The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mimi ni binadamu mwenye msimamo wa flat disk maana ushahidi ni macho yangu sio hesabu za kuunda za kina copernicus na wenzake waliojaa theory tu,evidence starts with EYES.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una macho makubwa kiasi gani?

Shape ya dunia na ukubwa wake unaendana na ukubwa wa macho yako?

Macho yako yana utofauti gani na ya watu wengine?

Ushahidi wa macho yako uko sahihi kwa misingi gani tofauti na ushahidi wa macho ya wengine?
 
Which illusions?
Kuona dunia ni dogo na sawa na mwezi na vinazunguka angani ni illusion?
Kama ni illusion basi dunia yako ni extra ordinary.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umbo la dunia sahani ni inconsistent na ndiyo chanzo kikubwa cha contradictions baina yenu wenyewe.

Kila mnachojaribu kukieleza ni maneno matupu, conspiracy theories, hakuna ushahidi.

Kwa kifupi ni Illusion!
 
Maslahi ya IBILISI na kukuonesha huna thamani yani upo upo tu maana ulitoka kwa random ukawa nyani ndo sasa umetimia ,au mkuu asili yetu sio nyani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo unayathibitishaje?

Kama ni kiimani, msingi wako wa kiimani unathibitishaje umbo la dunia?

Je, msingi wako wa kiimani pekee unatosha kuthibitisha umbo la dunia? Kwa sababu zipi?

Binadamu kuwahi kuwa nyani ama kutokuwahi kuwa nyani kuna uhusiano gani na umbo la dunia? Mbona unachanganya mambo?
 
Wanasayansi wakikudanganya mtu kama wewe wanapata faida gani?
Ndg yangu sisi tule tulale tufe, basi.

Ukitaka kujua faida ya huo uongo ni sisi kuufundishwa na kuuamini. hivyo yani.

Hivi kwenye maisha yetu ya kila siku, umbo la dunia linafaida au hasara gani hata kama tusingelijua lilivyo?

Tunaishi katika vita ya Nature na Sayansi ili tuione Nature si lolote na Mwanasayansi ndio mgu wa muhimu, na kadri tunavyozidi kuusapoti uongo wake ndivyo tunavyomrahisishia safari ya sisi kuwa watumwa wake.
Tuendapo itafikia mwanasayansi akitaka tusile kuku hakuna wakumbishia maana wote atakua anawatengeneza yeye. Leo hii kila msimu wa kilimo mbegu zakununua basi za asili zikiisha kabisa akitaka tufe njaa nani atampinga na mbegu zake hazizaliani.?

Kwahiyo kupitia uongo wa wanasayansi ni faida kwao katika kututawala wewe na mimi, jaribu kutafakari vingapi vinaendesha maisha yetu ya kila siku ambavyo vinatoka viwandani, vp siku wasipovizalisha tuna kipi cha asili kinachoweza kureplace.

Tunadanganywa tuamini kila kitu kinaweza kufanywa na mwanadamu lakini sio mimi na wewe ili watakaoweza wawe ndio watawala.

Na ngoja siku ifike itakua mwanasayansi akitaka kuja bongo ila pachafu, anazima internet hadi mpige deki barabara na mitaa, hapo utapata picha tulikua tunafundishwa kutawaliwa au kuishi kwa furaha.

ukitulia nakutafakari vizuri, utazijua faida za wanaotufundisha hizi elimu ambazo wana imani na uhakika asilimia zote mtu wa kuzi prove hatotokea..

Nihitimishe hivi....
Mimi katika hili la shape ya dunia nipo upande wa wanaoamini ni flat kwa sababu Naiona hivyo, jua na mwezi likipita juu katika zafari zake. Nadhafia ya mviringo inapingana na hisia za mwili wangu mimi kama mimi kupitia milango ya fahamu niliyonayo.

Na katika mengi niliyofundishwa kuhusiana na umbo la dunia mviringo nimeshindwa ku prove tofauti na ya dunia flat.




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu tofauti ya Universe na Galaxy?
Unafahamu dunia sio hata center katika Milky way galaxy?
Uwezo wa akili yako ni wa kujifunza yaliyo katika kijiji chako sio hata mambo ya solar system.Uwelewa wako wa astronomy hauna tofauti na unajimu wa Sheikh Yahya,inawezekana ni mjukuu wake.
Dunia ndo center ya universe hizo zingine ni theory

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanasayansi angependa kuwa na mtumwa clueless kama wewe.
Kwani wewe kuwajua wao wamepata faida gani na usingewajua wangepata hasara gani?
Kiherehere chako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Umeandika wewe mimi ni nani wakukubishia. Mtafute na mwingine sasa umkosoe maana humu upo kwa ajili hiyo na mimi nakusapoti katika hilo.

Watumwa wanaowapenda ni ma Bright kama wewe ili iwe rahisi kuwauza na wenzako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mimi sio Wanasayansi ila nimesoma Sayansi na nina ishi katika shughuli za Kisayansi, na kuna mambo magumu kuliko hayo ya Sayansi tunayaelewa seuze mambo hayo, mambo ambayo mnaelezea "Observations" zenu kisha mnaziita "Evidence".

Wewe elezea tu, kisha tuulizane maswali.

Shida iko hapa, mnapojinadi mnajua mambo fulani halafu mnashindwa kuyaelezea, sasa kujinadi kwenu kinakuwa hakuna maana zaidi ya kujichoresha tu.
Wachane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukomo wa macho, kila kifaa kina ukomo wake hata darubin pia ina ukomo wake, leta picha yoyote ya real isiyo na spherical horizon achana na hiyo ya ku edit

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mawingu na ardhi yana spherical horizon ?

Kama yana hyo spherical horizon je inatengenezeka ndani ya upeo wa macho yetu kuona?

Kama sphwrical horizon inatengenezeka ndani ya upeo wa macho basi unatakiwa ukubali kuwa pale ambao meli huioni ndio imezama kwenye spherical horizon.
Na ukikubali hivi lazima tukuulize tena kuwa je kwa nini ukizoom kwa camera unaiona meli,je camwra inanyoosha ile spherical horizon?

Kama ukisema spherical horizon haitengenezeki ndani ya upeo wa macho yetu kuona basi angalia ardhi na mawingu utaona kama vimekutana vile.

Fikiria mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu tofauti ya Universe na Galaxy?
Unafahamu dunia sio hata center katika Milky way galaxy?
Uwezo wa akili yako ni wa kujifunza yaliyo katika kijiji chako sio hata mambo ya solar system.Uwelewa wako wa astronomy hauna tofauti na unajimu wa Sheikh Yahya,inawezekana ni mjukuu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
There is no galaxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yapo kwenye thread ni kutumia akili tu
Hayo unayathibitishaje?

Kama ni kiimani, msingi wako wa kiimani unathibitishaje umbo la dunia?

Je, msingi wako wa kiimani pekee unatosha kuthibitisha umbo la dunia? Kwa sababu zipi?

Binadamu kuwahi kuwa nyani ama kutokuwahi kuwa nyani kuna uhusiano gani na umbo la dunia? Mbona unachanganya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flat earther needs a reality but globalist uses theories such as big bang and evolution indeed they arent facts.
Umbo la dunia sahani ni inconsistent na ndiyo chanzo kikubwa cha contradictions baina yenu wenyewe.

Kila mnachojaribu kukieleza ni maneno matupu, conspiracy theories, hakuna ushahidi.

Kwa kifupi ni Illusion!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom