Am shocked! Thats what I can say, at least for now. Ila Kaunga tutake radhi tunaopenda kalaga..... tunaweza kuwa wakatili lakini si kwa kiwango cha huyu bazazi.....
You have just killed my biological capability!! Ngoja nikazimue.
BTW waweza nipa contacts za huyo mwanaizaya? Niko radhi kwenda motoni kwa kuuondoa uhai wake. I HATE HIM!!
Come on Kaunga, this must be a fiction, right?
Hata ningepiga, sauti isingetoka kwenye jumba kubwa licha ya compound.
Pia niliona nitaabika mwenyewe, nilienda kufanyeje?
Parenting!
This is typical! Nilipomaliza form four, mshua alisafiri lakini kukawa na mzigo wake wa kwenda kuchukua (kama km 200 hivi). Nadhani alitaka kuniexpose kwa kazi kidogo manake already i was handling stuff for him. So baba habib akaja kunichukua na nikiwa na pesa za kulipia mzigo twende huko. Alinitongoza na nikamjibu mbovu ile mbaya (king'asti has always been like this. Mi nilimshangaa Paw kwa kuvumilia maumivu yaani, dah).
Bahati yangu nilikuwa very close na mama. Nikamsimulia, tukamnanga huyo baba na mama akisema jinsi alivyo na mke mrembo na watoto wazuri na yeye alivyo hopeless! Sikuwahi kujua kulitokea nini, ila hiyo ilikuwa mara ya mwisho kumuona baba habib na familia yake. Imagine!
Tuna mengi ya kujifunza juu ya ulezi na mahusiano ya watoto wetu!
Pole sweets. Naomba nifafanulie hapo kati simu ilipoita ukaitwa hotelini ulienda? Its not clear to me. I am really sorry for what happened.
My cousins daughter alibakwa repetitively na shemeji yake. Alipokuja kupata STD ndio watu walistuka. That child was so disturbed alipata heart problems. At the time wali lose case because walikosa hela ya ku bribe etc. I decided to study law to be able to assist such people who seek justice but their pockets do not allow it.
Inaogopesha how easy watoto wa kike tunavyoingia mtegoni....really scary.....wengi tumelaghaiwa hivyohivyo hata kama si kwa kubakwa
Asante kwa kushare na pole
Hapo kwa red..... hebu fanya ASAP! Kum.....ye zake wallah!No my dad alikuwa mnywaji mzuri and everybody knew na ndio maana bazazi lile lilitake advantage; lucky was on his side kwani nilikuwa mtoto pekee niliyekuwepo home, kwani kaka zangu walikuwa A'level na boarding school.
NtakuPM jina lake ili umtafute FB kwani sina mawasiliano naye!
So as mnywaji, usikubali offer za hata mabest wako, bintizo wanaweza kuwa wanalipia. This is my message.
Pole, mabinti wa siku hizi wajanja sio mabozo kama mimi; na who knows maybe ningeweza kukataa (hofu ndio iliyonitanda), huwa narudisha mkanda nyuma na most of the time najilaumu mwenyewe zaidi.
Mshukuru sana Mungu kwa kukufanya uzaliwe Mtakatifu.Kama hii story ni ya kweli natamani kukuita mpumbavu lakini najua nikikutukana nitaendelea kukuumiza zaidi. Kama ni kweli, kuna mapungufu mengi sana nayaona.
1. Mtu ameshakuambia ni rafiki sana na baba yako, yaani Dr. kwa nini akuombe wewe namba ya simu si ungemwambia huikumbuki ampigie tu baba?
2. The following day alipopiga simu ukapokea akaomba kuongea na Kaunga ukasema ndio wewe akakumbia njoo hotel ukajibu sawa... nini kiliendelea, ulikwenda?
3. Alipokuja nyumbani ukamuona ukaenda jikoni baada ya kuitwa na baba ukakataa mama alipoinsist si ungemweleza?
4. Ulipoongozana naye kulikuwa na ulazima gani wa kuingia ndani wakati ulishajua nia yake? Kwani hiyo chupa ulishindwa kumwambia akuletee nje akikataa unaachana nayo unarudi nyumbani unakimbia na kuwaeleza wazazi wangekuelewa tu kwani hata wao wangeshangaa ni kwanini akulazimishe kuingia ndani wakati yuko peke yake
5.Baada ya kufanyiwa kitendo hicho kwa nini usingerudi unalia ukawaeleza wazazi au ulikifuarahia?
6. Hivi pana umbali gani kati ya kwenu na kwa huyo mbaba, je wazazi hawakushtuka muda uliotumia against muda ambao ungetumia kwa kuchukua chupa ya kinywaji na kurudi?
Yapo mengi ya kujiuliza ndo maana nikatamani kusema wewe ni mpumbavu lakini nikaghairi. Wala sikupi pole.
Kama hii story ni ya kweli natamani kukuita mpumbavu lakini najua nikikutukana nitaendelea kukuumiza zaidi. Kama ni kweli, kuna mapungufu mengi sana nayaona.
1. Mtu ameshakuambia ni rafiki sana na baba yako, yaani Dr. kwa nini akuombe wewe namba ya simu si ungemwambia huikumbuki ampigie tu baba?
2. The following day alipopiga simu ukapokea akaomba kuongea na Kaunga ukasema ndio wewe akakumbia njoo hotel ukajibu sawa... nini kiliendelea, ulikwenda?
3. Alipokuja nyumbani ukamuona ukaenda jikoni baada ya kuitwa na baba ukakataa mama alipoinsist si ungemweleza?
4. Ulipoongozana naye kulikuwa na ulazima gani wa kuingia ndani wakati ulishajua nia yake? Kwani hiyo chupa ulishindwa kumwambia akuletee nje akikataa unaachana nayo unarudi nyumbani unakimbia na kuwaeleza wazazi wangekuelewa tu kwani hata wao wangeshangaa ni kwanini akulazimishe kuingia ndani wakati yuko peke yake
5.Baada ya kufanyiwa kitendo hicho kwa nini usingerudi unalia ukawaeleza wazazi au ulikifuarahia?
6. Hivi pana umbali gani kati ya kwenu na kwa huyo mbaba, je wazazi hawakushtuka muda uliotumia against muda ambao ungetumia kwa kuchukua chupa ya kinywaji na kurudi?
Yapo mengi ya kujiuliza ndo maana nikatamani kusema wewe ni mpumbavu lakini nikaghairi. Wala sikupi pole.
Mimi ningekuwa wewe ningekubali kubaki na upumbavu wangu badala ya kumjibu. Watu wengine sijui wakoje?Wala hujakosea kuniita mpumbavu, coz looking back sijioni zaidi ya mpumbavu.
Sikwenda hotelini ndio maana akaja kwetu. Umbali wa kwake na kwetu ulikuwa kama dkk 7 hadi 10 kutembea. Kwanini niliingia sikumbuki details lkn ndio moja ya upumbavu nilioufanya; ndio maana nimesema kwenye post moja hapo juu ninajilaumu mimi zaidi. What l am sure of ni kwamba, sikutaka wala kupenda hicho kitu!
Kuna mtu alimtongoza my sister alikuwa dereva wa mzee,,, sister akaniambia mimi ila akasema tusimwambie maza maana itakuwa kasheshe alikuwa form 2 na huyo dereva alikuwa ndo anampeleka na kumfata shule kila siku (matumizi mabaya ya magari ya serikali),,, sasa kuna siku bwana sister alinichongea kwa maza nikalilipua soo, kwamba wewe unatongozwa na dereva unamficha mama ulivyo mshenzi yaelekea unafurahia...
Sister si akawekwa mtu kati na b mkubwa na mzee aeleze vizuri,,, akalipua soo,,, nakumbuka ilikuwa ni usiku kama saa 4 hivi nasi tunakaa mbezi beach dereva anakaa mtoni ya temeke,,, lakini tulikurupushwa wote mpaka kwa dereva na mshua amefura mbaya,,, kilichotokea huko sitaki kukumbuka wacha niishie hapa.... Hadi sister alijuta kwa nini alinisimulia...
Wazazi muwe karibu na watoto wenu maana kuna mambo yanawatokea wanashindwa kuwapa ukweli