The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Na ule ukamilifu unakuwa hujaufikia.

Tatizo letu sisi binadamu tunshindwa kujua hata ukomo wa akili tulizo nazo na vitu ambayo tunavyovisanifu matokeo yake sasa kwa kutaka kwetu kuonyesha umahiri na kusema ya kuwa hakuna linaloshindikana katika uso wa ardhi watu wanaanza kuandika na kutunga mambo ya uongo ili waonekana wamevuka mipaka, huu ni utumwa wa kujitakia na kujifurahisha tu.

Yeyote asie jua mipaka yake huyo anatumia akili vibaya na ni mtumwa wa kujitakia.

Sababu nikikuuliza nionyeshe ukomo wa Dunia kulingana na matokeo ya hiyo Camera p1000 au p900 jibu huna, kama huna jibu na hujfikia ukomo huo, vipi uhitimishe jibu kamili na jumla kwa matokeo nusu. Hapa utaona Sayansi kuna maswali haiwezi kujibu na tatizo kubwa ni katika kufikia hitimisho.

Nipo ....
Kinachokusumbua ni perception

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufikia hitimisho unapaswa utumie vigezo gani kwa mtazamo wako?tuanzie hapo.
Mpaka nukta hii hakuna mwenzangu, na huyu nimeshampa haki yake, mimi nipo kati kati na tofauti yangu na nyinyi ni ile namna ya kufikia hitimisho ya jambo fulani, hili ni tatizo linaoikumba Sayansi kwa ujumla wake, kama umeichunguza kwa umakini Sayansi utaona Sayansi inakumbwa na tatizo hili sugu.

Humu nahisi niko peke yangu, sababu kuna yale ambayo nakubaliana na mtoa mada na kuna sehemu na napingana na mtoa mada na hii ipo pia kwa wengine natofautiana nao kwa mtindo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufikia hitimisho unapaswa utumie vigezo gani kwa mtazamo wako?tuanzie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nakupa kanuni ya ujumla ili upate kutokea na ujue matawi na hukutakiwa uniambie kwa mtazamo (hili nakupa udhuru sababu hujuo misingi yangu ni ipi).

Hitimisho linataka misingi imara na isiyo ya kubahatisha.
 
Unajichanganya sana,
Embu nipe mfano wowote wa ukomo?
Mfano wowote wa utimilifu?
Mfano wowote wa ukamilifu?
Halafu niambie ni kwanini hivi vinahusiana na hitimisho la jambo flani?
Una uthibitisho gani kuwa jambo linahitimisho na kama halina thibitisha linalo.

Mwisho niambie hitimisho ni nini na umelitoa wapi?
Kama ungekuwa umesoma nilichokiandika huko nyuma swali hili usingeuliza.

Rejea nilipokuwa naelezea ukomo wa Camera na kazi yake na ukomo wa macho, kisha uje kuuliza swali upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nakupa kanuni ya ujumla ili upate kutokea na ujue matawi na hukutakiwa uniambie kwa mtazamo (hili nakupa udhuru sababu hujuo misingi yangu ni ipi).

Hitimisho linataka misingi imara na isiyo ya kubahatisha.
Ni kwa mtazamo wako kwakuwa ingekuwa ni general perception tusingefika hapa,sijui misingi yako ndio ,basi weka hiyo misingi unayoitumia wewe nikuelewe unalenga au kumaanisha nini?

Misingi imara ni ipi?
Misingi ya kubahatisha ni ipi?
Na nini maana ya misingi kwa uelewa wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajichanganya sana,
Embu nipe mfano wowote wa ukomo?
Mfano wowote wa utimilifu?
Mfano wowote wa ukamilifu?
Halafu niambie ni kwanini hivi vinahusiana na hitimisho la jambo flani?
Una uthibitisho gani kuwa jambo linahitimisho na kama halina thibitisha linalo.

Mwisho niambie hitimisho ni nini na umelitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mpaka hujaonyesha wapi nimejichanganya. Hili naliweka kiporo uje kunijibu baada ya mimi kukujibu.

Ukomo ni hatamu yaani hakuna kinachofata baada ya hapo. Ukomo wa maisha yako na hatima ya maisha yako ya hapa duniani ni KIFO. Huo mfano chukua.

Utimilifu na ukamilifu maana yake ni moja ila hutofautiana matumizi na muktadha wa hali na haja. Mfano wa utimilifu na ukamilifu. Mfano wa ukamilifu na utimilifu ni ule ule aliokuwa nao Mola muumba wa vyote vilivyomo.

Ukamilifu na utumilifu humaanisha hakuna baada ya hicho na hitimsho kadhalika, yaani matashi haya matatu yanaunganishwa na neno moja ambalo ni "MWISHO"

nakuja kuendelea hapa nilipoishia....
 
Hoja yako ni hipi kuhusu uelekeo wa jambo flani ?unataka kulenga au kumaanisha nini?maana naona upo nje ya context unless uweze specify ni nini hasa unazungumzia?

Unaongelea uelekeo wa nini?
Akili?
Mwanga?
Mada?
N.k
Uelekeo wa nini?
Muelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa mtazamo wako kwakuwa ingekuwa ni general perception tusingefika hapa,sijui misingi yako ndio ,basi weka hiyo misingi unayoitumia wewe nikuelewe unalenga au kumaanisha nini?

Misingi imara ni ipi?
Misingi ya kubahatisha ni ipi?
Na nini maana ya misingi kwa uelewa wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Misingi ni wingi wa tamko msingi, msingi ni kile ambacho juu yake hutokea kingine au hujengeka kitu kingine juu yake.

Misingi imara haijengeki katila jumba la majaribio na kubahatisha yaani nadharia.

Narudi kukutajia misingi yangu, niko fasta kidogo kuna kitu kinanishughulisha, nikirudi namalizana na wewe.
 
Mi huwaga nawaza hivi kama kuna force inatuweka sisi tusiaanguke kutokana na curvature of the earth, inaana hiyo force ni strong sana. Force inayoweza kuzuia tembo au ghorofa 100 zisianguke, hivi kwa force hiyo sisi binadamu tulivo dhaifu si tungeshindwa hata kunyanyua miguu kutembea, yaani tungestick kabisa.
 
Misingi yangu ni :
1. Fitra (Umbile la ndani la mwanadamu, kama njia ya kuujua ukweli, hili analo kila mwanadamu mpaka wale wakana Mungu)
2. Akili
3. Hawasi (Milango ya fahamu katika kuyatazama maumbile)
4. Ufunuo, hapa ndipo tunapata majibu kwayo akili zetu zinapoishia, safari ya ukamilifu hutimilizwa na ufunuo.
 
Relation hii inaingiaje na umbo la dunia?maana naona tunaanza kujadili uumbaji wa dunia katika upande wa pili.
Kwanza mpaka hujaonyesha wapi nimejichanganya. Hili naliweka kiporo uje kunijibu baada ya mimi kukujibu.

Ukomo ni hatamu yaani hakuna kinachofata baada ya hapo. Ukomo wa maisha yako na hatima ya maisha yako ya hapa duniani ni KIFO. Huo mfano chukua.

Utimilifu na ukamilifu maana yake ni moja ila hutofautiana matumizi na muktadha wa hali na haja. Mfano wa utimilifu na ukamilifu. Mfano wa ukamilifu na utimilifu ni ule ule aliokuwa nao Mola muumba wa vyote vilivyomo.

Ukamilifu na utumilifu humaanisha hakuna baada ya hicho na hitimsho kadhalika, yaani matashi haya matatu yanaunganishwa na neno moja ambalo ni "MWISHO"

nakuja kuendelea hapa nilipoishia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kile ambacho kipi?
Misingi ni wingi wa tamko msingi, msingi ni kile ambacho juu yake hutokea kingine au hujengeka kitu kingine juu yake.

Misingi imara haijengeki katila jumba la majaribio na kubahatisha yaani nadharia.

Narudi kukutajia misingi yangu, niko fasta kidogo kuna kitu kinanishughulisha, nikirudi namalizana na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni hipi kuhusu uelekeo wa jambo flani ?unataka kulenga au kumaanisha nini?maana naona upo nje ya context unless uweze specify ni nini hasa unazungumzia?

Unaongelea uelekeo wa nini?
Akili?
Mwanga?
Mada?
N.k
Uelekeo wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona unatatizo la kung'amua mambo, sentensi yangu ilikuwa iko wazi sana, na unapo uliza swali hili ina maanisha hata nilichokiandika hukukielewa sasa najiuliza kwanini umehoji kwa mtindo huo ?

Niliposema mlengo kwa kurejea nilichokiandika ulitangiwa ujue ya kuwa maanisha mtazamo kulingana na nyanja fulani zinaelezea vipi jambo hilo. Mathalani mtazamo wa kwaida yaani ada na desturi hakuna bae hajui maji ni nini, hata kama akishindwa kuarifisha nini maana ya maji, na hii ni kutokana na kujulikana kwa maji kukafanya pasiwe na haja ya kushughulika a maana ya maji, ila kwa mlengo (mtazamo) wa wanakemia wanakwambia ni muunganiko wa Oksijeni na Hydrogen. Huu sasa ndio mlengo yaani mtazaml kulingana na watu fulani au meuelekeo.

Kwahiyo ushauri wangu kwako ni kuwa uongeze umakini ili kuepusha kupoteza muda kuuliza maswali ambayo majibi yake yapo tayari.
 
Mi huwaga nawaza hivi kama kuna force inatuweka sisi tusiaanguke kutokana na curvature of the earth, inaana hiyo force ni strong sana. Force inayoweza kuzuia tembo au ghorofa 100 zisianguke, hivi kwa force hiyo sisi binadamu tulivo dhaifu si tungeshindwa hata kunyanyua miguu kutembea, yaani tungestick kabisa.
Wanatakiwa watueleze gravity imewezaje hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relation hii inaingiaje na umbo la dunia?maana naona tunaanza kujadili uumbaji wa dunia katika upande wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona umesahau ulicho niuliza

Pili, hapa tunautafuta ukweli kama ulivyo na si ukweli kama unavyojitokeza kwa watu.

Huwezi na hii nakupa kanuni popote utakapo kwenda, huwezi kuelezea maumbile ya dunia nje ya dini ulapatia mzee, yaani hili hata mje kuleta Camera za P100000000000 hamtaweza kupatia zaidi ya kubahatisha.

Kwahiyo mintarafu tunachokiongelea bado nipo kwenye mada na kujibu kile kinachotakiwa.
 
Kile ambacho kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chochote hakijalishi ujenzi wa jengo au elimu, msingi una maana moja kulingana na hakisimami kitu husika bila msingi.

Leo hii hakuna Sayansi bila nadharia, bila majaribio, bila hitimisho hii ndio miongoni mwa misingi ya Sayansi, ondoa vitatu hivi na vingine uone kama kutakuwa na Sayansi.

Vile vile, hakuna jengo linaweza kusimama bila misingi.

Na msingi wa elimu ni uwe na mwalimu.

Hiyo ndio maana ya msingi na umuhimu wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom