Kuna Mwanyasi wangapi kwani?
Tena ukome kumfuatafuata Mke wangu
Kaka..how was ya day..uliifurahia ipasavyo??
mpenzi!! asante sana.
Nawakaribisha marafiki zetu wote tujumike katika heri hii..
wana teamrafiki wote, sungura1980 na mkeo. Mndengereko, utafiti ladyfurahia, kabanga ndugu yangu.
Heaven on Earth, Ablessed miss neddy, 'Valentina', Jawilat...
wanakusini wote... my friend MMAHE.
wakubwa Sizinga na THE BIG SHOW mwenyewe.
karibuni wote na team zote...
Arusha's Arushaone, marejesho, Erickb52..
Chocs PakaJimmy and all members
Me sijakuelewa eti...kwanza nahisi nachat na mtu mwingine sio kaka'ngu.
ndio hivyo unachat na mtarajiwa wako
Kaka kwema??
kaka anapesa, ukim'badilishia jina atakukubali...
Ati ikiona hivyo ujue ndama ananyonya maziwa ya mama yake
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums