happy bath day
juzi nimekutana nae aisee, anaenda bukobaaaa
Jamani kaenda kufanya nini hujamwambia namtafuta??
afu ujue akitoka mlimani huwa anatupesa pesa ...
Utasubiri sana .....!!
nimekupata sasa..
huyu wangu, napata kila kitu.
ni wangu nimeumbiwa.
ngyileinengo isarya...ngyimchihie nawi...
Atanipa tu mdogo wake anavonipenda..
ni kitu chema tu, hususani kuwahusu wewe na ndugu yangu Mtoto halali na hela....
ni kitu chema tu, hususani kuwahusu wewe na ndugu yangu Mtoto halali na hela....
Najua but leo n sku yako muhimu sana...
poa mkuu na pole, upo na wanchi gani?
nasikia waitaly, na waspain ni wagumu sana.
Kuna nini tena??
nipo na wa Norway, ila kasumba ya kuwa kabila fulani hawalipi naikataa. Inategemea tu na jinsi kazi ilivyofanyika
siku ukikubali kuuacha uparoko nijulishe.
nikupatieni promotion ya ndoa...
duh..sikumwambia.
nadhani yeye aliondoka tarehe 4/07.
atarudi lakini...
umeona alichoandika hapo juu?