Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
siyo promotion ya umaarufu mkuu, i know uko vizuri sana.
hapa nazungumzia maua, na mapambo kwa ujumla..
i will give u my hand...on that
No,thanks anyway ....!!
siyo promotion ya umaarufu mkuu, i know uko vizuri sana.
hapa nazungumzia maua, na mapambo kwa ujumla..
i will give u my hand...on that
hakuna anaekesha bure,
hata principles za kidini zinajieleza wazi.
Mie nakupenda sana my dia kan'tangaze
Anajua kuwa najua hitaji lake,sasa we kesha hapa ukipiga debe
Huyo sio hitaji lake,niulize mimi ndo ninajua
utakesha milele!
Wakorofi hawa wameng'ang'ania.....
Waambie wakuwache upumue ......!!
Raha jipe mwenyewe bibi wee.....
msalimie bibi yangu ukimwona huko machame
hili jina lako ni neno la msimu,na baadhi ya maneno ya msimu huja nakupotea.
hivi muda wake ukiisha utalibadilisha?
Huyu si bado ana element ya uparoko atakuwa anajua ila sina uhakika.
Hahahaha I salute you.Sijui nimepatia kingereza?Wasipaone wote wapenda shule
na wewe sasa usijicheleweshe kwa kamanda wa mlima.
tena ushakuwa promised....engagement ni Uhuru peak.
kina Paroko watakuona kwa chini tu!!