The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Nikisema kuandika hujui si utanishangaa sometimes error zipo japo nishakujibu hilo swali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujadiliana na huyo mtu ni kupoteza muda, kwangu mimi sijaona mtu kilaza kama Kiranga, ukimbana kwa hoja hajibi anakimbilia kichaka kuuliza maswaliya kipuuzi.

Mimi huwa unajinadi kwamba ameniweka "Igonore list".

Hapo mtakesha.
 
Hapo nimekuelewa, huyu jamaa zuri Ni close minded namba 1 dunia nzima na hata all over the universe

ARUSHA KWETU

Safi, ila mngekuwa mnajibu maswali na hoja zangu, kwa mbali mngekuwa mnaukaribia Ukweli.

Sisi wengine tulichagua kuelewa na kuifanyia kazi elimu.
 
Mkuu mbona umeiba avatar yangu

Kiukweli naamini kwenye time travel sana,ila sidhani kama kwa technology yetu tumefikia huko mzee.labda miaka ye mbeleni sana.

Kuhusu hawa aliens kwa GOD believers naona ngumu kumeza,yani hao wanyama wakijani kuexist naona ni fiction sana aisee.au wanafanana na sisi tumejichanganya nao duniani.
Naipenda sana hii elimu ya hizi mambo
Mkuu nihizo sauce planes kama visahani ili vilikuwa vidogo meaning mbali,na kwa mda huo nilikuwa nishajua kwa kupitia self investigation maana kila mtu ana namna yake ya utafiti na uthibitisho kwa ufahamu wake binafsi..

Mtu anayekata time travel naye ana tatizo sehemu ,hii dunia nipana sana mi naona watu wanafanya kejeli ,lakini hata si shangai
Kwani watoto wako wakiwa sebuleni wanacheza si unawaangalia ,wakichoka wanaenda kulala,halafu kesho shule wakapambane na mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujadiliana na huyo mtu ni kupoteza muda, kwangu mimi sijaona mtu kilaza kama Kiranga, ukimbana kwa hoja hajibi anakimbilia kichaka kuuliza maswaliya kipuuzi.

Mimi huwa unajinadi kwamba ameniweka "Igonore list".

Hapo mtakesha.
Anaamini sayansi ndo kundi waliloevolve kutoka nyani kwa big bang ,ndo uzazi wao huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia kama dunia ni flat plane kama unavyotaka tuamini kuna sehemu zingekuwa daima ni giza maana zisingekaa zipate mwanga wa jua na zingine zingekuwa daima ni mchana kwa maana jua zingezimulika daima.

Pia kama dunia ni flat plane nimekwambia baadhi ya miji kwenye latitude zilizosawa zisingekuwa na tofauti ya giza na mwanga.

Wewe hujajibu umeniwekea fiction stories.
 
Bora ujadiliane na wasomi mia kama una hoja unaweza kuwashinda, kuliko kujadiliana na mjinga, lazima atakushinda tu.
Amechagua njia yake ya mtazamo hatuna budi kumwacha aendelee,everybody believe on whatever japo ukweli upo palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unisaidie kufahamu ni kwanini jamaa walituongopea, malengo yao hasa ni yapi kutuaminisha kuwa dunia ni Spherical.
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu angalia time range za nchi karibia na arctic wanakaa mpaka siku tatu na mwanga wa jua no giza mf.norway
Nimekwambia kama dunia ni flat plane kama unavyotaka tuamini kuna sehemu zingekuwa daima ni giza maana zisingekaa zipate mwanga wa jua na zingine zingekuwa daima ni mchana kwa maana jua zingezimulika daima.

Pia kama dunia ni flat plane nimekwambia baadhi ya miji kwenye latitude zilizosawa zisingekuwa na tofauti ya giza na mwanga.

Wewe hujajibu umeniwekea fiction stories.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingo za dunia ni kuta za barafu ukizivuka kuna ardhi inaendelea yani you are getting out of the boundaries of the earth.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ujinga! America iko magharibi mwa Dunia na Urusi iko mashariki mwa Dunia! inakuwaje wanapakana kwa tofauti ya kilometers 3.7 kwa Visiwa vilivyopo kati ya Siberia Urusi na Alaska USA?! Au upande wa Magharibi mwa Dunia hakuna huo ukingo unaosema na mashariki napo haupo pia?!
 
nianze kubishana na mtu ambaye hajui chochote na harespect hata kazi za kina erwin Schrödinger, Werner Heisenberg, Max Born and others
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu mathematical function na wave function
Mtu ambaye nikimwambia momentum states is the space of square-integrable ataishia kunibishia
Mtu ambaye nkijaribu kumweleza kwambavectors ni elements of a complex separable Hilbert space

Mtu ambaye hajui chochote kuhusu eigenstates

Nianze kubishana nae hapa

I will be stupid
Wewe msukule tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila spherical world hakuna vifuatavyo
Big bang theory
Evolution
Mind control
Meaningless life
No origin
No human abilities
Power and control
Lack of freedom
New world order
Alot.........
And finally
Lies

Mkuu naomba unisaidie kufahamu ni kwanini jamaa walituongopea, malengo yao hasa ni yapi kutuaminisha kuwa dunia ni Spherical.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza ujinga! America iko magharibi mwa Dunia na Urusi iko mashariki mwa Dunia! inakuwaje wanapakana kwa tofauti ya kilometers 3.7 kwa Visiwa vilivyopo kati ya Siberia Urusi na Alaska USA?! Au upande wa Magharibi mwa Dunia hakuna huo ukingo unaosema na mashariki napo haupo pia?!
Sasa kama unatumia azimuthal globe map ya NASA utanielewa vipi shida hao wanaowalisha matango pori muwe vijakazi wao wao wanatumia azimuthal flat standard map
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo ndani ya ndege ama nje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nje ya ndege ni wapi abiria huwa wanakaa? Huyo jamaa hapo ana compare oranges and apples. Bembea unaifeel kwa sababu you are accelerating. Kwenye rotation ya dunia au cruising sped ya ndege(except wakati wa take off na landing) acceleration ni zero huwez feel chochote ni physics ya form 1 kabisa.

Inawezekana flat earthers wakakataa hata simple concepts za acceleration na deceleration. I rest my case, kesho kazini tutafute hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom