REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #601
Mkuu wewe msomi kaa pembeni naona bado umo tu mkuu.Tushaongea sana mambo ya flat earthers humu
Wamerudi tena
Mtu hata ukiandika chochote sa hivi haitosaidia ndo anachoamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mbwe mbwe sana, nilimwambia hata wanamuziki wanapewa tuzo,acha wajinga wapeane tuzo, kama wanamuziki,wacheza mpira, wacheza picha za uchi wanapewa tuzo vipi nyie msipeane tuzo ?Mkuu wewe msomi kaa pembeni naona bado umo tu mkuu.
Ni busara zaidi kitu hukitaki unakiwacha unawaachia wanaotaka japokuwa una uhuru wa kuchagua,au unatafuta mtu aingie king uanze kumuambia kuwa kuna tuzo unataka kupewa huko ya ugunduzi wako mkuu.
We utulie mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mbwe mbwe sana, nilimwambia hata wanamuziki wanapewa tuzo,acha wajinga wapeane tuzo, kama wanamuziki,wacheza mpira, wacheza picha za uchi wanapewa tuzo vipi nyie msipeane tuzo ?
Tatizo wana tambo na kujifaragua ila hoja hawana.
Tuwekee kaka tusome.Mkuu kuna nondoo nimezipata vitabu vingi tu ila google huwezi pata,vipo darkweb
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi kuhusu wale wanaosema kuwa meli ikianza kutokea baharini unaona upande wa juu kisha taratibu mpaka unaiyona yote,wanasema kuiona nusu nusu ni dalili kuwa dunia ni duara sasa hii imekaaje mkuu?
Tuwekee kaka tusome.
Mimi ninayo moja hapa. Siku za nyuma niliwahi kuisoma ila sikuimalizia ila hapa ndio nasogea nayo mdogo mdogo.View attachment 1336337
Sawa katika vielelezo vyako bado haviendani na unacho kieleza hapa! Mfano wa Dunia kama Sinia Halafu Mabara yamepinda kufuata Mzunguko na yakiwa yamezuiwa kwa kingo za barafu! Jua nalo likizunguka na kutoa mwanga wake kwa Mzunguko huo huo kufuata mabara! Uongo unaoneka pale Nchi kama Sweden, Denmark na Maeneo yote karibu na arctic Jua linapo wafikia maeneo hayo yanakuwa hayana uwiano sawa wa mwanga wa jua ukilinganisha kwa Africa na South America!
Kwa nini unaamini kuwa mwanga wa jua lazima uwe sawa baina ya maeneo hayo uliyotaja..?Sawa katika vielelezo vyako bado haviendani na unacho kieleza hapa! Mfano wa Dunia kama Sinia Halafu Mabara yamepinda kufuata Mzunguko na yakiwa yamezuiwa kwa kingo za barafu! Jua nalo likizunguka na kutoa mwanga wake kwa Mzunguko huo huo kufuata mabara! Uongo unaoneka pale Nchi kama Sweden, Denmark na Maeneo yote karibu na arctic Jua linapo wafikia maeneo hayo yanakuwa hayana uwiano sawa wa mwanga wa jua ukilinganisha kwa Africa na South America!
☝hapo unamaanisha Antarctic ni eneo lote lenye barafu kuzunguka hicho unacho kiita Dunia?!
.Mkuu vipi kuhusu wale wanaosema kuwa meli ikianza kutokea baharini unaona upande wa juu kisha taratibu mpaka unaiyona yote,wanasema kuiona nusu nusu ni dalili kuwa dunia ni duara sasa hii imekaaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeshapo unamaanisha Antarctic ni eneo lote lenye barafu kuzunguka hicho unacho kiita Dunia?!
Sawa katika vielelezo vyako bado haviendani na unacho kieleza hapa! Mfano wa Dunia kama Sinia Halafu Mabara yamepinda kufuata Mzunguko na yakiwa yamezuiwa kwa kingo za barafu! Jua nalo likizunguka na kutoa mwanga wake kwa Mzunguko huo huo kufuata mabara! Uongo unaoneka pale Nchi kama Sweden, Denmark na Maeneo yote karibu na arctic Jua linapo wafikia maeneo hayo yanakuwa hayana uwiano sawa wa mwanga wa jua ukilinganisha kwa Africa na South America!