The Worst Thing You've Ever Done For Love?

Kama kupenda ni kushindwa kutumia akili basi heri nisipende maisha! nyie ndio wale jamii inachuma dhamba pale inapoona umewekewa limbwata

kawaida yangu mimi sio mchoyo,ata marafik zangu utumia sana pesa zangu
 
Usijali kaka yangu utampata wakwako tu hata $1 hutotumia
mie mwenzako niliiuguza mtu hawezi kula,kunywa namvalisha pampers,namnawisha mavi,naangalia mipira ya mikojo isimwagike yeye analala mimi nakesha kumlinda
alivyotoka hospital akaja kutembelewa na rafiki yake wa kike ambae alikuja na rafiki yake aakachukua contacts na kuanza mawasiliano
kesho yake akaanza visa na kuniacha kweupe kwa matus,kejel na dharau
hospital nilichange dollar 100 kwa ajili ya kumpa mtu anitengenezee passport nikatumia kwa matumizi yake
matokeo yake ile dili ya kwenda out of country nikaikosa
hayo ndo mapenzi

Mmmh...hii inauma sana!!!POLE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom