i mean, una swaga za uenyeji.
wish udumu hapa..
Kaka nae kagoma kuoa nina mpango wa kumtafutia wifi kwanin yeye tu apigwe baridi....
Ha haaa... Hakuna kuremba ukizubaa tu unakwatwa kidizan flan....lol
wewe kaka anakusubiria tu.
anategemea m'badilishe status tu..
hii ni ya Mtoto halali na hela anapigwa baridi sasa huko juu
Kaka nae kagoma kuoa nina mpango wa kumtafutia wifi kwanin yeye tu apigwe baridi....
Hahaaaaaa me penda sana kusikia hivo baba paroko.
ebwana uko njia gani?
salimia wageni ulionao.
tipu itakuwa kubwa.
Me takiii nataka wifiii......
salam zimefika, nilivyomiss dollars hope nitaanza kuzishika tena. Nipo Machame route, seven days.
Mmh sikio tena?? Haya bana...
Ok..dah.usjal kaka. Naona full mahaba, sjui utakuta ktu gan na sjui ktakuwa ndani ya box amaa vipiiii.
Utasubiri sana .....!!