The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Ukweli hauwezi kufichika ila unaweza kugeuzwa kwa kupandikiza uwongo.

Pili,lengo ni kufuta taswira ya uumbaji katika ulimwengu na kuaminisha watu kuwa tupo kwa bahati na hatuna hatma yetote zaidi ya kifo.

Tatu madhara yake ni kubadilisha mifumo yote ya elimu,uchumi,madawa,na tahamaki kwa ulimwengu mzima na hilo hawawezi liruhusu maana wamefika mbali kwenye mpango wao.

Nne hautakubali kuwa mtumwa maana utajua ukweli juu ya uhalisia wako kuanzia asili,mtazamo na hatma na sababu kwanini upo duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe binafsi katika hilo la pili la taswira ya uumbaji umefikia wapi?
Na hilo la nne umefanikiwa kutokuwa mtumwa kama "sisi" umashaijua hatma yako,asili,mtazamo na kwa nini upo hapa?Nakusihi na kukuomba saaana sana round hii nijibu straight mkuu,ili uwe umesaidia wengi.Wala usijali kama majibu yako yatabadilisha uelekeo wa mjadala.Refer hapo Lifecoded nae kaeleza kuwa ni kama tunafanyiwa experiments😃😃.
 
Macho ni reality,camera ni virtual ila vyote vinadecode photography,macho kuona uhalisia kamili ni kawaida ila camera imetengenezwa katika mfumo ule ule kama macho katika utekelezaji,na tunatumia camera kama kiwakilishi na chombo cha kuhifadhi kumbukumbu katika virtual aspect resembling reality at maximum point badala ya macho.

Mfano umeona nyumba,mtu akapiga picha ile nyumba akakuletea picha,akakuuliza je unaifahamu hii nyumba?utamjibu vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kufahamu jambo hata kwaa ishara tu achila mbali kuona kitu hicho baada ya kifaa fupani kunasa picha.

Kama ushajua ya kuwa macho ni uhalisia na camera ni taswira bunifu viwili haviwezi kuwa sawa.

Kimoja ni msaada wa kingine,ila kimoja hakikupi uhalisia timilifu.
 
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani

Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?

Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?

Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?

kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?

Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
hahaa paragraph ya mwisho ..my ribs

baba itakuwa ni bahili tu na anapenda kuomba+....BTW hoja zako zinafikirisha
 
Kaka inaonekana hujui maana ya Elimu, elimu sio dibaji na kusoma risala mbele ya mgeni rasmi, elimu ni ile ambayo uko nayo kifuani mwako, na unaweza kuitoa popote utakapo kuwepo.

Sasa unapokutana na mtu ambae anakutoa wasi wasi juu ya unachi mdhania, lakini hutosheki unaendelea kujificha kwenye kichaka cha ubishani na kwamba sitaelewa, hii ni ishara ya kuwa hicho unajifaragua kwacho hukijui, ndio maana unishia kutaja majina.

Bora kidogo chenye manufaa kuliko kingi chenye karaha.

Nipo....
LOL
 
Mkuu huko kote mi nishavuka na issue ya experiments ni kweli kwa mtazamo ukilinganisha kuwa TUMEUMBWA ila maelezo kamili ukitaka sasa hiyo ni mada nyingine ya uumbaji na ni ndefu
Wewe binafsi katika hilo la pili la taswira ya uumbaji umefikia wapi?
Na hilo la nne umefanikiwa kutokuwa mtumwa kama "sisi" umashaijua hatma yako,asili,mtazamo na kwa nini upo hapa?Nakusihi na kukuomba saaana sana round hii nijibu straight mkuu,ili uwe umesaidia wengi.Wala usijali kama majibu yako yatabadilisha uelekeo wa mjadala.Refer hapo Lifecoded nae kaeleza kuwa ni kama tunafanyiwa experiments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kufahamu jambo hata kwaa ishara tu achila mbali kuona kitu hicho baada ya kifaa fupani kunasa picha.

Kama ushajua ya kuwa macho ni uhalisia na camera ni taswira bunifu viwili haviwezi kuwa sawa.

Kimoja ni msaada wa kingine,ila kimoja hakikupi uhalisia timilifu.
Hilo nalielewa hoja yako ni ipi sasa?
Moja actual real ingine artificial ila vina nasa kitu kimoja sasa tatizo lipo wapi?camera inahifadhi uhalisia kwa njia ya computerization ila sisi tunahifadhi uhalisia kwa utimilifu wake ,lakini haimaanisha kwamba kumbukumbu za camera zimehifadhi utofauti.is all about decoding sight and nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli hauwezi kufichika ila unaweza kugeuzwa kwa kupandikiza uwongo.

Pili,lengo ni kufuta taswira ya uumbaji katika ulimwengu na kuaminisha watu kuwa tupo kwa bahati na hatuna hatma yetote zaidi ya kifo.

Tatu madhara yake ni kubadilisha mifumo yote ya elimu,uchumi,madawa,na tahamaki kwa ulimwengu mzima na hilo hawawezi liruhusu maana wamefika mbali kwenye mpango wao.

Nne hautakubali kuwa mtumwa maana utajua ukweli juu ya uhalisia wako kuanzia asili,mtazamo na hatma na sababu kwanini upo duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono.
 
Hilo nalielewa hoja yako ni ipi sasa?
Moja actual real ingine artificial ila vina nasa kitu kimoja sasa tatizo lipo wapi?camera inahifadhi uhalisia kwa njia ya computerization ila sisi tunahifadhi uhalisia kwa utimilifu wake ,lakini haimaanisha kwamba kumbukumbu za camera zimehifadhi utofauti.is all about decoding sight and nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yangu niliisema tangu awali ni kuwa vitu vinavyotumika kufikia hitimisho havikidhi haja.
 
Hilo nalielewa hoja yako ni ipi sasa?
Moja actual real ingine artificial ila vina nasa kitu kimoja sasa tatizo lipo wapi?camera inahifadhi uhalisia kwa njia ya computerization ila sisi tunahifadhi uhalisia kwa utimilifu wake ,lakini haimaanisha kwamba kumbukumbu za camera zimehifadhi utofauti.is all about decoding sight and nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unakubali ya kuwa Camera haiko au haijstengezwa kwa kukupa hitimishl la utimilifu bali msaada kufikia ukamilifu/utimilifu. Kama hali iko hivyo kwanini unatumia kitu kisocho kamili kuhitimisha juu ya utimilifu ?
 
Sawa mkuu. What is a purpose of life,regardless of earth being flat or spherical?
What is reality, is reality actual or a relative concept?
Purpose of life is experiencing a gift of we immortals ,to experience this gift we have to be mortals meaning we should have a body and soul.

A good example is we can mate but angels can't so we experience things that other immortals cant experience.

We are supposed to live in humanity order perfectly matching our intelligence substance within us thus creating a pure man kind structure ,free of thoughts,conductivity and organization,love and survival.

The artificial world today is irrelevant to all the above.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tuendelee kusoma mada za kugegedana tu kuliko hizi mada za hovyo kabisa. Tatizo la wasomi wa kibongo hawana mada za maana zaidi ya kutunishiana misuli tu nani yuko nondo kwenye eigenvalue na eigenfuction au socratic tradition. Tunategeme mada kama hizi tupate elimu ya kutosha lakini matusi kibao, msomi gani unamwita mwezako mpumbavu kisa anahoji. Hao mnao waamini bila ya kupinga maono ya classical hiyo quantum ingekuwepo leo. Na huko kutumia lugha ngumu ndio tuwaone wasomi sana? Sijawahi kuona wasomi wa hovyo kama ninyi. Ngoja tuendelee kusoma mistari ya kutongazana kuliko huku mnatuchosha, nimesoma uzi wote sioni chochote cha maana zaidi ya majina ya wanasayansi na hiki unakijua. Shuwaini nyie
😃😃😃😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom