The World is a flat plane and not a globe

Una macho makubwa kiasi gani?

Shape ya dunia na ukubwa wake unaendana na ukubwa wa macho yako?

Macho yako yana utofauti gani na ya watu wengine?

Ushahidi wa macho yako uko sahihi kwa misingi gani tofauti na ushahidi wa macho ya wengine?
Macho yote ni sawa ndo maana wote tunaona jua linatembea angani ila kwa kuwa unajitoa ufahamu unasema sisi ndo tunalizunguka angali unaona tupo still huo ndo utumwa wa fikra tunaozungumzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeiona movie inaitwa under the dome??

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hivi vitu hawataki kabisa vionekane,jiulize ni kwanini sio kupokea tu
IMG_20200304_143222_095.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Under the Dome is an American science-fiction mystery drama television series. ... Under the Dome tells the story of the residents of the fictional small town of Chester's Mill, when a massive, transparent, indestructible dome suddenly cuts them off from the rest of the world
Hyo movie inaelezea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itafute mkuu,ni nzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo movie inaelezea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dome au firmanent ipo vipi kwa style ya movie ila mwenye akili ujumbe anaupata kisaikolojia ni kusema ukweli kuhusu mazingira yetu kiuhalisia kwa njia ya fiction.

Swali kwanini wafungie tena na hii series,wanaficha ukweli wakati ukweli hujitenga na uwongo,mi naona wanahangaika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yapo kwenye thread ni kutumia akili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna majibu na pia kuna madai! Tafuta ufahamu wa kuweza kutofautisha hivyo vitu viwili.

Isitoshe, kuna majibu na pia kuna majibu yenye kuleta suluhisho ama ufumbuzi wa mambo yenye kutatiza.

Uzi umeleta madai ya flat-earthers huku kukiwa na upungufu mkubwa wa majibu ama uthibitisho wa madai hayo.
 
Flat earther needs a reality but globalist uses theories such as big bang and evolution indeed they arent facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
Reality ipi?

Gobalists uses theories!!! Big bang, evolution??? Unahama huku na kule, unachanganya mambo!

Dunia imezungukwa na ukuta wa barafu, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Dunia ina accelerate kwenda "juu", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Dunia inaruhusu vitu ku teleport na kutokea upande mwingine, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Watu wanapewa rushwa ili wasiseme kuwa "dunia ni flat", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya neno "Reality".
 
Macho yote ni sawa ndo maana wote tunaona jua linatembea angani ila kwa kuwa unajitoa ufahamu unasema sisi ndo tunalizunguka angali unaona tupo still huo ndo utumwa wa fikra tunaozungumzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuthibitisha kuwa jua linatembea angani?

Kuliona jua linahama kutoka mahali pamoja kwenda pengine ni uthibitisho kuwa linatembea?

Ama Je, kuona miti ikiwa inarudi nyuma ukiwa katika mwendo ndani ya gari kunathibitisha kuwa miti inatembea?

Nadharia unazotumia ambazo pia walishazitumia wenzako ni inconsistent na zimekwisha shindwa kuthibitisha hicho unachokisema.

Asante!
 
Flat-earthers ni wasambaza uzushi bila ushahidi wa kile wanachokisema na wanalijua hilo. Ni watu wa maneno na porojo nyingi ambazo kwao wanaziita "facts".

Ni wazuri sana katika kutunga picha picha zenye maudhui ya mizaha mtandaoni almaarufu kama 'memes' na mara nyingi hupenda kuambatanisha hoja zao na hizo 'memes' pamoja na picha na video za kuunganisha matukio.

Wanadai kuwa dunia imezungukwa na ukuta wa barafu. Ukiomba uthibitisho juu ya madai hayo, hakuna!

Kwa kulazimisha, watakushawishi na picha zisizoendana hata na kile wanachodai.

Wengine ukiwauliza sababu ya kutokwenda kutuletea uthibitisho wenu kuhusu ukuta na edge ya dunia, wanakuambia NASA wameweka ulinzi kule ili kuzuia watu wasiende. Ukiomba ushahidi wa madai hayo, utasubiri sana!

Kampuni za usafirishaji, Marubani, Manahodha wa meli, Kampuni za habari na mawasiliano n.k. hao wote kwao flat-earthers ni wapumbavu waliozuiwa na wengine kupewa rushwa ili wasitoe siri kuwa 'dunia ni flat' kwa "maslahi" ya serikali za dunia.

Ukiomba uthibitisho, zero! Utaishia kuambiwa "usiwe mtumwa wa fikra".
 
Kuna majibu na pia kuna madai! Tafuta ufahamu wa kuweza kutofautisha hivyo vitu viwili.

Isitoshe, kuna majibu na pia kuna majibu yenye kuleta suluhisho ama ufumbuzi wa mambo yenye kutatiza.

Uzi umeleta madai ya flat-earthers huku kukiwa na upungufu mkubwa wa majibu ama uthibitisho wa madai hayo.
Kama hujaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna reality ipi ingine?

Onesha theory hata moja ya flat earth

Dunia hai accelerate ipo still

Sio wanapewa rushwa wanapewa maslahi mapana kuweka mambo yawe kinyume kwa ustadi.

Kuhusu media streams ni mind control.

Kuta za barafu zipo unaweza ukaenda ukajionea ukitaka.

HALAFU SAHAU KABISA KUHUSU GALAXIES ,YOU ARE WASTING YOUR TIME.
Reality ipi?

Gobalists uses theories!!! Big bang, evolution??? Unahama huku na kule, unachanganya mambo!

Dunia imezungukwa na ukuta wa barafu, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Dunia ina accelerate kwenda "juu", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Dunia inaruhusu vitu ku teleport na kutokea upande mwingine, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Watu wanapewa rushwa ili wasiseme kuwa "dunia ni flat", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?

Hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya neno "Reality".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio linatembea angani ni lugha rahisi kumwelezea mtu jinsi linavyohama

Miti hairudi nyuma wewe ndo unaiacha nyuma.

Mbona hao NASA hawatoi hizo footage na documents civilians tuzi analyze?
Unaweza kuthibitisha kuwa jua linatembea angani?

Kuliona jua linahama kutoka mahali pamoja kwenda pengine ni uthibitisho kuwa linatembea?

Ama Je, kuona miti ikiwa inarudi nyuma ukiwa katika mwendo ndani ya gari kunathibitisha kuwa miti inatembea?

Nadharia unazotumia ambazo pia walishazitumia wenzako ni inconsistent na zimekwisha shindwa kuthibitisha hicho unachokisema.

Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flat-earthers ni wasambaza uzushi bila ushahidi wa kile wanachokisema na wanalijua hilo. Ni watu wa maneno na porojo nyingi ambazo kwao wanaziita "facts".

Ni wazuri sana katika kutunga picha picha zenye maudhui ya mizaha mtandaoni almaarufu kama 'memes' na mara nyingi hupenda kuambatanisha hoja zao na hizo 'memes' pamoja na picha na video za kuunganisha matukio.

Wanadai kuwa dunia imezungukwa na ukuta wa barafu. Ukiomba uthibitisho juu ya madai hayo, hakuna!

Kwa kulazimisha, watakushawishi na picha zisizoendana hata na kile wanachodai.

Wengine ukiwauliza sababu ya kutokwenda kutuletea uthibitisho wenu kuhusu ukuta na edge ya dunia, wanakuambia NASA wameweka ulinzi kule ili kuzuia watu wasiende. Ukiomba ushahidi wa madai hayo, utasubiri sana!

Kampuni za usafirishaji, Marubani, Manahodha wa meli, Kampuni za habari na mawasiliano n.k. hao wote kwao flat-earthers ni wapumbavu waliozuiwa na wengine kupewa rushwa ili wasitoe siri kuwa 'dunia ni flat' kwa "maslahi" ya serikali za dunia.

Ukiomba uthibitisho, zero! Utaishia kuambiwa "usiwe mtumwa wa fikra".
Hii sasa ndo inaonesha kuwa kweli we ni mtumwa wa fikra,wapi tumesema NASA wameweka ulinzi ,kama hujui kusoma bora uache.

Watahangaika sana ila SUPREME POWER will never be hidden.

Halafu mtu anasema dunia ina revolve kwa such a speed halafu mtu yupo space anachukua video masaa matatu dunia ipo still hata haijisogezi huku yeye hamove anaelea ..huu ndo ukichaa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna reality ipi ingine?

Onesha theory hata moja ya flat earth

Dunia hai accelerate ipo still

Sio wanapewa rushwa wanapewa maslahi mapana kuweka mambo yawe kinyume kwa ustadi.

Kuhusu media streams ni mind control

Kuta za barafu zipo unaweza ukaenda ukajiona ukitaka

HALAFU SAHAU KABISA KUHUSU GALAXIES ,YOU ARE WASTING YOUR TIME.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni theory gani nyingine unayotafuta?

Kila kitu katika flat-earth ni theory, hakina uthibitisho wowote!

Uthibitisho wa "ukuta wa barafu" unaozunguka dunia uko wapi? sizungumzii kuta za barafu bali "ukuta wa barafu unaozunguka dunia" kulingana na madai ya flat-earthers.

Umehamia kwenye galaxies, usikimbilie huku na huko, rudi katika shape ya dunia, rudi katika misimamo ya flat-earthers, toa uthibitisho!

Kama umeshindwa kuelewa kilicho ndani ya uwezo wako, utaweza kuelewa kilichopo nje ya uwezo wako?
 
Ndio linatembea angani ni lugha rahisi kumwelezea mtu jinsi linavyohama

Miti hairudi nyuma wewe ndo unaiacha nyuma.

Mbona hao NASA hawatoi hizo footage na documents civilians tuzi analyze?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kutumia tafsiri ya kuiacha miti nyuma, ni sawa pia kuliacha jua nyuma sawasawa na miti unavyoiacha nyuma. Umeelewa hilo? Waweza kuthibitisha kinyume na hapo.

Unataka NASA watoe kitu gani? Documents za nini? Flat-earthers ndiyo wenye jukumu la kutoa uthibitisho wa madai yao, na wameshindwa kufanya hivyo miaka na miaka.

Tunahitaji uthibitisho wa flat-earthers kuhusu "ukuta unaozunguka dunia". Ushahidi uko wapi? Kila leo wanapiga chenga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom