kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,229
- 17,659
Bado sijaalikwa mkuu
Au nije kwa ruksa yako?
karibu sana mkuu..
Bado sijaalikwa mkuu
Au nije kwa ruksa yako?
Huyo kantangaze mbona sina ukaribu nae?Nitamuanzaje?Hilo jina tu linaniogopesha
karibu sana mkuu..
'Valentina' ni mke wangu halali kabisaaa ...!!My dia kiukweli wewe sikuwezi.Yani hadi kwa baba paroko?Kweli wewe noma
Wabheja sana .....!!
ebwana uko njia gani?
salimia wageni ulionao.
tipu itakuwa kubwa.
'Valentina' ni mke wangu halali kabisaaa ...!!
Aaaaghaa.kumbe kaka kiwatengu leo birthday yako!!!!! Aaagh Aaagh. .bas hongera, maana tumezaliwa mwez mmoja.july z a wonderful month.
Happy birthday bro
hii ni ya Mtoto halali na hela anapigwa baridi sasa huko juu
Hahaaaaaa me penda sana kusikia hivo baba paroko.
asante sana.
sitaki kuamini kama wewe ni mgeni hapa na
sitaki nikufananishe na mtu..
Haaaaaa me sms potea hiyo jamani nimemiss kaka'ke mimi niitie jamani.
hii ni ya Mtoto halali na hela anapigwa baridi sasa huko juu
Kwamba vp kaka??? ? Sjakuelewaaa atiiii