kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,237
- 17,674
Hapana kaka, siwez kubadlsha.mpaka lsanfiwe...Lol
basi pouwa....
karibu sana.
Hapana kaka, siwez kubadlsha.mpaka lsanfiwe...Lol
No,thanks anyway ....!!
Mie nakupenda sana my dia kan'tangaze
We me nina my husband wangu mzuriii.....
honey faith upendo wa agape huu.
Thanks. .lets keep on sharing and supporting each other mamyto honea Faith
teeja!? aisee..
Raha jipe mwenyewe bibi wee.....
hapa hakuna ndoa...
Huyu si bado ana element ya uparoko atakuwa anajua ila sina uhakika.
Teja ndio....
happy birthday. buddy
nikutakie kila lenye kheri na pongez kwa wife kwa kukujali
Ooooh kumbe ni birthday , hongera sana kwa siku hii muhimu ktk maisha yako Mungu azidi kubariki mahusiano yenu na yazidi kushamiri day by day.mpenzi!! asante sana.
Nawakaribisha marafiki zetu wote tujumike katika heri hii..
wana teamrafiki wote, sungura1980 na mkeo. Mndengereko, utafiti ladyfurahia, kabanga ndugu yangu.
Heaven on Earth, Ablessed miss neddy, 'Valentina', Jawilat...
wanakusini wote... my friend MMAHE.
wakubwa Sizinga na THE BIG SHOW mwenyewe.
karibuni wote na team zote...
Arusha's Arushaone, marejesho, Erickb52..
Chocs PakaJimmy and all members
Si uwaambie tu?
yuko kwenye crisis huko Malawi...
na kapata binti huko.