This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Hili la shule za Nzega (+Igunga) wakati huo liko wazi kwani walikuwa wanasoma darasa la kwanza mpaka la nne na wakifaulu mtihani kwenda darasa la tano basi ilikuwa wanaenda boarding ambazo zilikuwa Busongo,Bukene,Izinga na Ndalla girls wakati shule za Day maarufu zilikuwa Uchama, Mwanh'ala, na Upungu, na mara nyingi kila mwaka kulikuwa na michezo ya mashule ambapo zaidi wanafunzi wote wanamichezo walikuwa wanakutana Uchama,sasa basi ataje shule ipi kati ya hizo yeye RA alisomea kama primary school? watu wa Nzega wa enzi hizo tunajuana mpaka leo....wapi Bernald M?....
Cha msingi jamaa AMECHEMSHA! na hiyo kutamka kuwa Kazaliwa Ndalla it doesn't justify kuwa alisomea Tanzania unless true birth certificate is produced

Utaratibu wa kusoma mpaka Darasa la 4 na kufanya mtihani ulifutwa zamanoi Rostam akiwa na miaka 3. Mimi umri wangu ni mkubwa miaka 4 kwa umri wa Rostam kama kweli ana 40 bado sikusoma katika utaratibu huo wa mpaka std 4.Kama ni kweli Rostam alisoma enzi hizo za kufanya mtihani std 4, basi Rostam alianza shule kabla hata mimba yake haijatungwa tumboni mwa mama yake.Naona tunapata taabu sana kupata historia ya Rostam Aziz, wakati ni rahisi sana kupata historia za watu wengine kama Bakharesa, Marehemu Gulamali, Abood nk.Naamini kabisa kwamba kuna kitu kikubwa kinaendelea katika maisha ya MH huyu, kitu hicho kikiwekwa wazi Break ya kwanza ya Rostam ni Jangwani kule Dubai, kwani hawezi kurudi Iran kwa sababu kwa uzembe na mazoea ya tabia kanuni za Mamulla wa kule hatoziweza.
 
Sasa nyie cronies wa RA kama mnaona watu hapa wanadanganya si mlete ze dataz za kuonyesha kuwa wamedanganya.

Haya mambo ya Wizi wa Fedha kubwa serikali yangekuwa Rahisi kama kuweka Togwa ya mianzi kwenye bilauri kila mtu angekuwa na Data zote za kilichotokea na tusingekuwa hapa JF kujadili hii conspiracy.Hapa ni jikoni, wote tunauona moto pale mekoni unawaka vizuri tu(Ari). Mchele Mafuta ya Olive nyama ya kuku Viuongo vya kunikia maji chumvi siagi na kila aina ya vikolombwezo vimejaa tele.Kazi yetu kuu ni kujaribu kuwashawishi watu( wananchi wa Tanzania) kwamba harufu ya pilau wanayo ipata huko nje(WIZI udanyifu na Utapeli wa Viongozi wa CCM) imetengenezwa ndani ya jiko hili na haikutoka nje ya jiko( Msaada toka Iran) hili wala si kiporo cha miaka 150 ilopita( Fedha ya Urithi).Pia Pilau iliwayo kwa fujo na watu wengi wenye asili ya Asia na Midle east( Utajiri mkuwa wa Wageni hawa) haikutoka huko kwao bali imetoka hapa hapa jikoni mwetu(Tanzania)Vipi mwenzetu uko hapa hapa jikoni kila baa ya dakika moja unauliza kama tumekwisha jua pilau hiyo inatengnezwa vipi? MWizi wetu alitulia timing siku nyingi, na huenda yeye alijua kuna siku mambo haya yatawekwa hadharani. Kwa tahadhari akajiwekea miiko.Je sisi tulijua tunaibiwa au tutakuja ibiwa kizembe?Hata waloruhusu wizi na kuupa baraka naamini hawakujua wanaruhusu nini?Sembuse sisi tuliokuwa tukibeaba Mabox ya huko ughibhuni wakati wenzetu wanabeba mabox ya noti za dola kutoka BOT????
 
..taarifa za Bunge zinaonyesha kwamba Rostam Abdulrasul Aziz amezaliwa Dec 31,1969.

..anavyosema kwamba Reginald Mengi anaweza kuwa baba yake wa kumzaa kwa kweli hajakosea kabisa.

..hata Kikwete na Lowassa wanaweza kumzaa huyu Rostam Aziz.

..it is hard to believe lakini habari ndiyo hiyo. bwana mdogo Rostam ni hatari sana kwa jinsi alivyoweza kuwathibiti wazee wote, usalama wa taifa, chama cha mapinduzi, na kuweza kumsimika mgombea wake kuwa raisi wa Tanzania.

..yaani alichofanya ROSTAM AZIZ ktk uchaguzi wa 2005 ni sawa na alichofanya BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE uchaguzi wa 1995 alipomsimika Mkapa kuwa Raisi wa Tanzania.

NB:

..can you imagine kwamba hata Jenerali Ulimwengu na akili zake zote alikuwa ametiwa mfukoni na Rostam Aziz?
 
Rostam kasema kwao ni igunga na ninaamini wapo watu kibao wa Igunga na wanajua kwao waliko hao ndugu zake na wamemwona RA kwa muda. RA kasoma shule kipindi wengi tunasoma hivyo wala hatuhitaji usalama wa Taifa kutusaidia. Moja tuanzie Igunga je alianza kuonekana lini na je ndugu zake ni akina nani?? wananchi walianza kumfahamu vipi mpaka wakampa kura au aliibuka kama kakakuona?
Then dots zisipo add up turudi dar kama alikaa sehemu yeyote then hakuna wala hatujui shule tumfuate balile tumuulize je bosi wenu alisoma primary wapi. Kama hakuna anayejua primary gani alisoma hususani watu wa Igunga then huyu mtu hakusoma Tanzania. Then je alizaliwa Tanzania??? na alizaliwa na nani na wapi mkunga alikuwa nani???
Uwezekano ni mkubwa kwamba RA sio mzawa kama ilivyokuwa kwa wengi.
 
Tatizo hatuna hata waandishi wanaojitoa mhanga kuchunguza jambo. Ingekuwa ni nchi za wenzetu media zingesha watuma waandishi wachunguzi, wanaoweza kutafuta habari hata kwa mwaka mzima na akija kuibuka anakuwa na full data.
 
Haiwezekani katika mtandao maarufu kama wa JF hakuna mtu anayemkumbuka RA shuleni. WEngine hapa tukisema tumesoma Boza, Pangani au Sangu Mbeya kuna watu 1001 watasema tunamkumbuka! Nakumbuka habari ya kifo cha mzee Mazula walijitokeza hapa watu wengi waliosoma naye miaka hiyo ya sabini..

Sasa, RA hata kama hakukulia Tanzania (kitu ambacho si cha ajabu kwani kina Junior walizaliwa Bongo lakini wamekulia kwa Bush na Chiswahili wala hawakielewi!)... lakini bado ni Watanzania.

Kumbukeni, Uraia Tanzania si kwa kuzaliwa (yaani mtu huzaliwi ukawa Mtanzania kama ilivyo US) bali unategemea uraia wa wazazi wako.... ukizaliwa na wazazi ambao ni Watanzania basi na wewe unakuwa ni Mtanzania. Na hapo pia kuna kanuni zinazoongoza Uraia huo kwa mfano kama wazazi wako hawakuwa Raia wa Tanganyika au Zanzibar kabla ya Uhuru na Muungano basi hata kama ulizaliwa mwaka 69 huko Bagamoyo hilo halikufanyi uwe Mtanzania.. inabidi uukane uraia wa zazi wako.

Kuna mtu (nadhani ni Halisi) amesema kuwa RA baba yake yuko Iran, kama baba yake ni raia wa Iran na hajawahi kuwa raia wa TAnzania (au Tanganyika) basi RA hawezi kuwa raia wa Tanzania unless a. aliomba uraia wa Tanzania na b. kama alizaliwa Tanzania (say baba yake alikuja kuwatembelea ndugu zake huko Igunga), basi RA alitakiwa alipofikisha miaka 18 kuukana uraia wa wazazi wake kwani bila hivyo by default anakuwa ni raia wa Iran.
 
Nilipokuwa shule ya msingi kuna kijana mmoja alihamia shuleni kwetu; aliitwa Hassan x,y. Jamaa alikuwa mkali sana darasani na akawa anatuacha kwa mbali ambao tulikuwa tunatawala utawala wa darasa.. mwisho tetesi zikawa zinakuja kuwa jamaa ni "repeat".. kwamba amerudia akitokea somewhere in Moshi.. tetesi zile zikaja kuwa za kweli baada ya siku moja kumuona kwenye mikutano ya walokole ambapo jamaa alikuwa anafundisha neno.. na alitambulishwa kwa jina la Kikristu..

Tulipofuatilia zaidi kumbe jamaa alikuwa amechukua jina la Hassan ili aweze kurudia kule Tanga na kama utani.. matokeo ya darasa la saba alipasua vibaya na kuchaguliwa kuendelea shule za sekondari ambapo mbeleni alibadili jina lake na kurudia lile la kuzaliwa.

Mkuu kurudia shule enzi hizo ilikuwa ni tafsiri sahihi ya umaskini, kwamba wazazi wanapenda watoto wasome lakini uwezo duni, nasikia hata Madaraka Nyerere alirudia shule! tehe tehe
 
Nziku said:
Tatizo hatuna hata waandishi wanaojitoa mhanga kuchunguza jambo. Ingekuwa ni nchi za wenzetu media zingesha watuma waandishi wachunguzi, wanaoweza kutafuta habari hata kwa mwaka mzima na akija kuibuka anakuwa na full data.

Nziku,

..pointi zako nzuri lakini kumbuka kwamba kwa miaka mingi Rostam alikuwa kawanunua waandishi wa habari wote wa maana kwa mfano Jenerali Ulimwengu,Dr.Gideon Shoo,Muhingo Rweyemamu, etc.

Mwanakijiji,

..baada ya kushinda ubunge wa Igunga gazeti la Rai liliandika historia/wasifu wa Rostam Aziz.

..nakumbuka walidai amesoma MBA London School of Economics. sikumbuki degree ya kwanza walisema amesomea wapi, lakini nahisi ni UDSM.

..sasa watu wa rika lake waliozaliwa 67,68,69, wanamkumbuka Rostam pale chuo kikuu? vilevile kuna aliyekuwa naye kambi moja JKT?

..lakini kwa upande mwingine labda masuala yake ya uzawa siyo ya muhimu sana.

..jambo la muhimu ni kujaribu kujua ni jinsi gani aliweza kukiteka nyara chama cha mapinduzi CCM, na kuichukua msukule serikali nzima ya Tanzania.

NB:

..nadhani kuendelea kumchimba uraia wake mwisho wake anaweza akakimbia nchi. lakini tatizo letu litaendelea kuwa palepale kwamba atatuachia huyu Raisi aliyempachika.

..yaani itakuwa sawa na mwanamke aliyetiwa mimba halafu bwana akamkimbia.
 
Chochote chawezekana, hebu shuhudieni Anyango - akitema lugha ya Raila. Sasa kuna ajabu gani RA kutema Kinyamwezi ?

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=N_ZB5jqpxKg]YouTube - Anyango Nyar Siaya[/ame]
 
- Rostam, either amekosea mahesabu ya siasa au hajui hesabu anyways, labda anazijua zaidi hesabu za biashara, maisha yake yote ya siasa amekua mjanja sana na kununua cover kupitia kwa Lowassa na Muungwana, amejificha nyuma ya hawa kwa muda mrefu sana, mpaka majuzi alipoharibu kuliko.

- Ameharibu kwa sababu according to the dataz, viongozi hao wawili na wengine, wameshawahi kuwakutanisha yeye na Mengi at least mara nne kuwapatanisha, lakini siku zote huyu bwana amekuwa wa kwanza kuvuruga makubaliano, this time amevuruga pale alipomtuma Makamba kwenda kumsulubu Mengi CC akashindwa kwa sababu hakuna kiongozi wa siasa wa Tanzania, anayeweza kujitokeza mbele ya public kumtwanga Mengi, now whether you like Mengi or not kampeni yake ya muda mrefu ya kuwafichua Wahindi na Washiriki wao katika ufisadi, it has payed off big time katika ku-sway the public on his side na hasa hizi time za uchaguzi kukaribia.

- According to the dataz, ni kwamba nia na madhumuni ya Rostam kwenda Takukuru, ilikuwa kuwashawishi wafumfungulie kesi Mengi, ambayo ingekuja kushahidiwa na DCI, lakini Rostam akakosea hesabu moja kubwa, kwamba kumbe 60% ya usahidi aliokuwa nao against Mengi, ambao ameununua kwa hela nyingi sana mjini, alikuwa akiuziwa na watu sympathetic kwa Mengi na huenda hata ukawa umetengenezwa na Mengi mwenyewe, Takukuru na DCI walipomfahamisha kuhusu tatizo la ushahidi huu, yeye akaamua kutangaza mjini tena kwamba atamlipa Shillingi millioni 10 mtu yoyote mwenye kumletea ushahidi wa uchafu wa Mengi, giving Mengi another chance ya kupika ushahidi mwingine na kumuuzia through wapambe,

- Wiki nzima iliyopita, kumekuwa na juhudi kubwa sana behind the scene kumshawishi Mengi, but not Rostam kwamba a drop the matter, lakini Mengi hawezi hata kujaribu maana kuna wananchi wengi sana wame-invest in Mengi katika hivi vita, na wengi wao ni viongozi tena wa juu sana, kwa sababu baada ya Muungwana kumtema Lowassa, kama Rostam angekua na akili kama tunayoambiwa anayo basi angeshituka mapema kwamba he next on line kutemwa, huenda amegundua hilo sasa, lakini it is too late kwa sababu sasa he is in a big shit!

Huko nyuma niliwahi kusema hivi rais wetu ana nguvu za ajabu sana kikatiba, na kwamba hata nguvu ya kina Lowasaa and the gang, inamtegemea yeye tu na sio anybody else, nikasema ya Zuma hayawezi kutokea hapa Tanzania na hii katiba labda ibadilishwe, kwa hiyo tusishangae yanayojiri hapa na bado tunafuatilia mpaka tuone mwisho wa hii sagga, ila inthe meantime nimejifunza one thing kwamba Rostam sio a political genius kama nilivyokuwa ninafikiria, before this soo!

Respect.

FMES!
 
Mimi naona tungeendelea kureveal jinsi huyu mtu RA alivyoweza kuiba hela za watanzania na watu waliomsaidia kufanikiwa kuliko kujaribu kuistablish kama ni mtanzania au la, jibu litakuwa ngumu kulipata especial kama anahold Tanzanian passport (I believe if you hold a Tanzania passport it means you are Tanzania either by birth, marriage etc).
 
- Rostam, either amekosea mahesabu ya siasa au hajui hesabu anyways, labda anazijua zaidi hesabu za biashara, maisha yake yote ya siasa amekua mjanja sana na kununua cover kupitia kwa Lowassa na Muungwana, amejificha nyuma ya hawa kwa muda mrefu sana, mpaka majuzi alipoharibu kuliko.

- Ameharibu kwa sababu according to the dataz, viongozi hao wawili na wengine, wameshawahi kuwakutanisha yeye na Mengi at least mara nne kuwapatanisha, lakini siku zote huyu bwana amekuwa wa kwanza kuvuruga makubaliano, this time amevuruga pale alipomtuma Makamba kwenda kumsulubu Mengi CC akashindwa kwa sababu hakuna kiongozi wa siasa wa Tanzania, anayeweza kujitokeza mbele ya public kumtwanga Mengi, now whether you like Mengi or not kampeni yake ya muda mrefu ya kuwafichua Wahindi na Washiriki wao katika ufisadi, it has payed off big time katika ku-sway the public on his side na hasa hizi time za uchaguzi kukaribia.

- According to the dataz, ni kwamba nia na madhumuni ya Rostam kwenda Takukuru, ilikuwa kuwashawishi wafumfungulie kesi Mengi, ambayo ingekuja kushahidiwa na DCI, lakini Rostam akakosea hesabu moja kubwa, kwamba kumbe 60% ya usahidi aliokuwa nao against Mengi, ambao ameununua kwa hela nyingi sana mjini, alikuwa akiuziwa na watu sympathetic kwa Mengi na huenda hata ukawa umetengenezwa na Mengi mwenyewe, Takukuru na DCI walipomfahamisha kuhusu tatizo la ushahidi huu, yeye akaamua kutangaza mjini tena kwamba atamlipa Shillingi millioni 10 mtu yoyote mwenye kumletea ushahidi wa uchafu wa Mengi, giving Mengi another chance ya kupika ushahidi mwingine na kumuuzia through wapambe,

- Wiki nzima iliyopita, kumekuwa na juhudi kubwa sana behind the scene kumshawishi Mengi, but not Rostam kwamba a drop the matter, lakini Mengi hawezi hata kujaribu maana kuna wananchi wengi sana wame-invest in Mengi katika hivi vita, na wengi wao ni viongozi tena wa juu sana, kwa sababu baada ya Muungwana kumtema Lowassa, kama Rostam angekua na akili kama tunayoambiwa anayo basi angeshituka mapema kwamba he next on line kutemwa, huenda amegundua hilo sasa, lakini it is too late kwa sababu sasa he is in a big shit!

Huko nyuma niliwahi kusema hivi rais wetu ana nguvu za ajabu sana kikatiba, na kwamba hata nguvu ya kina Lowasaa and the gang, inamtegemea yeye tu na sio anybody else, nikasema ya Zuma hayawezi kutokea hapa Tanzania na hii katiba labda ibadilishwe, kwa hiyo tusishangae yanayojiri hapa na bado tunafuatilia mpaka tuone mwisho wa hii sagga, ila inthe meantime nimejifunza one thing kwamba Rostam sio a political genius kama nilivyokuwa ninafikiria, before this soo!

Respect.

FMES!

Kwahiyo Kama RA asingekuwa anavuruga makubaliano yaliyowekwa tusingemsikia Mengi anasema RA ni fisadi? Unajua mheshimiwa kila unapoandika unazidi kutupatia ufunuo kwamba Mengi anafanya hili swala for his personal gain than for that of the nation. Pia kwa kuongezea umeonesha kwamba Bila Makamba kwenda kumponda Mengi katika CCM ,Mengi asingejitokeza kwenye Vita ya ufisadi, which means Mengi anajali kujisafisha CCM than kwa Watanzania.

Kwa mwendo huu Bahari ya shamu hatutaivuka
 
Kila jambo ufanyalokalo hapa Duniani kwa makusudi huwa lina lengo kuu la awali.Huwezi fanya jambo bila kuwa na kusudio maalumu.
Hata hivyo uzoefu unaonyesha kwamba matokeo yakufanya jambo lolote zuri au baya si lazima yawe ni yale yaliyokusudiwa tu. Wakati mwingi kama siyo wote matokeo ya jambo fulani lililofanyika kwa makusudi huwa ni yale yasiyo kusudiwa kukamata mkondo kuliko yale yalokusudiwa. Unintended Results.
Lengo la kwanza la Mengi pengine ni lile la kuepusha Makalio yake juu ya moto au kujiweka vizuri katika mkao wa kula au vyote, lakini kwa kufanya hivyo anaanzisha ngendembwe isiyokusudiwa kabisa.
Naona vilanja wa CCM, wote kabisa wamefyata mikia yao katika ya miguu yao mithili ya mbwa aina ya Chihuahua, mdogo mnyonge na mnyenyekevu mbele ya jibwa kubwa lenye domo na taya nene aina ya Bull Dog , ndimi zao zimejiviriga vinywani mwao na kugandamana kwa kukakamaa kama vile zimepigwa upepo wa kimbunga cha lile baridi kali la Absolute Zero, yaani nyuzi 0 Kelvin.
Walimkandia Mengi, lakini Mpenzi wao Rostam kasema kwa kuiga mtindo ule wa Mengi Akina Sophia wanashindwa kummwagia radhi kisa aliyesema safari hii ni Rostam.

Katika hali kama hii Hata wavivu wa kufikiri wametambua kwamba Rostam Aziz haguswi kwa lolote wala chochote na wanaCCM wengi bila kujali vyeo vyao. Kwa sababu nguvu zake heshima yake na utukufu wake ndani ya CCM utaduma hadi mauti iigubike CCM.

CCM ndiyo impayo nguvu Hasimu Rostam, lakini Rostam naye kashika nguzo kuu muhimu ya CCM(Uchache, pesa mchicha,maneno,Sabuni ya roho, ngawila au ukipenda vijisenti).
CCM wakimtema Rostam, Rostam ataangamia na wao watafuata.
Rostam akiisukuma nguzo hiyo muhimu na pekee ya CCM ianguke, CCM inaangamia na yeye pia ataangamia.
Kama nyumba imebomoka na kugeuka kifusi cha matofali na vumbi, pazia la nini na thamani yake ni nini??

CCM na Rostamu sasa hivi wanatazamana kwa hasira na mshangao wa papo kwa papo wenye uchungu na aibu kama vile mtu na mkewe wamefumaniana Joyce kwa Joyce Guest House wote wakitoka kuoga Bafuni na njemba taulo kiunoni na mazeli upande mmoja wa khanga ya India maungoni bila hata kaptula ya ndani patamu hapo, si unajua tena Guest H zetu za Ushwazi Bafu lipo nusu maili???? Hiiii!!hiiiiiii!
 
Last edited:
Kwahiyo Kama RA asingekuwa anavuruga makubaliano yaliyowekwa tusingemsikia Mengi anasema RA ni fisadi? Unajua mheshimiwa kila unapoandika unazidi kutupatia ufunuo kwamba Mengi anafanya hili swala for his personal gain than for that of the nation. Pia kwa kuongezea umeonesha kwamba Bila Makamba kwenda kumponda Mengi katika CCM ,Mengi asingejitokeza kwenye Vita ya ufisadi, which means Mengi anajali kujisafisha CCM than kwa Watanzania.

Kwa mwendo huu Bahari ya shamu hatutaivuka

- Mengi siku zote amekua akipigana sana dhidi ya ufisadi, lakini behind the scene, yeye alikuwa the instrument iliyomuondoa Lowassa na Richimonduli sasa labda useme ali-gain nini personally on that,

- Yes, bila Makamba kwenda kumpigia kelele Mengi CC, Mengi angeendelea kupigana behind the scene kwa sababu ni more effective kuliko in the public kama ilivyo sasa, kwa sababu inampa fisadi nafasi ya kufuatilia kinachoendelea on the otherside of the glass,

- Mkuu una logic nzuri sana maana unajaribu sana toka juzi kuitumia kuona kama unaweza ku-solicit more info na dataz, keep it up, ila kwa leo ni hayo tu ingawa unaoneakana unampenda sana Rostam na Makamba, pamoja na Manji, good for you! Bwa! ha! ha!

Respect.

FMES!
 
Kula ni kula mbaya ni kukomba mboga.

Ulaji wa safarii ni wa kukomba mboga. Katika utamaduni mzima wa kula kukomba mboga ni jambo lisiloweza kunyamaziwa hata kidogo.
 
Soma post ya prince William page ya kwanza ya hii thread

Nimeisoma na nimejibu na nimtaka evidence ya kuwa RA ni mu Iran na karithi biashara za mjombake, hakuna jibu wala evidence!
 
Nimeisoma na nimejibu na nimtaka evidence ya kuwa RA ni mu Iran na karithi biashara za mjombake, hakuna jibu wala evidence!

Wakuu,

watu wengi wa Asia wanaoa close relatives, so there is possibility RA ameoa mtoto wa mjomba wake na hivyo basi automatically akawa amerithi mali za mjomba, na ndio maana sasa ni mtanzania. Na kama this is true ndio maana basi ameanza kusikika 1995 or early 1990’s ( mimi siko sure namesoma tu hapa).

Wale wamjuae RA vizuri au wanadata tuambieni

1. ameoa mtu wa wapi au mzaliwa wa wapi?
2. ameoa lini?
 
Nilisema huko nyuma na sasa narudia, huyu RA siyo genius kama wengi wanavyofikiri bali anatumiwa tu.

Na sasa amelikoroga sidhani kama sisiem wataendelea nae, tusubiri kuona sura nyingine kwenye fund raising ya kuelekea 2010.
 
Wakuu,

watu wengi wa Asia wanaoa close relatives, so there is possibility RA ameoa mtoto wa mjomba wake na hivyo basi automatically akawa amerithi mali za mjomba, na ndio maana sasa ni mtanzania. Na kama this is true ndio maana basi ameanza kusikika 1995 or early 1990’s ( mimi siko sure namesoma tu hapa).

Wale wamjuae RA vizuri au wanadata tuambieni

1. ameoa mtu wa wapi au mzaliwa wa wapi?
2. ameoa lini?

Nasikiasikia (SINA UHAKIKA) kaolea Nzega kwa Burushi anayeitwa MPONYA, kama ulishawahi ona kiroba cha mchele kimeandikwa MPONYA RICE.....
 
- Rostam, either amekosea mahesabu ya siasa au hajui hesabu anyways, labda anazijua zaidi hesabu za biashara, maisha yake yote ya siasa amekua mjanja sana na kununua cover kupitia kwa Lowassa na Muungwana, amejificha nyuma ya hawa kwa muda mrefu sana, mpaka majuzi alipoharibu kuliko.

- Ameharibu kwa sababu according to the dataz, viongozi hao wawili na wengine, wameshawahi kuwakutanisha yeye na Mengi at least mara nne kuwapatanisha, lakini siku zote huyu bwana amekuwa wa kwanza kuvuruga makubaliano, this time amevuruga pale alipomtuma Makamba kwenda kumsulubu Mengi CC akashindwa kwa sababu hakuna kiongozi wa siasa wa Tanzania, anayeweza kujitokeza mbele ya public kumtwanga Mengi, now whether you like Mengi or not kampeni yake ya muda mrefu ya kuwafichua Wahindi na Washiriki wao katika ufisadi, it has payed off big time katika ku-sway the public on his side na hasa hizi time za uchaguzi kukaribia.

Huko nyuma niliwahi kusema hivi rais wetu ana nguvu za ajabu sana kikatiba, na kwamba hata nguvu ya kina Lowasaa and the gang, inamtegemea yeye tu na sio anybody else, nikasema ya Zuma hayawezi kutokea hapa Tanzania na hii katiba labda ibadilishwe, kwa hiyo tusishangae yanayojiri hapa na bado tunafuatilia mpaka tuone mwisho wa hii sagga, ila inthe meantime nimejifunza one thing kwamba Rostam sio a political genius kama nilivyokuwa ninafikiria, before this soo!

Respect.

FMES!

FMES,

Nakubaliana na data zako maana zinajazia sana info niliyonayo for some days.nilidhani udaku na sikuwa na time wala mvuto wa kui-share.

Pamoja na kukutanishwa kwa Mengi na Rostam, Mkulu pia ameitwa mara tatu na CTI mara zote anaelezwa jinsi baadhi ya wafanyabiashara hasa wenye asili ya ki-asia wanavyoitafuna nchi na mbaya zaidi hata kodi hawalipi katika deal zote wanazofanya kupitia makampuni yao special for ufisadi. Wakaenda mbali zaidi kumpa mifano ya wazi, mtu kodi ya mwaka mzima kutokana na biashara zake zote analipa less than 50M (TShs), michango ya hisani mfano mpira au chaguzi za chama anatoa 400M (TShs).kumbuka hisani hizi siyo sawa na zile za elimu au maendeleo ambazo ni Tax Deductible! Kwa hesabu ya haraka Corporate Tax payable is 30% which means anayelipa jumla ya TShs. 50M kodi anakuwa amezalisha net income ya kama 166M. Now where does he get 400M to waste?

Katika vikao viwili vya awali Mkulu alikuwa akiwajibu kuwa yote hayo anayajua na wahusika wote anawajua kwa majina ila alipoombwa kuwataja alikuwa hakigoma.but in the last meeting walimbana sana awataje ngoma ilipokuwa nzito sana kwake akatoa blessing watajwe na wao CTI. Masatu and the like will query: if the blessing was given to CTI why Mengi appeared as MD of IPP Group in his press conference. My answer is simple; first try your common sense before I give you mine. Ila tu ni vema tujue, katika ngazi ya juu kama alivyobainisha FMES; nyuma ya Mengi kuna serikali ya wazawa, wananchi, wafanyabiashara wazalendo waliofanikiwa kama Idd Simba, Felix Mosha, Killewo etc.. Do you now get at least blurred picture CTI vs IPP?

Pili, kwa nini ataombwa kwa ghalama yoyote ile Mengi afute kesi na kumalizana nje ya mahakama?

Shutuma zote alizotoa RA ziliegemea mfuko wa Commodity Import Support (CIS). Ukisoma vizuri shutuma za RA kwa Mengi zinatumia nyaraka na transactions za 1988-1996 basi baada ya hapo hakupata kitu chochote cha kumshutumu Mengi zaidi ya malumbano na watu mbalimbali na serikali. Vivyo hivyo Kiini cha kesi aliyofungua Mengi kiko kwenye ukweli katika transactions za CIS. Hapa ndipo kwenye uchafu ambao walakini kila mwanasiasa wa wakati huo ambaye ameendelea au amestaafu siasa leo alihusika kuchota pesa. Wengi walimtumia Manji (about 80% of CIS). RA pia ni mdeni lakini sijui akili gani ilimtuma kujaribu makali ya shoka kwa kukata tawi ambalo naye kadandia!

Kuiacha hii kesi ilindime na majalada kuitishwa unamaanisha kuwaanika wanasiasa hawa. Na izingatiwe tayari joto la uchaguzi limeanza. Achilia uchaguzi, ukweli ukianikwa na mahakama unafikiri nchi waliofadhiri mfuko huo watachukua hatua gani juu ya miradi na ufadhiri wao Tanzania?

Wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka Mrema alikwamishwa mara nyingi sana katika serikali ya Mwinyi kila alipopeleka taarifa ya ufisadi ndani ya CIS bungeni. Hili jambo si la leo na limebeba wana siasa maarufu wa leo na wa jana
 
Back
Top Bottom