REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #2,221
Toa hizo theory bana acha kuzunguka hapa,kama kuta za barafu huzioni basi hilo ni tatizo lingine,umeenda ukakuta hazipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni theory gani nyingine unayotafuta?
Kila kitu katika flat-earth ni theory, hakina uthibitisho wowote!
Uthibitisho wa "ukuta wa barafu" unaozunguka dunia uko wapi? sizungumzii kuta za barafu bali "ukuta wa barafu unaozunguka dunia" kulingana na madai ya flat-earthers.
Umehamia kwenye galaxies, usikimbilie huku na huko, rudi katika shape ya dunia, rudi katika misimamo ya flat-earthers, toa uthibitisho!
Kama umeshindwa kuelewa kilicho ndani ya uwezo wako, utaweza kuelewa kilichopo nje ya uwezo wako?
Sent using Jamii Forums mobile app