The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Hahahaha

Ujue at first nimeona mada nikajua itakuwa moto, at last point ana-disappoint ndio sababu ya kuacha kujumuika maana nimeona topic 8 at once.

Hivi sasa nimefahamu why (Non Spherical Earth Believers) ikiwemo mimi tunaonekana wa ajabu. Hasa alipoongeza hii ya Satellite ni Minara tu.

Endapo angelipitia mada za awali angefahamu kuna watu tulikaa kikao cha masaa 72 JF! Tukijadiri hili.
VIDEO HII PENGINE UTAJIFUNZA KITU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neil Armstrong na Buzz Aldrin hawakwenda nje ya dunia, hawakufika Mwezini.

Moon landing haikutokea, ile ni siasa ya wamarekani kuifanya dunia iamini vile

USSR Ilituma kifaa nje ya dunia ni kweli...ila binadamu hakufika mwezini

Kuna hoja za msingi sana zinapinga hilo, hata picha ya Armstrong tu haikuwa na kivuli

Bendera ya USA waliyoichomeka chini ilikuwa inapepea...wakati kwenye moon na red planet hakuna Oxygen wala moving wind

Ile ni studio ilifanya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezini unaanzaje kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
WsXipzJ.jpeg
IMG_20200126_041706_270.JPG
3504.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu dunia ni duara dufu ila haizunguki jua alafu dunia huanza kupinda kuanzia mile 7 hivyo kama MTU akikaa eneo tambarare umbali huo hutamwona ni kuulize mfano dunia ikawa hakuna kizuizi chochote pako plain ukikaa tz utaiona us?
 
Mani they even say hakuna kitu kinaitwa sattelite

Mani am down
They first must define flat for this debate to be meaningful.

There is no debate without definitions.

In the Socratic tradition of rhetoric and dialogue.

So again.

What is flat? How do you know this is flat and that is not?

How do you verify?

Otherwise, one can look at mountains and valleys and say the world cannot be flat.

It has mountains and valleys. That is not flat.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madhara gan kam watu wakijua dunia sio tufe ila ni tambarare??kwanini wakataze watu wasiende?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Camera sidhani ila naamini kwa macho tukitoa hizo factor tukaweka taa kubwa mwisho wa ncha moja ya duara na nikasimama ncha ya pili ya duara bila barrier hapo kati nitaona ule mwanga hilo naamini 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili liweke katika uhalisia wa dunia yetu. Ili hili liwezekane inabidi tuzijue hizo ncha mbili dunia ziko wapi. Je nani anae jua nchs za dunia ziko wapi ?
 
Sasa si ndio mweleze kwa nini ni mnadhani ni flat? 😁. Na kwanini Jua mnasema haliko stationery.We usihangaike na mapungufu yetu sisi.Just drop the facts....mwanzo mwisho, hizo story za youtube zipo nyingi tu mara kuna mwamba alikuwa anaita aliens n.k its just youtube na mambo yake kusaka subscribers,views e.t.c na hata kama sio youtube kuna kusaka umaarufu kwa kuongea uongo pia.
Yani wenzako hapa kuna mmoja anataka kutuaminisha hata projects za Elon Musk na mishe zake za Space X kuwa ni uongo, eti ni movie zinatengenezwa Hollywood😃😃.Picha za Sattelite ni uongo watu wanapiga wakiwa chini tu sijui na underground communication cables😃.Zurri hebu leta facts acha lawamaaa. The Reality is Unrealistic kabisa, ile evidence yake moja ya picha juu ina "God"😃😂😃😂

Kwanza siamini katika dunia ni tambarare hapa unatakiwa uwe makini na nimeshalieleza hilo.

Sababu za jua kutokuwa Stationary ni nyingi, hapa nakutajia mbili.
1. Huchomoza mashariki na kuzama magharibi
2. Kuwepo usiku na mchanw

Nakuuliza swali : Kwanini mnadai ya kuwa jua liko stationary ? Nani amelithibitisha hilo ?

Wewe ushawahi kuthibitisha ya kuwa hizo projects za kweli au unaridhika na kusikia na kuona mapicha picha mtandaoni ?
 
- Y fall? Lazima kuwe kuna a certain kind of force inayosababisha hiyo "falling", Kwa concept hiyo y flat earth najua gravity haiwezi kuwepo ndio maana nimeuliza.

- So far huna proof yeyote, unazotoa ni guesses tu hauwezi aminisha watu based on guesses. Tafuta proof kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
You have my support, somewhere up there is a zone called parking orbit and it is where satellites are launched. Things sense no force there thats why they dont fall out.
So, this proves gravity influence exist below it, I wonder how the concept of gravity be explained in your sense of mind?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tuendelee kusoma mada za kugegedana tu kuliko hizi mada za hovyo kabisa. Tatizo la wasomi wa kibongo hawana mada za maana zaidi ya kutunishiana misuli tu nani yuko nondo kwenye eigenvalue na eigenfuction au socratic tradition. Tunategeme mada kama hizi tupate elimu ya kutosha lakini matusi kibao, msomi gani unamwita mwezako mpumbavu kisa anahoji. Hao mnao waamini bila ya kupinga maono ya classical hiyo quantum ingekuwepo leo. Na huko kutumia lugha ngumu ndio tuwaone wasomi sana? Sijawahi kuona wasomi wa hovyo kama ninyi. Ngoja tuendelee kusoma mistari ya kutongazana kuliko huku mnatuchosha, nimesoma uzi wote sioni chochote cha maana zaidi ya majina ya wanasayansi na hiki unakijua. Shuwaini nyie
 
You have my support, somewhere up there is a zone called parking orbit and it is where satellites are launched. Things sense no force there thats why they dont fall out.
So, this proves gravity influence exist below it, I wonder how the concept of gravity be explained in your sense of mind?

Sent using Jamii Forums mobile app
The earth and other massive bodies in space are round sababu ya gravity, Each atom katika body inavutwa toward a single point ambayo ni center. With presence of gravity kama dunia ingekua sahani, naturally ingecollapse kutengeneza duara.

Kusema dunia ni sahani inamaanisha gravity haipo tena kuna aina nyingine ya force ambayo wamegoma kuielezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli mkuu dunia ni duara dufu ila haizunguki jua alafu dunia huanza kupinda kuanzia mile 7 hivyo kama MTU akikaa eneo tambarare umbali huo hutamwona ni kuulize mfano dunia ikawa hakuna kizuizi chochote pako plain ukikaa tz utaiona us?
Ndio kukiwa na no humidity,fog,smoke,dust,snow na other factors which cause unclearance

Dunia ni plane kusema duara unaongelea dome ambayo ni ems(electro magnetic shields)of hata hizo rockets zina bounce kuelekea heaven celestial levels

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just use commonsense for even a second nani kaandika an intact ball is flat that is crazyness.

I told you a flat area according by defining earth is a horizontal plane where things can stay stationary whether in motion or not ,and when are incontact with the plane surface they cant fall front or backwards because its aint your spherical madness.
What are you talking about?

Is a ball that is intact flat?

What is intact?

Your answer raises more questions than it answers.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And its flat because of the horizon in our own sight and presense of no curvature at all.

Species like us are hard to comprehend and accept reality because since young they are being indoctrinated with false knowledge and understandings.

Kiranga wake up the world you are is an existing virtual world because you are mere part of the system kwahiyo sikushangai ,every scientist na rich person na yeyote ambaye ana amini darkside atasupport whatevers you are trying to claim.

They first must define flat for this debate to be meaningful.

There is no debate without definitions.

In the Socratic tradition of rhetoric and dialogue.

So again.

What is flat? How do you know this is flat and that is not?

How do you verify?

Otherwise, one can look at mountains and valleys and say the world cannot be flat.

It has mountains and valleys. That is not flat.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi.Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha,sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitunkinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?. Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara!!Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Mkuu ujaelewa vizuri lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hili liweke katika uhalisia wa dunia yetu. Ili hili liwezekane inabidi tuzijue hizo ncha mbili dunia ziko wapi. Je nani anae jua nchs za dunia ziko wapi ?
Mi naweza kusema ncha ni imaginary point yeyote unayoweza kuweka at any circular position within a southpole na sio kuwa nani anajua ellites wote wanajua kwasababu ramani zipo
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have my support, somewhere up there is a zone called parking orbit and it is where satellites are launched. Things sense no force there thats why they dont fall out.
So, this proves gravity influence exist below it, I wonder how the concept of gravity be explained in your sense of mind?

Sent using Jamii Forums mobile app
How can you launch thousands of satellites and can never be spotted in any of our directions even by telescopes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom