The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Unachosema wewe sasa kiwe vice Verser,dunia yenu ni conspiracy ndo maana hata einsten aliwaumbua.
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.

Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeanza kuwa mvivu kufikiri, unaleta habari za "Kama A ni B na C ni A basi B ni C"

Onyesha usahihi wako uko wapi.
Usahihi wangu huenda huko kwenye huenda yako
A, B, C ar in thermo-equilibrium, sielewi thermo dynamics inaendana vipi na nilichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.

Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
Anakwambia anataka kwenda Kariakoo Dar.

Yuko Africana Mbezi Beach. Halafu anaelekea Bagamoyo, Kaskazini.

Ukimuelewesha anakoelekea siko, anakwambia hakuna kaskazini.

Kaskazini kumetungwa na watu ili kuficha shortcut ya kufika Kariakoo Dar es salaam kutoka Mbezi Beach Africana kwa kupitia Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Inabidi uone anatania, uachane naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiws tunajadili mambo ya kielimu unatakiwa uwe makini na usilete uongo wa kitoto, jana tu ulikuwa unajifaragua kwa kugundua njia ya kumtibu mtu aliye paralaizi, au kama ulivyosema na unajinasibu na sayansi na kuwa umesoma.

Tukiamua kufanya kazi tufanye kazi hui utoto wa kusema darasa la saba, wakati kila siku unajifaragua na usecular wako unatakiwa uache, aidha utupuuze au uwe mkweli.
Hey Zurri my understanding level is beyond yours

My instincts are definitely different

Thats why i don't argue

I am going to take my award next year for this

Just be humble all things will be possible for you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tatizo ni pale mtu anapobishia kitu chenye proof and evidence na huku anachokiamini yeye ni conspiracy and myth huku akiamini ndio ukweli.

Utakesha hadi pakuche na hatakaa akuelewe.
.
IMG_20200126_134832_356.JPG
IMG_20200126_135009_497.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakwambia anataka kwenda Kariakoo Dar.

Yuko Africana Mbezi Beach. Halafu anaelekea Bagamoyo, Kaskazini.

Ukimuelewesha anakoelekea siko, anakwambia hakuna kaskazini.

Kaskazini kumetungwa na watu ili kuficha shortcut ya kufika Kariakoo Dar es salaam kutoka Mbezi Beach Africana kwa kupitia Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Inabidi uone anatania, uachane naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG_20200126_134939_277.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka najiuliza kwanini watu nyinyi mnafanana na kukimbilia kichaka cha "Hujui mara nikianza kukuelezea huwezi kuelewa". Hili nililiona kwa mdau mmoja anae jiita "Baba Swalehe" bibie wewe Elezea tu nina uhakika kama uko vizuri juu ya hicho unachotaka kukielezea lazima nitakielewa tu na ndio utakuwa umenifundisha kama kwelinikiwa sikijui.

Jambo lingine ni kuwa "Physics" kama somo nimelisoma kwahiyo harakati zake na vurugu zake na changamoto zake nazielewa bali naishi katika somo hilo kama msingi wa ninacho kifanya.

Kwahiyo bibie, eleza tu na unijuze.
Okay umeuliza kwanini dunia ikizunguka hatuisikii.

Jibu ni kwamba dunia ina-rotate too slowly of which ni rate mdogo sana ya rotation that would be very hard to notice, hivyo you can't feel motion in any way.
Kitu ambacho utakisikia ni acceleration and the Earth isn't accelerating.

Dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka kinazunguka at the same speed. Tofauti na ukiwa kwenye gari unalisikia gari linaenda kwa sababu unaona miti inaanza 'kurudi' nyuma lakini kama ingekuwa inahama na wewe pia usingesikia motion kabisa zaidi ya acceleration kutokana na barabara.

Una feel speed ya kitu pale ambapo unaona tofauti kati ya ya speed of two interacting objects.

Tukija kwenye a psysological point of view, wewe una uhakika gani kwamba hauisikii ikizunguka? Kumbuka umezaliwa ukaikuta kwenye hali iliyopo na tangu kuzaliwa umeizoea hii hali hivyo ni ngumu ku notice kabisa.
 
Ukisoma huu Uzi ndio utajua kwanini serikali za Africa huwa zinafunga wapinzani wao na kuwafunga magerezani.

Ukiwa Africa hupaswi kuhoji au kudadisi kinyume na mitazamo ya watu. Mtu amekuja na thread yake ya kupingana kihoja ila watu wanaleta kejeri, vitisho, matusi na ujivuni. Bahati nzuri sijaona hayo kwa mleta mada. Hatuwezi kuendelea Kama tutaendelea kuwa na kizazi kisichohoji.

Hata hao mnaowatetea kufanya tafiti za anga wlaikuwa watu wa kuhoji ndio maana walefikia hapa walipo. Tuache kubezana. Twendeni kwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay umeuliza kwanini dunia ikizunguka hatuisikii.

Jibu ni kwamba dunia ina-rotate too slowly of which ni rate mdogo sana ya rotation that would be very hard to notice, hivyo you can't feel motion in any way.
Kitu ambacho utakisikia ni acceleration and the Earth isn't accelerating.

Dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka kinazunguka at the same speed. Tofauti na ukiwa kwenye gari unalisikia gari linaenda kwa sababu unaona miti inaanza 'kurudi' nyuma lakini kama ingekuwa inahama na wewe pia usingesikia motion kabisa zaidi ya acceleration kutokana na barabara.

Una feel speed ya kitu pale ambapo unaona tofauti kati ya ya speed of two interacting objects.

Tukija kwenye a psysological point of view, wewe una uhakika gani kwamba hauisikii ikizunguka? Kumbuka umezaliwa ukaikuta kwenye hali iliyopo na tangu kuzaliwa umeizoea hii hali hivyo ni ngumu ku notice kabisa.
Panda gari funga macho iwe speed kwenye highway halafu taratibu inakata kona taratibu kama you dont feel that movement of turn utakuwa mnafki like..........
IMG_20200126_141018_675.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.

Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.

Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.

Sent using Jamii Forums mobile app

nini kinakufanya usiamini? unaweza kua kwenye basi au treni linaenda 100km/h ukishakua comfortable na ile spidi unaona kama gari halisogei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom