This is for you my darling

This is for you my darling

Attachments

  • 1404635019684.jpg
    1404635019684.jpg
    31 KB · Views: 114
Last edited by a moderator:
Huwa napata faraja kuona mke akimjali na kumkumbuka mumewe kwa kila jambo.
Happy birthday bwana shemeji mungu akupe maisha marefu yenye raha ,amani na upendo

asante sana mkuu..
hata mimi nafurahia sana kupendana kwetu.
 
mpenzi!! asante sana.

Nawakaribisha marafiki zetu wote tujumike katika heri hii..

wana teamrafiki wote, sungura1980 na mkeo. Mndengereko, utafiti ladyfurahia, kabanga ndugu yangu.

Heaven on Earth, Ablessed miss neddy, 'Valentina', Jawilat...

wanakusini wote... my friend MMAHE.
wakubwa Sizinga na THE BIG SHOW mwenyewe.

karibuni wote na team zote...

Arusha's Arushaone, marejesho, Erickb52..
Chocs PakaJimmy and all members

Mimi na my hubby Eiyer tunakutakia kila lililojema maishani mwako na furaha yako izidi kuongezeka siku hadi siku.... Pongezi kwa mkeo shansarie kwakua kiendelezo cha furaha yako...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom