The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Msaada! Mwenye uwezo wa kupekua profile yangu, asaidie kuweka Threads za Flat Earth na Earth Related.
 
Nimemaliza comment zote lakini sijaona hoja zenye mashiko, watu wanashinda kuulizana maswali, yaani wanajibu maswali kwa maswali.

Nothing changes IF Nothing changes
Dunia ni round. Ushahidi ni kua mmoja anaweza kupanda ndege say from australia, akaenda east, mwingine akaenda west wote mkaja kukutana marekani japo alieenda west atatumia muda mrefu zaidi kwakua ni mbali zaidi..
Sasa mnataka ushahidi gani zaidi????? Kama kitu simple namna hui huelewi.??
 
Earth's surface is flat, but round. Kuna tofauti kati ya "round" na "spherical". The earth is NOT spherical.

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Sent using Intercontinental Ballistic Missile

This is crap!!!.. kama earth ikiwa flat, nimetoa mfano hai, ukitoka tanzania mmoja akaenda east akapita australlia akarudia south amerika atarudi tanzania, na mwingine akienda west ataanza south america kisha australlia na kuturudi tanzania... iyo flatness inatoka wapi na watu watazungukaje na kurudi walipotoka kama sio duara??
 
Tumia ubongo
sema sisi wabongo ni pasua kichwa kweli..
Sasa mkuu unavyomwambia mwenzako avuke aende southpole wewe umevuka lini??

Eti unakuta mtu anasema hii siri ya earth kuwa flati ni ya watu wachache tena powerful..
Sasa wewe mzee baba toka Buza umejuaje siri za watu powerful duniani au unataka kutuaminisha na wewe unatokea familia ya Rockfella??

Mambo ya kwamba chini kuna hell then juu kuna heaven ukijichanganya ukakanyaga mirembe huwezi achiwa kamwe..

Watu wamewekeza matirioni kufanya research wakaenda mwezini wakakupigia hadi picha wakakutumia..
Wewe umenunua simu ya laki 5 na bando la buku jero unaanza kupinga mambo yaliyokuwa proved na calculations zote zinafavour round earth.. atleast na wewe fanya research ya maana sio kugoogle na kututumia vipicha kutoka kwenye page za bible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I
Earth's surface is flat, but round. Kuna tofauti kati ya "round" na "spherical". The earth is NOT spherical.

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
What happens at the peripheral line of your soo called round earth?.. i believe the difference ya round na spherical ni kwamba round is in 2D while spehircal ni 3D.... you are also an architect so you understand my language!.
 
Dunia ni round. Ushahidi ni kua mmoja anaweza kupanda ndege say from australia, akaenda east, mwingine akaenda west wote mkaja kukutana marekani japo alieenda west atatumia muda mrefu zaidi kwakua ni mbali zaidi..
Sasa mnataka ushahidi gani zaidi????? Kama kitu simple namna hui huelewi.??
Wengi sikuwaelewa, lakini nitajibu kwa muktadha na proof za Flat Earth.

Unavyosema wote watakutana US Yakupasa kufahamu ndege zina slight flight direction point moja ya East!

Na hii inadhihirisha hata mpangilio wa continent's kwa (Round/Spherical Earthers) sio sahihi.
 
Yes i do but you dont that where you never comprehend anything than saying crazyness without questioning because you believe that you are right in view perspective and you humans have different perceptions in view
"Where things can stay stationary whether in motion or not"?

What kind of crazy contradiction is that?

Do you even understand what you are writing?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wale hawana wanalojua ila wanajifanya wanajua.. Hakuna sababu ya kushindwa kuweka hoja eti kisa watu hawatakuelewa.. kama yeye aliweza kuelewa kwanini sisi tushindwe....

Hii ndio BONGO na hizo ndio FLEVA zenyewe
Basi sijui mkuu

Tatizo liko wapi then
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom