simulizi,hiyo ndiyo biashara yake ya kukodisha mitambo.LABDA utueleze kwa data ni kiasi gani cha madini kimeuzwa Iran na Rostam,Kuhusu kuwa mtu wa Iran bado si hoja mbona wako wahindi ambao ni watanzania lakini wanajua mpaka kao India.na wengie Wanyarwanda lakini waTZ.jenga hoja wacha hadithi.
 
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi –Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajag'atuka uongozi.

Inaendelea--------------[/QUOTE)

MTOTO WAKE ANAITWA PATRIC ROSTAM ALIBAKA MTOTO WA MUGABE MWAKA JANA
 
Alibaka? Mugabe nae aliridhika? Any way.. Rostam Ni janga la taifa aka Silent killer..
 
Hii imekaaje hii, mbona yafanania muvi fulani hivi au novel fulani nilisomaga, this is tooooooooooooooooooo much pliz.
 
kama kweli ni noma niliwahi kusoma mambo haya kwenye gazeti moja hivi ikielezea jinsi RA alivyo ambayo aliandika MCH Mtikila juu ya uraia wake na wizi wa mali ya waTZ
 
Alibaka? Mugabe nae aliridhika? Any way.. Rostam Ni janga la taifa aka Silent killer..

MP kwa upande mwingine kama mwanamabadiliko kati ya watu nitakaowashukuru kutoka CCM ukiachilia mbali na Sita basi ni huyu Rostam. Jamaa anachangia sana CCM kufanya madudu na hivyo mwenyekiti wa chama juha na anakazi ya kujichekesha tu basi hata kumcontrol hawezi na jamaa anajiamulia madudu ambayo wao hawajui yanawaweka pabaya. Kwa mfano sasa hivi hili la yey kumwendea Makinda akubali kuwa speaker to the expense ya Sitta ni jambo lingine kutoka kwa Rostam linaloishusha CCM point. TENA NA TENA, AHSANTE SANA ROSTAM KWA KUAMSHA HASIRA ZETU KWA CCM NA KUTUHARAKISHIA MABADILIKO. AHSANTE SANA
 
Yatakushinda nakwambia Watanzania wa jana sio wa leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! za mwizi ni arobaini tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
weel ukitaka jiulize swali moja kubwa, nchi ya Iran ndio ilofadhili ujenzi wa dodoma Uiversity(kwa % ngapi sina uhakika), iran imejenga mitambo ya nuklia hivi karibuni,mitambo hiyo inatumia sana uranium km mojawapo ya product,Rostam ana ni chimba madini, Dodoma kuna URANIUM, tafakari na chukua hatua kama unaweza...!!
 
Namchukia sana RA na maswahiba wake kutokana na njama zao za kutunyonya...lakini ngonjera kama hii isiyokuwa na uthibitisho yakini haiingii akilini. Ngonjera hii inatilia shaka hata intel ya Marekani!!
 
sijui Israeli mtoa roho yuko wapi tumuombe aharakishe kuchomoa mafaili ya RA, JK, EL please we beg yooooooooooooooooo
 
Tueleze habari ya KAGODA na Rostam,Hii nyingine ni hadithi ya kawaida,mbona hauwataji wengine waliouziwa mitambo na kampuni za nje,kutumika kwa mitambo kuchimba madini ni jambo la kawaida kabisa,mbona hata wewe ukitaka kulima unakodisha trekta,iweje kwa Rostam tu,Elezea mada yako kwa data na siyo simulizi,hiyo ndiyo biashara yake ya kukodisha mitambo.LABDA utueleze kwa data ni kiasi gani cha madini kimeuzwa Iran na Rostam,Kuhusu kuwa mtu wa Iran bado si hoja mbona wako wahindi ambao ni watanzania lakini wanajua mpaka kao India.na wengie Wanyarwanda lakini waTZ.jenga hoja wacha hadithi.

Mmmmhh, ya kweli hayo kwamba hiyo ni story ya kawaida? Au na wewe ni "motion neutralizer" mmojawapo? Kwa nini unataka kumfundisha cha kuandika hapa, ameamua mwenyewe kwa sources anazozijua kutujuvya kinachoaendelea na amesema ataendelea na hii taarifa..... Sasa kwanini unajaribu ku-pre empty story yake? Mwache amwage mboga na wewe ukiweza umwage ugali wa hiyo Kagoda kama kweli unajua chochote!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom