Tueleze habari ya KAGODA na Rostam,Hii nyingine ni hadithi ya kawaida,mbona hauwataji wengine waliouziwa mitambo na kampuni za nje,kutumika kwa mitambo kuchimba madini ni jambo la kawaida kabisa,mbona hata wewe ukitaka kulima unakodisha trekta,iweje kwa Rostam tu,Elezea mada yako kwa data na siyo simulizi,hiyo ndiyo biashara yake ya kukodisha mitambo.LABDA utueleze kwa data ni kiasi gani cha madini kimeuzwa Iran na Rostam,Kuhusu kuwa mtu wa Iran bado si hoja mbona wako wahindi ambao ni watanzania lakini wanajua mpaka kao India.na wengie Wanyarwanda lakini waTZ.jenga hoja wacha hadithi.
Ukweli kuhusu Rostam Azizi
Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi –Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajag'atuka uongozi.
Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.
Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.
Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.
Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .
Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.
Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.
Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.
Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.
Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.
Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .
Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.
Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.
Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.
Hajawahi hata mara moja kwenda Iran na kama amewahi kufanya hivyo ni kwa siri na kupitia nchi nyingine ,hii ina maanisha nini ?anawaghiribu wa Tanzania wasifahamu ujasusi wake na hivyo amefanikiwa kuikwepa idara ya ujasusi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi imejigamba kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Kama sivyo Jasusi huyu amefanikiwa kuinunua Idara hiyo.
Iran inafahamu kwamba kikwete anafahamu ujasusi wa Irani hapa nchini ,lakini anaogopa kuchukua hatua dhidi yao akihofia kuhatarisha maisha yake ,kwani amejipeleka mno kwao hata ameozwa mtoto wa Megheji na mtoto wa Asas ambaye harusi yake ilifanyikia kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika mkoa wa Iringa, wote hawa ni wa Iran.
Ndiyo maana ubadhilifu wote unaofanywa na Rostam Azizi kikwete anashindwa hata kuukemea sembuse kuchukua hutua za kisheria? Kwa hiyo kitendo cha Jakaya kikwete alipokuwa igumga wakati wa kampeni zake za Urais kumunadi Rostam Azizi kuwa ni mtu safi hazikuwa za kubahatisha na zinatoa picha kuwa bila Rostam Azizi kikwete hawezi kuongoza nchi.
Inaendelea--------------[/QUOTE)
MTOTO WAKE ANAITWA PATRIC ROSTAM ALIBAKA MTOTO WA MUGABE MWAKA JANA
mkuu heshima mbele kwa mada, ila sidhani kama IRAN inajihusisha na RA kama nchi au serikali bali ni watu wachache (wa IRAN) ambao wameona opportunity iliyopo Tanzania, na kwasababu hiyo hata marekani watakuwa na interest na RA ili waweze ku-monitor nyendo zao na hao wa-IRAN hasa kwenye Uranium! na hili linapoteza interest kwa mtanzania wa kawaida kwani ni ngumu kuelewa!!!
linalotuhusu sana ni la humu ndani, pale ambapo RA ana-control viongozi wakuu wa nchi na hata inakuwa aibu kwao! tunachohitaji ni watu wachache tu ndani ya CCM kujitoa mhanga ili mtu huyu apoteze nguvu alizo nazo (iwe ni uanachama wa CCM, ubunge na hata uraia) hilo kwanza na mengine rahisi!!!!
Hii imekaaje hii, mbona yafanania muvi fulani hivi au novel fulani nilisomaga, this is tooooooooooooooooooo much pliz.
Nimejaribu kupitia Habari ya BWana Iwangwa, lakini mimi nina mtazamo unaopingana kidogo na mtoa mada
naomba ieleweke kuwa mimi sio kama namtetea Rostam lakini habari zinapokuja humu basi angalau ziwe na ukweli kwa kiasi fulani ili tunapounganisha doti basi tuwe na uhakika na tunachokiongea na kukijadili
Sikweli kuwa Caspian wanachukua madini ya Tanzania kwa sasa labda ni kwa siri kubwa sana na ndio tunaitaka hiyo siri,
Caspian imekuwa registered kama construction Company, kama aliachiwa vifaa na hao jamaa wa Iran inawezekana lakini kwa hizi mining equipment/Machines nyingi huwa wanazipata kwa njia ya mkopo hasa pale wanapopata tender ya kufanya mining, wapo wengi tu (KASSCO) waliopata hizo Machines kwa mikopo baada ya kuonyesha mikataba waliopata kwenye mining
Migodi ya Tanzania ni
Bulyanghulu, Buzwagi,Tulawaka, Northmara-Hii migodi hipo chini ya Barrick ambayo ni kampuni ya waCanada na makao makuu yapo huko Canada, japo wana zonal office kila sehemu zenye migodi, kwa zonal ya Africa makao makuu yapo J,Burg
Geita gold mine-Huu mgodi unamilikiwa na Wamarekani (Anglo-Gold) wakiwa pamoja na waghana (Ashanti)
Resolute-Nzega hu mgodi unamilikiwa na Wa Australia
Mwadui Diamond-Huu mgodi unamilikiwa na Wa-South african na Watanzania
katika hiyo migodi Rostam hayupo humo wala hana share humo, isipokuwa Rostam alipata kazi ya kufanya mining kwenye Baadhi ya Migodi (Resolute, Tulawaka, Diamond-Mwadui, Nmara), na ni ukweli usiopingika kuwa alipata hizo kazi isivyo halali kwani kampuni yake imekuwa registered kama Construction na sio kama Mining Company hivyo hakupaswa kupewa hizo kazi za Mining
Kuhusu Uranium, hapo Rostam hawezi tia Mguu kabisa, huo ni mzigo wa Wamarekani na wao wameshaanza kuumonitor tangu miaka mingi, Rostam anaweza kuingia pale kama mining company (Caspian) na anaweza kupewa hiyo kazi kwa sababu ana uzoefu wa mining lakini sio kwa kuonga wala kwa hila (walioomba kumine hiyo Uranium ni wengi na hata Caspian wameomba)
Point ambayo naweza kukubaliana na wewe ni kuwa, Rostam kama yeye ama kama hao Wairan inawezekana wana stratergies za kuingia (sasa bado hajaingia) kwenye hayo mambo ya Madini na Energy kwa hapa Tanzania, na kwa kuanzia Rostam alihakikisha anaitawala wizara ya nishati na madini, kwa kuweka watu ambao atawahitaji Kalamagi, Ngereja, Kafumu, aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco (Rashid) ,
Kwenye sekta ya energy (Umeme) alichofanya Rostam hakuna asiyekijua
Kuhusu swala la madini, cha kwanza alichokifanya ni kuakikisha anapewa kazi ya kumine kinguvu, nasema kinguvu kwa sababu hao jamaa wenye migodi walikuwa wanasign mikataba isiyokuwa na kichwa wala miguu na ten % kubwa aliyokuwa anapewa Kalamagi ni hofa ya kufanya Mining na hili lilifanyika chini ya Rostam kwa kumine na kampuni ya Construction (Not mining Company) sio siri jamaa (Caspian) walikuwa wanauwezo wa kutengeneza zaidi ya 100m kwa siku kwenye mgodi mmoja na alikuwa anafanya (ana-mine) migodi minne (Diamond-mwadui, Tulawaka, Resolute na NorthMara), kuna uchafu mwingi sana ambao Rostam ameshiriki kuiangamiza hii nchi hasa kwenye mikataba hii tulioingia kwenye sekta ya nishati na madini (mimi huwa naiita wizara ya Rostam, kaimaliza kuanzia nywele mpaka....)
Angalizo
Kwa kutumia hiyo wizara na hao watu wake wizarani, Rostam amefanikiwa kupata eneo maeneo ya Kahama na soon ataanza kumine akiwa ni mmiliki wa Mgodi
weel ukitaka jiulize swali moja kubwa, nchi ya Iran ndio ilofadhili ujenzi wa dodoma Uiversity(kwa % ngapi sina uhakika), iran imejenga mitambo ya nuklia hivi karibuni,mitambo hiyo inatumia sana uranium km mojawapo ya product,Rostam ana ni chimba madini, Dodoma kuna URANIUM, tafakari na chukua hatua kama unaweza...!!
Hapo nachanganyikiwa maana naona unajicontradict tena unaposema Sikweli kuwa Caspian wanachukua madini ya Tanzania na wakati huo huo tunamwona huyu Fisadi akiwa na mkono wake kwenye migodi 4 kama ulivyoainisha. Nakushukuru na ninamshukuru sana aliyeleta hii mada kwa kutufungua macho. Huyu RA akitoka nadhani hata wazawa wa CCM waliovaa kutu za kifisadi wataanza kuwa binadamu, maana wote ni kama wanyama tena wale wanaoweza tafuna watoto waliowazaa
Ukweli kuhusu Rostam Azizi
Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajagatuka uongozi.
Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.
Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.
Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.
Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .
Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.
Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.
Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.
Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.
Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.
Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .
Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.
Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.
Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.
Hajawahi hata mara moja kwenda Iran na kama amewahi kufanya hivyo ni kwa siri na kupitia nchi nyingine ,hii ina maanisha nini ?anawaghiribu wa Tanzania wasifahamu ujasusi wake na hivyo amefanikiwa kuikwepa idara ya ujasusi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi imejigamba kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Kama sivyo Jasusi huyu amefanikiwa kuinunua Idara hiyo.
Iran inafahamu kwamba kikwete anafahamu ujasusi wa Irani hapa nchini ,lakini anaogopa kuchukua hatua dhidi yao akihofia kuhatarisha maisha yake ,kwani amejipeleka mno kwao hata ameozwa mtoto wa Megheji na mtoto wa Asas ambaye harusi yake ilifanyikia kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika mkoa wa Iringa, wote hawa ni wa Iran.
Ndiyo maana ubadhilifu wote unaofanywa na Rostam Azizi kikwete anashindwa hata kuukemea sembuse kuchukua hutua za kisheria? Kwa hiyo kitendo cha Jakaya kikwete alipokuwa igumga wakati wa kampeni zake za Urais kumunadi Rostam Azizi kuwa ni mtu safi hazikuwa za kubahatisha na zinatoa picha kuwa bila Rostam Azizi kikwete hawezi kuongoza nchi.
Inaendelea--------------