The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Hivi hakuna binadamu aliyekatiza katika Southern au northern pole akatokea upande mwingine tumalize ubishi!? Maana mnapoelekea mtanifanya niamini macho yangu ni flat na sio spherical

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Simple logic kama iko flat kwanini kuna utofauti wa masaa kati ya sehemu na sehemu? Kama kitu kipo flat tutatarajia jua kuchomoza na kuzama katika flat area hiyo kwa muda sawa kwaiyo hata muda ungekuwa sawa.

Mtoa mada anajichanganya ingawa ametufanya tufikiri zaidi.
kweli kabisa Mkuu saa 12:30 Dar ni giza Kigoma jua bado ni Kali!
 
Hakuna picha ya dunia hasa iliyopigwa nje ya dunia. Kama ingekuwepo basi ukweli ungewekwa wazi kabisa. Picha zote zimetengenezwa ktk computer.

Sent using Jamii Forums mobile app
We unavyofikiri nje ya dunia ni kuanzia wapi? Juzi tu mwaka jana kuna chombo imetumwa inaenda kuingia ndani ya jua kabisa!!Nyie mnakazana kujadili nadharia ambazo watu walikomaa nazo mpaka wakapoteza maisha kwa kuzipinga.Yani hamkubali efforts alizofanya Gallileo mpaka mamlaka ya Roma iliyokuwa inaamini dunia ni tambarare kama meza ikamuhukumu kifo,kabla ya baadae kuja kuthibitika kuwa ni ya mfano wa duara.Kabisa mtu unakazana eti hakuna picha iliyopigwa nje ya dunia, wakati hata drone na rockets zinakuwa launched zinaenda katika space na outer space, mtu unapinga kwa vitu ambavyo hakuna taasisi yoyote ya kielimu wala kitaalamu inayokubaliana!!! Wachina nao walishafanya route za mwezini, nadhani hata russia.Wakenya hapo jirani zetu washarusha sattelite yao kwa mafanikio outer space, na hawako katika hizo contracts zq nchi 14 mlizosema.Haya ndio matatizo ya kuwa vizuri kichwani kwa sababu ya long extended memory na uwezo mkubwa wa kukariri,lakini analysis 0. Yani unafaulu mitihani tu lakini hauwezi kufanya analysis.Na ndio mnakuja kuwa ma Professor mnaotukwamisha tukiwaamini na kuwapa nafasi za kutuongoza😃😃😃.Yani unakataa kabisa kuwa hakuna sattelite katika space tehee tehee yani kwa point hiyo tu inabidi tukiri "nyinyi hamna kitu" yani Sattelite hakuna ila katika mchoro mmoja wa evidence heaven, na heaven of heaven na destination ya God ipo.Wakati katika vitabu vyote hakuna mtu kawahi kumwona Mungu looh!!!
 
Duh unaamini hadi time travel..

Hebu elezea kidogo ulivyoona hiyo ndege yao ikoje ikoje??



Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyoandika tu kaona Alliens, hata sikuhangaika ku reply pale😃😃.Kisha akasema aliona Alliens wakati anafunga dish.Nikawa nawaza, Nigga is seeing things, huenda anatakiwa kucheki wale mnaowaita psychiatrist sijui😃😃😃
 
Embu angalia time range za nchi karibia na arctic wanakaa mpaka siku tatu na mwanga wa jua no giza mf.norway

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea unijibu maswali yangu lakini naona unaleta maswali zaidi....

Anyway...kukujibu swali lako ni kuwa dunia iko tilted to kwenye angle ya degree 23.4 kwenye mhimili wake na hiyo hali ndiyo inafanya maeneo ya artic yapate mwanga wa jua kwa muda mrefu kuliko kawaida. Na hali hii inatokea kwa sababu dunia ni sphere. Kama dunia ingekuwa flat plane hali kama hiyo isingetokea kwa maeneo ya arctic.

axial-tilt.png
 
Hiyo nembo ya UN wamehirahisha ili kila Bara kuonekana kirahisi wasinge weza weka upande mmoja wa Dunia ndo uonekane wakati UN ni chombo cha Dunia nzima! Hata namna mabara yanavyo onekana kwenye hiyo nembo nitofauti na yale tulozoea.
Hehehe mtu anakwambia hii ni evidence😃😃😃😃, aisee yule Professor ambae ni governor kuna time aliwahi kutuambia kuwa "mtu anapaswa kuwa respnsible na knowledge anayopewa vinginevyo anaweza kuharibu au kuvuruga jamii".
Mwamba anakazana kuna gate anatarctica ukivuka kwenda kule unakuta viumbe wana macho ya blue, na haelezi hao viumbe ni ng'ombe,watu,au mbuzi au wanaitwaje? Wanaongelea free energy,sijui tumetekwa na kutengenezewa routine ya kudhani maisha ni kula kulala na kufa blah blah mingiii, leta proof.Unaambiwa sijui High Jump Admiral sijui alileta results.Bwana wee "walongo" kama hawa bwana huwa wanatupoteza sana, sioni tofauti ya hawa sijui kina Zurri na the likes of "Dr Shika" "Nabii Tito" "Babu Wa Loliondo" na wale wanaosaka "mali zilizoachwa na wajerumani"😃😃
 
Tushaongea sana mambo ya flat earthers humu

Wamerudi tena

Mtu hata ukiandika chochote sa hivi haitosaidia ndo anachoamini
Hehehe mtu anakwambia hii ni evidence, aisee yule Professor ambae ni governor kuna time aliwahi kutuambia kuwa "mtu anapaswa kuwa respnsible na knowledge anayopewa vinginevyo anaweza kuharibu au kuvuruga jamii".
Mwamba anakazana kuna gate anatarctica ukivuka kwenda kule unakuta viumbe wana macho ya blue, na haelezi hao viumbe ni ng'ombe,watu,au mbuzi au wanaitwaje? Wanaongelea free energy,sijui tumetekwa na kutengenezewa routine ya kudhani maisha ni kula kulala na kufa blah blah mingiii, leta proof.Unaambiwa sijui High Jump Admiral sijui alileta results.Bwana wee "walongo" kama hawa bwana huwa wanatupoteza sana, sioni tofauti ya hawa sijui kina Zurri na the likes of "Dr Shika" "Nabii Tito" "Babu Wa Loliondo" na wale wanaosaka "mali zilizoachwa na wajerumani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma huu Uzi ndio utajua kwanini serikali za Africa huwa zinafunga wapinzani wao na kuwafunga magerezani.

Ukiwa Africa hupaswi kuhoji au kudadisi kinyume na mitazamo ya watu. Mtu amekuja na thread yake ya kupingana kihoja ila watu wanaleta kejeri, vitisho, matusi na ujivuni. Bahati nzuri sijaona hayo kwa mleta mada. Hatuwezi kuendelea Kama tutaendelea kuwa na kizazi kisichohoji.


Hata hao mnaowatetea kufanya tafiti za anga wlaikuwa watu wa kuhoji ndio maana walefikia hapa walipo. Tuache kubezana. Twendeni kwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika ni kweli kabisa. Halafu wananishangaza wanajiita wasomi. Hoja hawajibu wanabeza! Wasichojua kuna wanasayansi wanakubaliana na alicholeta mleta Uzi.
 
Kama dunia duara kwanini nchi zilizo kizio cha kaskazini zipo karibu karibu lakini zilizo kizio cha kusini ziko mbali mbali sanaaa?

Na kwanini hakuna ramani ya kizio kusini kilivyo ila ramani ya kaskazini ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Simple logic kama iko flat kwanini kuna utofauti wa masaa kati ya sehemu na sehemu? Kama kitu kipo flat tutatarajia jua kuchomoza na kuzama katika flat area hiyo kwa muda sawa kwaiyo hata muda ungekuwa sawa.

Mtoa mada anajichanganya ingawa ametufanya tufikiri zaidi.
thesunandmoonabovetheearth%20(1).gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna binadamu aliyekatiza katika Southern au northern pole akatokea upande mwingine tumalize ubishi!? Maana mnapoelekea mtanifanya niamini macho yangu ni flat na sio spherical

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Yupo admiral byrd
b76d4e92e4704bbb4a0e125a9cd88dc4.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom