The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mwanasayansi mahiri wa NASA Neil deGrasse Tyson alitangaza msimamo wa NASA kuwa dunia ina umbo la PEAR, ama pear shaped na sio tufe kama tunavyoaminishwa.

Alielekeza shutuma zake kwa wanajiographia kwa kutupatia uwakilishi usio halisia wa umbo la dunia. Sasa wengine tunabaki kujiuliza, VIPI KUHUSU MAMIA YA PICHA ZINAZOPIGWA KILA SIKU NA VYOMBO VYA ANGANI ZIKIONYESHA DUNIA NI TUFE?

Pia amedai kiwa urefu toka kipenyo cha dunia mpaka ncha ya kaskazini ni mfupi ukilinganisha na urefu mpaka ncha ya kusini. Kwamba kwenye equator dunia ni pana kwa sababu imejishindilia kutokana na kuzunguka miaka mingi, na ndivyo ilivyo kwenye kitako chake ncha ya kusini

View attachment 1341154View attachment 1341155

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nilimsikiliza huyu mwanasayansi maarufu. Hapa ndo nikajua hawa jamaa walitudanganya all.along. yaani huyu mwenzao nae amewaruka kuwa sio duara tena bali lipo kama parachichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.

Maswali niliyo muuliza mimi, yalikuwa yamemili sana katika uwezo wa hizo Camera, na kwangu mimi kulingana na mjadala ule kati yangu na mtoa mada ni kwamba Camera ina ukom na si sahihi kuifanya marejeo ya kujua hakika ya jambo.
Mkuu curvature inazamisha meli inchi 8 kwa kila mile lakini camera ya p900 unavuta hadi mile 50 na zaidi na hapo tiyari hoja ya curvature haipo maana meli ingekuwa ishazama kwa inch 400 au metre 10 kwenda chini na isingeonekana au ingeonekana nusu au robo kwa urefu ila inaonekana ipo juu vilevile ,hata kama camera ina ukomo lakini ishavunja principle ya curvature hope tumeelewana kwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kanuni za globalists hapa hazipo tena
Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.

Maswali niliyo muuliza mimi, yalikuwa yamemili sana katika uwezo wa hizo Camera, na kwangu mimi kulingana na mjadala ule kati yangu na mtoa mada ni kwamba Camera ina ukom na si sahihi kuifanya marejeo ya kujua hakika ya jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kwa unavyoamini upeo wa macho mwisho wa kuons kwake kitu basi macho yataona kitu kimepotea tu paap na sio ile kinazidi kuws kidogo kadri umbsli unavyozidi na kuonesha kuwa kitu kinaenda kupotea taratibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali niliposema hivyo. Umeninukuu kinyume na nilichokisema.

Rejea maelezo yangu ya awali kuhusu 'Perspective'.
 
84013746_1075107376215255_2068378433536131072_o.jpg
 
Kwa nini siwe sahihi wskati inakizoom kitu mkuu?
Sijakuelewa hapa unamaanisha nini ?
Kumbuks kuwa ili camera ione kitu lazima mwanga wa ule kitu uingie mule kwenye camera,
Kwanza nani alikwambis Camera inaona ?
Camera unaona kitu halisi ila tu pale kuna lens zimeongezwa mule ndani ambazo zinauwezo wa kukuza miale ya kitu hiko ukakiona na wala pale huoni kitu fake.
Kuna tofauti gani kati ya kutu unachokiona kwa macho tubila msaada wa kifaa na kitu unachokiona kwa macho kwa msaada wa kifaa ?
,sasa laiti kama hiko kitu kingekuwa kimepotelea kwenye curve basi miale ya mwamga wake isingeweza kuimgis kwenye camera na kwa sababu light rays siku zote husafiri kwenye straight line.
Hapa pia sijakuelewa, embu nieleweshe niweze kukujibu.
 
Sijakuelewa hapa unamaanisha nini ?

Kwanza nani alikwambis Camera inaona ?

Kuna tofauti gani kati ya kutu unachokiona kwa macho tubila msaada wa kifaa na kitu unachokiona kwa macho kwa msaada wa kifaa ?

Hapa pia sijakuelewa, embu nieleweshe niweze kukujibu.
Nimeedit karejee tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasayansi mahiri wa NASA Neil deGrasse Tyson alitangaza msimamo wa NASA kuwa dunia ina umbo la PEAR, ama pear shaped na sio tufe kama tunavyoaminishwa.

Alielekeza shutuma zake kwa wanajiographia kwa kutupatia uwakilishi usio halisia wa umbo la dunia. Sasa wengine tunabaki kujiuliza, VIPI KUHUSU MAMIA YA PICHA ZINAZOPIGWA KILA SIKU NA VYOMBO VYA ANGANI ZIKIONYESHA DUNIA NI TUFE?

Pia amedai kiwa urefu toka kipenyo cha dunia mpaka ncha ya kaskazini ni mfupi ukilinganisha na urefu mpaka ncha ya kusini. Kwamba kwenye equator dunia ni pana kwa sababu imejishindilia kutokana na kuzunguka miaka mingi, na ndivyo ilivyo kwenye kitako chake ncha ya kusini

View attachment 1341154View attachment 1341155

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk

Haya wajitokeze wa upande huu, kusudi tutifuane 😄

Uwiii
 
Mkuu curvature inazamisha meli inchi 8 kwa kila mile lakini camera ya p900 unavuta hadi mile 50 na zaidi na hapo tiyari hoja ya curvature haipo
Inazamishaje meli kwa kiwango hicho ? Elezea.
 
Kuna watu hawaonekani humu 😃
😃😃Sio watu hawaonekani mkuu. Mjadala wa kipekee kama huu, mtoa hoja na waunga hoja wakiulizwa maswali hawajibu au wanajibu nusu nusu "inakera na kuboa".Reality anasema tunakuwa controlled na Jews hasemi kivipi,kaja jamaa yenu mwingine anasema afwatwe katika uzi wake, yeye "Nibiru" anaijua nje na ndani na haelezei. Mwamba ana application yake nadhani inafanya Simulations tu lakini anakwambia kapiga picha dunia flat usiku huu na kuona jua linaangaza vipi katika flat earth😃😃.
Hapo hapo hajamaliza anaongea habari za Dome na hakuelezi kwa ushahidi,au nani mwasisi wa hiyo kitu...anakupa mifano ya ajali na ma rocket. Anasema tuko jela na yeye tunaona tupo nae humu humu jela. Anauliza maswali yasiyohusiana moja kwa moja na mjadala kama vile,unajua why do we EXIST?Kuna time ana imply kama vile tumedanganywa maisha ni kula kulala,kutumika na kufa...😃😃.
 
Kwa utaratibu huo lazima watu wakimbie, yani kunakuwa hakuna msisimko hata wa kujifunza.Sababu ni kama vile na wewe ukutane na wanaoamini dunia no duara,usema kwa nini maji haya bend kisha mtu akwambie kwa sababu ya gravitation na upeo wa macho yako, ukienda space utaelewa😃.Then aishie hapo. Ngoja tukaendelee kusoma "hadithi" za flat earth na kwingine pia.Ila tungependa kujuzwa habari za huko Antarctica, na yule mwamba atueleze habari za huko nibiru anavyopajua
 
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
You sound misinformed au umeamua kuweka ligi.

Satelites zipo angani kila siku zinapiga picha dunia. Inakuwaje unasema ni uzushi?

Kuona kitu cha mile 70 ndo final conclusion kwamba dunia ni flat?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatilia hii historia ndo chanzo cha NASA kuzinduliwaView attachment 1334633

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana unatumia machapisho ya haohao wazungu kuleta porojo zako hapa.

Nilitegemea ungeweka mitambo yako pembe zote za dunia, upo na timu yako mnafanya tafiti.

Kama unatumia vitabu vya wazungu bado na wewe upo brainwashed tu.

Sio kila kilichoandikwa kwenye mitandao ni cha kukiamini. Vingine soma kama kujifunza halafu pita pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom