Swali la lengo la maisha, halijibiwi nje ya imani za kidini, na hapa ndio kuna majibu sahihi.Sawa mkuu. What is a purpose of life,regardless of earth being flat or spherical?
What is reality, is reality actual or a relative concept?
Miongoni mwa maswali ambayo Sayansi haiwezi kujibu ni hilo swali la "purpose of life".
