REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #1,581
Camera inaona,kwanini ukiweka cctv camera baadae unakuja kuliona tukio toka kwenye kumbukumbu ya ile camera,je wewe ndo ulikuwa unaliona lile tukio kwa wakati ule ama camera?Sijakuelewa hapa unamaanisha nini ?
Kwanza nani alikwambis Camera inaona ?
Kuna tofauti gani kati ya kutu unachokiona kwa macho tubila msaada wa kifaa na kitu unachokiona kwa macho kwa msaada wa kifaa ?
Hapa pia sijakuelewa, embu nieleweshe niweze kukujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app