This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Alikwenda Iran bado kijana mwaka 1975 hivi na alirudi mwaka 1988, baada ya kwisha ile vita ya miaka minane ya Iraq na Iran. Huko Iran alikaa katika mji mmoja unaitwa Godda -- na ndiyo alichukulia jina hilo kuunda kampuni ya KAGODA.

Alipewa mradi wa kutengeneza barabara ya Shekilango kwa jumla ya Sh 75 milioni in earyl 1990s ambayo haikuwa na kiwango.

Natafuta dataz zingine.

comprehensive datz.
 
Uranium imekuwa ikitajirisha watu kimyakimya including decision makers wa jamhuri ya TZ,kama sikosei miaka ya 90 mwanzoni kuna Boss wa Nasako alishikwa na Radio Active subtence,wakasema bomu la nyuklia etc,ikawa bonge la ishu,sijui ilishia wapi!!
Ukweli kuhusu Rostam Azizi

Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.

Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi –Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajag’atuka uongozi.

Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.

Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.

Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.

Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .

Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.

Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.

Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.

Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.

Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.

Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .

Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.

Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.

Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.

Hajawahi hata mara moja kwenda Iran na kama amewahi kufanya hivyo ni kwa siri na kupitia nchi nyingine ,hii ina maanisha nini ?anawaghiribu wa Tanzania wasifahamu ujasusi wake na hivyo amefanikiwa kuikwepa idara ya ujasusi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi imejigamba kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Kama sivyo Jasusi huyu amefanikiwa kuinunua Idara hiyo.

Iran inafahamu kwamba kikwete anafahamu ujasusi wa Irani hapa nchini ,lakini anaogopa kuchukua hatua dhidi yao akihofia kuhatarisha maisha yake ,kwani amejipeleka mno kwao hata ameozwa mtoto wa Megheji na mtoto wa Asas ambaye harusi yake ilifanyikia kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika mkoa wa Iringa, wote hawa ni wa Iran.

Ndiyo maana ubadhilifu wote unaofanywa na Rostam Azizi kikwete anashindwa hata kuukemea sembuse kuchukua hutua za kisheria? Kwa hiyo kitendo cha Jakaya kikwete alipokuwa igumga wakati wa kampeni zake za Urais kumunadi Rostam Azizi kuwa ni mtu safi hazikuwa za kubahatisha na zinatoa picha kuwa bila Rostam Azizi kikwete hawezi kuongoza nchi.

Inaendelea--------------
 
Alibaka? Mugabe nae aliridhika? Any way.. Rostam Ni janga la taifa aka Silent killer..

Mimi siku zote najua JANGA LA TAIFA NI KINGEREZA, ndo mana hata Uganda wanatupita maendeleo. Internet age bila kingereza, dah!!
 
wewe ni kilaza, unchukua heresy na kutransoorm kuwa story. Unataka kunieleza CIA ni vilaza kama wewe. Pili Iran ni kiburi kwa sababu haliwekeza kwenye elimu hasa sayansi ndio maana leo wanatengeneza kila kitu. Habari za propaganda za Uranium ziache how come EU and US dont support while China and Russua backs Iran. Inamaana Russia wanasaport ugaidi. Irani wamekuwa victim wa magaidi mara kadhaa may be udont kwon uagaid. Ishu mustakabali wa nchi yetu. Hata tukimpa uranium yote ya Namtumbo Marekani hatutaendelea, Tuache kulalamika tuchukue hatua sasa.
 
Nafikiri kuna jambo ambalo halijakaa sawa apa.

Yabidi sote tuelewe namna migodi inavyofanya kaz na nafasi ya Caspian katika migodi ya tanzania.

Shughuli ya uchimbaji madini huhusisha makampuni mengi ambayo ujulikana kama sub-contractors, makampuni haya ufanya kazi za blasting, fuel supply, repair & maintenance of machinery, security, food supply, fuel supply, supply ya explosives, supply ya heavy machinery etc.

Kampuni ya Caspian yenyewe imejkita katika shughuli za heavy duty machinery zinazotumika katika shughuli ya uchimbaji.

Vile vile yabidi wote muelewe ya kuwa migodi ya tanzania ina uwezo mdogo sana wa kurefine dhahabu inayochimbwa apa. Kutokana na ilo dhahabu nying na mchanga upelekwa uko Japan for processing kwa kuwa uko ndiko kuna viwanda vya kisasa na vyenye uwezo mkubwa wa shughuli iyo. Vile vile kuna makampuni machache uko ulaya hasa ujerumani zenye uwezo wa kuprocess dhahabu.

Suala la Uranium, nafikiri wote tunajua kuwa kwa Tanzania hazina kubwa ya Uranium inapatikana uko wilaya ya Bahi, dodoma na maeneo ya mtwara karibu na mto mkuju.

Wawekezaj wa kubwa na wamiliki wa kubwa wa leseni za kuchimba Uranium apa nchini ni kampuni kutoka Australia. Kwa kina zaid fatilia taarifa za stock exchange za Australia. vile vile vyanzo vingine vya habari katika eneo hili la extractive industry ni stock exchange ya Canada. Makampuni ya madini yaliyowekeza nchi mbalimbali pamoja na yale yanayotafit madin uchapisha taarifa zao kila baada ya miez 3 katika masoko aya ya hisa.

Ningependa tuwe na kawaida ya kutembelea majarida kama aya kwa taarifa za kina.

Salute Liganga!
Napenda kukupa Pongezi kwa kujaribu kuanisha kwa ufasha juu ya ushiriki wa makampuni tofauti katika shughuli za uchimbaji!
Ni kweli kuwa kuna makampuni mengi yanayoingia contract na sub contract kufanya zoezi zima la uchimbaji.Ila nitatofautiana na wewe kwa ku backup Caspian juu ya uwezo wake wa Kufanya shughuli nzima ya Mining.Mfano mzuri ni katika mgodi wa Tulawaka,Caspian ilikuwa kama construction Company kuanzia 2002-2004,wakijenga mabwawa na ku "mine".Ili kampuni iweze kuendesha shughuli za uchimbaji kama main contractor lazima iwe na uwezo wa kitaalam na mitambo kufanya uchimbaji. Kasoro ya kwanza inayojitokeza ni Caspian kupewa mining tender na Barrick/Pangea wakati kampuni hiyo ni construction Company.Caspian ilijaribu kutafuta graduates wachache kuendesha shughuli za uchimbaji wakitumia pia Makaburu wachache ambao walikuwa hawana utaalam wowote.Kwa hiyo mimi naamini kwa asilimia zote kuwa Mikataba ile ilikuwa na walakini kwa sababu ya uwezo wa ki utendaji wa Caspian pia Kusajiliwa kama construction Company and not as mining company.!

Swala la kusafirisha mchanga ni sihu imekaa kisiasa zaidi,Can any one give details of how much they are sending outside the country!Does our government have representatives that confirm how much have been extracted from the concentrate?? Hapa pia kuna ishu imekaa ki utata zaidi!
Ishu ya Uranium ni kuwa bado haijaanza kuchimbwa kama ulivyosema na Marekani wapo makini sana na ishu hii so usifikiri Rostam ataingiza pua yake pale labda awe upande wa USA otherwise hawezi survive mziki wa wale jamaa!
Nisingependa kutupa lawama kwa RA moja kwa moja kwa sababu ya hali ya mikataba ya madini kwa sasa.Watanzania mimi na wewe Tunahusika kwa kiasi kikubwa kutokuwa waaminifu pale tunapopata madara ya kuwatumikia wananchi!Serikali wanhusika kama 1st degree kwa kuhalalisha mikataba isiyo na Tija kwa Taifa.Mengi yatasemwa lakini ukweli unabaki kuwa we are soon going to remain with holes na hatutajua Madini yameishia wapi!
 
Hii habari ina ujumbe unaotakiwa kusomwa na mataifa nje ya Tanzania, yunaomba wataalam wa lugha waiandike hii kwa lugha mbalimbali na hasa Kingereza
 
Hii habari siyo ya kuipuuzia hata kidogo kwasababu inahusu wizi wa rasilimali zetu na usalama wa nchi. RA anatumia rasilimali zetu kuendeleza unyonyaji wake inabidi tu nguvu ya umma itumike kumshughulikia huyu ghabacholi because hata idara ya usalama wa taifa nayo imegeuka kuwa taasisi ya CCM ambayo RA ndio mfadhili wake mkuu!! Watanzania tuamke na tuseme hapana kwa RA na kikundi chake cha mafisadi kama EL, JK , Makamba na wengine!
 
Hiyo mitambo Rostam alikabidhiwa mwaka gani?Baada ya kufa Mwalimu au Kabla?Mwalimu alistaafu Urais 1985!Na hiyo Caspian ilianzishwa lini na kupewa hizo tenda katika migodi?
Hivi Kikwete na wake wangapi?Mara Al kharusy mara Mkwe wa Mama Megji mara huyo mara yule!This is too much kwa kweli!

HAHAHA,WEWE NAE UNAFURAHISHA KWELI.HUJUMFAHAM MUSWAT MFALME WA SWAZILAND,AU JAY ZEE(JACOB ZUMA)??vIJIMAMBO TU MBONA BADO
 
Rostam Azizi,mtu ambaye wakati wa Nyerere asingeingia kwenye siasa za Tanzania amewezaje kufika hapo baada ya kufa Nyerere?

Ni baada ya Iran kutimuliwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya Lindi –Kibiti ,Rostam Azizi alipofanya jaribio la kwanza kuingia kwenye siasa za Tanzania Nyerere akiwa hai kwa kukodi ndege kwa siri iliyowapeleka Kikwete na Lowassa butiamu nyumbani kwa baba wa taifa mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere kujitambulisha kwamba Kikwete anataka kugombea urais mwaka 1995.

Lakini mbele ya Kikwete na Lowassa mwalimu alijifanya hajui chochote kuhusu nani anaye wabeba,ingawa alijua kila kitu kwamba ndani ya mpango mzima wa Lowasa na kikwete kugombea nafasi ya urais kulikuwa na njama zilizosukwa kati ya Lowasa na Rostam Azizi bila kikwete kufahamu wala Lowasa kufahamu maudhui ya njama zilizoandaliwa na shirika la kijasusi la Irani kupitia Rostam Azizi.

Rostam Azizi kwa kuwa alijua kinachoendelea kati yake na shirika lake la kijasusi la Iran kukamilisha malengo yake ya muda mrefu alisoma misimamo na mawazo ya Lowasa na kikwete bila wao kujifahamu kwamba anataka awatumie kuwa kiungo cha kukamilisha malengo yaliyokusudiwa na taifa la Iran.

Kwa bahati Nyerere yote aliyafahamu na kuwaruhusu waendelee na mipango ya kugombea kwani alijua angeitegua mipango hiyo lini na wapi na alifanikiwa kufanya hivyo kwa kumwambia kikwete kwamba bado ni kijana mdogo asubiri na kwamba Lowasa hafai kwa sababu ya maudhui ya Rushwa ,kutokuwa mkweli na mchafu .

Rostam Azizi amefanya jaribio la pili kuingia kwenye siasa za Tanzania baada ya kifo cha Nyerere kwa kuingia kwa nguvu za kifedha kwenye kampeni za Benjamini Mkapa kugombea urais awamu ya pili mwaka 2000 ambapo aligharimia vifaa vya kampeni za uchaguzi kwa ajili ya chama cha mapinduzi CCM bila Mkapa kufahamu Rostam Azizi anajenga urafiki wa karibu naye kwa nia ya kudhoofisha msimamo wake wa kukilinda chama hicho.

Huu ulikuwa mwanzo wa Rushwa kuingia katika chaguzi ndani ya chama cha mapinduzi CCM ambapo tofauti na enzi ya mwalimu Nyerere, mgombea aliweza kupata nafasi ya uongozi bila kutoa rushwa

Vifaa hivyo vya kampeni vikiwemo kofia ,fulana na mabango ya namna mbali mbali vilivyogharimu mabilioni ya fedha havikuhitajika kwa sababu watanzania walikuwa tayari kumchagua tena Mkapa bila kufanya kampeni kwa kumwenzi baba wa taifa .

Lakini taifa la Iran kupitia jasusi wao Rostam Azizi liliendelea kumwingilia Mkapa na kumweza kwa sababu alikuwa hana kinga kama iliyokuwa inatolewa na mwalimu Nyerere na bahati mbaya zaidi mfumo wa utawala haukutoa nafasi kwa Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi pamoja na kuwa na nguvu ya kisiasa kuliko Mkapa wakati huo ya kumlinda

Mwaka 2000 Mkapa alikubali ushawishi wa jasusi wa Iran hapa nchini Rostam Aziz kutumia vifaa vya kampeni alivyotoa jasusi huyo kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huo kwa mgombea wa urais wa chama cha mapinduzi CCM Kitendo ambacho kwanza:-

Ilikuwa ni matayarisho ya Rostam Aziz kukinunua chama cha mapinduzi ambacho aliamini kuwa chama hicho kina nguvu ya kuendelea kutoa viongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pili kuhakikisha viongozi wa chama hicho ngazi zote wanashika madaraka kwa njia ya rushwa ili iwe rahisi kwa jasusi Rostam Aziz kwa kutumia uwezo wake wa kifedha anaofadhiliwa na Iran kuamua nani awe kiongozi wa chama cha mapinduzi na serikali ili kuirahisishia Iran kutimiza malengo yake .

Rostam Azizi alianzisha rushwa itumike kwenye chaguzi zilizohusu wagombea wa chama hicho ilikutoa nafasi kwa wa Iran ambao wanauwezo mkubwa kifedha kuingia kwenye mfumo wa utawala wa serikali ya Tanzania kutimiza malengo yao ya muda mrefu ya kuanzisha himaya yenye mlengo wa Ki –Irani katika jamhuri ya Tanzania kwa kuweka viongozi wanaochaguliwa na shirika la ujasusi la Iran bila watanzania kujua.

Makusudio mengine ya mpango wa Iran ni kuwakwamisha watanzania waadilifu wenye nia thabiti ya uzalendo wa taifa hili washindwe kugombea nafasi mbali mbali za uongozi nchini .

Katika kutimiza mpango huo Rostam Aziz amefanikiwa kuwapenyeza wa Iran waTano kwenye halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama cha mapinduzi CCM ambapo wa nne kati yao wameingia kwenye NEC kwa wadhifa wao wakuwa wenyeviti wa CCM mkoa wa Mbeya Nuwabu Mulla, na mikoa ya Kigoma ,Shinyanga na Tabora huku Rostam Aziz mwenyewe Mu-Iran wa tano kwenye chombo hicho na mjumbe wa kamati kuu ya NEC chombo ambacho ni kiungo muhimu katika maamuzi ya nani awe kiongozi ngazi gani, nani aenguliwe .Kumbuka yaliyomkuta aliyekuwa spika katika bunge la tisa Samweli Sitta

Kikosi hiki cha wa Iran hawa watano kinapewa maelekezo ya jinsi ya kufanya mambo yanayohitajika na kufadhiliwa kwa kila kitu na serikali ya Iran.

Kwahiyo haishangazi makabila ya wanyakyusa ,wandali ,wamalila ,wasafwa ,wanyamwanga wa mkoa wa mbeya ambayo ni miongoni mwa jamii za kwanza Tanzania kupata elimu ya kutosha kuona mkoa wao unataaliwa na mwi Iran kupitia chama cha mapinduzi.

Iran inakazi nzito kwa Tanzania kwani mwenyekiti wa ccm wa Tabora aliyekuwapo kabla ya aliyepo sasa aliondolewa madarakani na jasusi Rostam Aziz ambapo vyanzo huru vinataja kuwa aliyeko madarakani sasa amepenyezwa kwa nguvu za Rostam Aziz kuwa miongoni mwa vibaraka wa Iran.

Mpango huo unaoendeshwa na Rostam Aziz wa kuendelea kusimika Wa – Iran kuwa wenyeviti wa CCM wa mikoa umegonga mwamba katika mkoa wa Iringa baada ya wenyeji wa mkoa huo mwaka 2007 kugundua njama hizo na wakaamua wamchague Deo Sanga bila kujali viwango vyake vya elimu ili kuondokana na utumwa wa Wa-Iran.

Mbali na Jakaya Kikwete wengine waliokaribu na Rostam Aziz ni Andrew Chenge ambaye anatajwa kama mwanafamilia ingawa haibanishi uhusioano wakifamilia na Edward Lowassa ambaye ni daraja muhimu kati ya jasusi Rostam na serikali ya jamhuri ya muungano Tanzania .

Iran inataka kuifanya jamhuri ya Tanzania kuwa Taifa liongozwe kiimla ,kiislamu na nchi hiyo ipate nafasi ya kuvuna madini ya Tanzania inayotaka kadri itakavyo. Bahati njema watanzania ni watu wenye hulka isiyozingatia tofauti za kidini.

Katika jitihada zao za kutimiza malengo hayo shirika la kijasusi la Iran baada ya kumdhibiti mkapa liliwavuruga maafisa usalama wa Taifa wa Tanzania waadilifu kuhakisha hawamtahadharishi Mkapa kuhusu nyendo za shirika hilo hapa nchini na hivyo kutoa nafasi kwa Rostam Azizi akiwa wakala wa Shirika hilo la kijasusi aendelee kujiingiza zaidi ndani ya chama cha mapinduzi .

Vyanzo vya uhakika vimesisitiza kuwa Mkapa wakati wa utawala wake ndiye aliyedanganywa kwa kiwango kikubwa mno kwa uongo ambao ulianza kumwezesha Jasusi Rostam anze kuhesabu mafanikio aliyotaka lasivyo rais wa Tanzania baada ya Mkapa angekuwa John Samweli Malecela.

Jasusi Rostam Aziz aliandaa kwa umakini mkubwa mpango wa kumwondoa John Samwel Malecela kwenye arodha ya wagombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM 2005.

Jasusi huyu alikutana na Kingunge Ngombare Mwiru , Mzee Rashidi Mfaume Kawawa wakati wa uhai wake na Mkapa kwa nyakati tofauti, vyanzo vinataarifu kuwa yaliyojadiliwa hayakujulikana lakini matokeo yake ni haya:-

Malecela ambaye alikuwa wa kwanza kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake agombee urais,hakujadiliwa kwenye kikao cha kuwajadili wanachama wa ccm waliomba wateuliwe kugombea nafasi hiyo lakini alipoingia kwenye ukumbi husika alikuta kiti cha makamu mwenyekiti wa ccm kiko wazi nakutakiwa akae ili asaidiane na mwenyikiti wa CCM Benjamin Mkapa kuwajadili wagombea wengine waliomba nafasi hiyo. . Hata hivyo haikuwa rahisi kwa kingunge Ngombale Mwiru kupinga mtego huo kwani Jakaya kikwete ni mtoto wa mdogo wa mama yake kingunge Ngombare mwiru. kwa lugha rahisi Kingunge ni kaka yake na Jakaya Kikwete

Jasusi Rostam Aziz amefanya hayo akijua kuwa kama Malecela angepitia taratibu zote za kuchuja wagombea angeshinda na angegombea urais na lazima ageshinda urais na kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Inaendelea wana jf
 
LeoKweli said:

Shangazi responded:

Rostam Vs Mengi: Tribalism?

Yesterday (Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone (Sukuma and Nyamwezi tribes).

That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.

By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.

Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides (Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was by then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didn't bother to ask his boss (Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasn't the government's worker or civil servant.

If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.

EPA

I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.

Tafadhali andika kwa kiswahili ili hata mbongo aaweze kuelewa kinachoendelea kuhusu mtu huyu ,nafurahi sana kuwa ni mmoja wa wapambanaji katika kuikomboa Tanzania yetu.
 
Uranium imekuwa ikitajirisha watu kimyakimya including decision makers wa jamhuri ya TZ,kama sikosei miaka ya 90 mwanzoni kuna Boss wa Nasako alishikwa na Radio Active subtence,wakasema bomu la nyuklia etc,ikawa bonge la ishu,sijui ilishia wapi!!

Alikuwa anaitwa mzee Odemba...
 
Unapaswa kukumbuka vizuri jumanne unayemsema ilikuwa ni wakati yeye akiwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tena Nyerere akiwa hai na ndipo mwalim, alipo amuakuandika kitabu kinachoitwa Nyerere na hatima ya uongozi baada ya kutaka kubadili jina lake la asili na kutaka kujiita jumnne ilikuwa kabla ya mwaka 1995
 
Hizi habari za RA zinafanya nasisimka mwili...! How can such ONE simple person drive our heads like this and make us such unhappy Country because of his presence in our midst...?
 
Sijui kichwa kinaaza kuniuma? Sijui ni huu mjadala umekosa mantiki? Mbona kila mtu anasema anajua anajua anajua, wakati kila kinachodaiwa kujulikana ni ama kujumlisha au kutoa? Au wote mnapambana kutetea mabwana zenu mafisadi?
 
Hivi sasa JK ana kazi ngumu ya kuunda baraza lake la mawaziri na vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kwamba Rostam Aziz anshinikiza watu wake (bila shaka wale wanaoutetea ufisadi) wawekwe kwenye wizara fulani fulani.

Hii ina maananisha JK hana mamlaka yoyote, pamoja na kwamba amechaguliwa na wananchi, na hawezi kumpinga Maulana Rostam kwa sababy yeye (JK) anajua kwamba ndiye aliyemweka.

Watanzania wote tumeingia mkenge na mtu huyu. Tufanyeje kudai uhuru wetu ulioporwa?

Nawasilisha.
 
Rostam na mibaka uchumi mingine inaweza tu kuondolewa kwa NGUVU YA UMMA. Hawa ndio watu wanaoiibia nchi yetu na kuwafukarisha Watanzania. Wanajiingiza kwenye siasa na kujionesha kuwa wanaipenda nchi yetu, kumbe wanapenda raslimali zake tu. Watu hawa hatari huhakikisha kuwa wanawaingiza watu wao kwenye nafasi nyeti za uongozi wa nchi, ikiwa ni pamoja na Rais, ili kulinda uharamia wao. Ni pale wananchi watakapoeleweshwa na kuelewa kuhusu ubaya wa mijitu ya aina hii, ndipo tunaweza kuondokana nao. Inabidi wananchi wawakatae watawala wanaopachikwa na watu hawa kwenye sanduku la kura, ili kujenga serikali ya wazalendo wenye uchungu na nchi yao, na wasionunulika. Baba wa Taifa Mwl Nyerere aliwahi kuonya kwamba mtu anayekimbilia Ikulu, na yupo tayari hata kununua wapiga kura ni wa kumuogopa kama ukoma. Alisema watu wa aina hiyo hawawezi kununua kura bila ya wao wenyewe kununuliwa. Hiki ndicho tunachokiona sasa. Watanzania walipoteza opportunity nzuri sana ya kuwang'oa mibaka uchumi kwenye uchaguzi uliomalizika hivi karibuni. Kazi ipo, lakini naamini muda wao umewadia.
 
Back
Top Bottom