With no variable of what? Spinless what?Nilikuambia with no variables and spinless au unataka nikuambiaje na unauliza hilo swali unatumia gezo gani au wapi kuthibitisha wewe ndo upo sahihi unaposema "hujajibu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali hawezi kukujibu huyo Muongo!Wanasema ikitokea meli baharini kwa mbaali unaanza kuona juu yani upande wa juu wa meli.
Sasa kama ni macho kwa nini tusianze kuona upande wa chini wa meli mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuendeleza mambo ya kipuuzi hapa.With no variable of what? Spinless what?
You continue to write like an illiterate imbecile, an ignoble ignoramus.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa Mkuu saa 12:30 Dar ni giza Kigoma jua bado ni Kali!Simple logic kama iko flat kwanini kuna utofauti wa masaa kati ya sehemu na sehemu? Kama kitu kipo flat tutatarajia jua kuchomoza na kuzama katika flat area hiyo kwa muda sawa kwaiyo hata muda ungekuwa sawa.
Mtoa mada anajichanganya ingawa ametufanya tufikiri zaidi.
Ndugu zako Poseidon na Hades wako wapi?Nimeicheki huyu wamemkamata lini??
Nimeona hapo eti anasema death does not exist.,
Sent using Jamii Forums mobile app
We unavyofikiri nje ya dunia ni kuanzia wapi? Juzi tu mwaka jana kuna chombo imetumwa inaenda kuingia ndani ya jua kabisa!!Nyie mnakazana kujadili nadharia ambazo watu walikomaa nazo mpaka wakapoteza maisha kwa kuzipinga.Yani hamkubali efforts alizofanya Gallileo mpaka mamlaka ya Roma iliyokuwa inaamini dunia ni tambarare kama meza ikamuhukumu kifo,kabla ya baadae kuja kuthibitika kuwa ni ya mfano wa duara.Kabisa mtu unakazana eti hakuna picha iliyopigwa nje ya dunia, wakati hata drone na rockets zinakuwa launched zinaenda katika space na outer space, mtu unapinga kwa vitu ambavyo hakuna taasisi yoyote ya kielimu wala kitaalamu inayokubaliana!!! Wachina nao walishafanya route za mwezini, nadhani hata russia.Wakenya hapo jirani zetu washarusha sattelite yao kwa mafanikio outer space, na hawako katika hizo contracts zq nchi 14 mlizosema.Haya ndio matatizo ya kuwa vizuri kichwani kwa sababu ya long extended memory na uwezo mkubwa wa kukariri,lakini analysis 0. Yani unafaulu mitihani tu lakini hauwezi kufanya analysis.Na ndio mnakuja kuwa ma Professor mnaotukwamisha tukiwaamini na kuwapa nafasi za kutuongoza😃😃😃.Yani unakataa kabisa kuwa hakuna sattelite katika space tehee tehee yani kwa point hiyo tu inabidi tukiri "nyinyi hamna kitu" yani Sattelite hakuna ila katika mchoro mmoja wa evidence heaven, na heaven of heaven na destination ya God ipo.Wakati katika vitabu vyote hakuna mtu kawahi kumwona Mungu looh!!!Hakuna picha ya dunia hasa iliyopigwa nje ya dunia. Kama ingekuwepo basi ukweli ungewekwa wazi kabisa. Picha zote zimetengenezwa ktk computer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dunia ni kubwa kuliko jua je..?kweli kabisa Mkuu saa 12:30 Dar ni giza Kigoma jua bado ni Kali!
Alivyoandika tu kaona Alliens, hata sikuhangaika ku reply pale😃😃.Kisha akasema aliona Alliens wakati anafunga dish.Nikawa nawaza, Nigga is seeing things, huenda anatakiwa kucheki wale mnaowaita psychiatrist sijui😃😃😃Duh unaamini hadi time travel..
Hebu elezea kidogo ulivyoona hiyo ndege yao ikoje ikoje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea unijibu maswali yangu lakini naona unaleta maswali zaidi....Embu angalia time range za nchi karibia na arctic wanakaa mpaka siku tatu na mwanga wa jua no giza mf.norway
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe mtu anakwambia hii ni evidence😃😃😃😃, aisee yule Professor ambae ni governor kuna time aliwahi kutuambia kuwa "mtu anapaswa kuwa respnsible na knowledge anayopewa vinginevyo anaweza kuharibu au kuvuruga jamii".Hiyo nembo ya UN wamehirahisha ili kila Bara kuonekana kirahisi wasinge weza weka upande mmoja wa Dunia ndo uonekane wakati UN ni chombo cha Dunia nzima! Hata namna mabara yanavyo onekana kwenye hiyo nembo nitofauti na yale tulozoea.
Hata ingekuwa jua ndo linazunguka dunis bado tungepata usiku na mchana kwa sababu mwanga wa jua utakuwa unapiga pande zote za dunia pale linapozunguka dunia.
Hvyo hoja hii inafanya kszi ois upsnde wa pili.
Itafutwe hoja ambayo upsnde ungine haifanyi kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe mtu anakwambia hii ni evidence[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], aisee yule Professor ambae ni governor kuna time aliwahi kutuambia kuwa "mtu anapaswa kuwa respnsible na knowledge anayopewa vinginevyo anaweza kuharibu au kuvuruga jamii".
Mwamba anakazana kuna gate anatarctica ukivuka kwenda kule unakuta viumbe wana macho ya blue, na haelezi hao viumbe ni ng'ombe,watu,au mbuzi au wanaitwaje? Wanaongelea free energy,sijui tumetekwa na kutengenezewa routine ya kudhani maisha ni kula kulala na kufa blah blah mingiii, leta proof.Unaambiwa sijui High Jump Admiral sijui alileta results.Bwana wee "walongo" kama hawa bwana huwa wanatupoteza sana, sioni tofauti ya hawa sijui kina Zurri na the likes of "Dr Shika" "Nabii Tito" "Babu Wa Loliondo" na wale wanaosaka "mali zilizoachwa na wajerumani"[emoji2][emoji2]
Ulichoandika ni kweli kabisa. Halafu wananishangaza wanajiita wasomi. Hoja hawajibu wanabeza! Wasichojua kuna wanasayansi wanakubaliana na alicholeta mleta Uzi.Ukisoma huu Uzi ndio utajua kwanini serikali za Africa huwa zinafunga wapinzani wao na kuwafunga magerezani.
Ukiwa Africa hupaswi kuhoji au kudadisi kinyume na mitazamo ya watu. Mtu amekuja na thread yake ya kupingana kihoja ila watu wanaleta kejeri, vitisho, matusi na ujivuni. Bahati nzuri sijaona hayo kwa mleta mada. Hatuwezi kuendelea Kama tutaendelea kuwa na kizazi kisichohoji.
Hata hao mnaowatetea kufanya tafiti za anga wlaikuwa watu wa kuhoji ndio maana walefikia hapa walipo. Tuache kubezana. Twendeni kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ingekuwa jua ndo linazunguka dunis bado tungepata usiku na mchana kwa sababu mwanga wa jua utakuwa unapiga pande zote za dunia pale linapozunguka dunia.
Hvyo hoja hii inafanya kszi ois upsnde wa pili.
Itafutwe hoja ambayo upsnde ungine haifanyi kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple logic kama iko flat kwanini kuna utofauti wa masaa kati ya sehemu na sehemu? Kama kitu kipo flat tutatarajia jua kuchomoza na kuzama katika flat area hiyo kwa muda sawa kwaiyo hata muda ungekuwa sawa.
Mtoa mada anajichanganya ingawa ametufanya tufikiri zaidi.
With no variable of what? Spinless what?
You continue to write like an illiterate imbecile, an ignoble ignoramus.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo admiral byrdHivi hakuna binadamu aliyekatiza katika Southern au northern pole akatokea upande mwingine tumalize ubishi!? Maana mnapoelekea mtanifanya niamini macho yangu ni flat na sio spherical [emoji1][emoji1672]
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk