REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #2,001
Ok, kumbe nikienda na Dish langu la Azam Ulaya nitacheki UTV fresh tuu...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana zinaitwa satellite dish mkuu, zinachukua signal direct kutoka kwenye satellite.
Sat finder unaifahamu mkuu, kama unaijua huwa inatafuta minara au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokuipata ni ishara moja wapo kuwa dunia ni duara kama chungwaOk, kumbe nikienda na Dish langu la Azam Ulaya nitacheki UTV fresh tuu...?
Sent using Jamii Forums mobile app
nkumbison Hiki kifaa kinaitwa sat finder kama unafunga dish huna haja ya kuzungusha ungo kinatafuta satellites chenyewe.
Sasa na hawa wenye hiki kifaa nao ni uzushi? Au huwa kinasearch minara?View attachment 1361148
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu nilisema satellite inapiga picha dunia nzima mkuu, bali sehemu kubwa kama nchi au ahata bara zima
Nilikuwa najaribu kuwonesha hao wanaosema satellite hazipo, nikauliza hizo picha zinapigwa na nini wkaanza mnara mrefu, mara drone , wa mwisho parachute.
Nikauliza hiyo drone inayoweza piga picha hivyo ni aina gani, nijuavyo mimi highest attitude ya drone ni 11000 feet, kimya
Huo mnara mrefu uko wapi, una urefu gani angalau nifuatilie na mimi niujue kimya.
Mwingine katafiti anasema kamera zinawekwa kwenye maparachuti huyu ndo nilishindwa kumuelewa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza swali mimi? Huna habari?
Soma, fuatilia misimamo ya flat-earthers wenzako, si mimi niliyesema hivyo!
Hilo swali kawaulize wenzako kuwa walifikia wapi mpaka kuja na hiyo nadharia ambayo wewe unaipinga?
Na unaipinga kwa misingi gani tofauti na wenzako?
Swali jingine, wewe ni flat-earther wa namna gani?
Which illusions?What simple and logical perspectives???
Flat-earth and your claims are illogical and absurd. Period!
Unasema nitumie ubongo wangu kufikiri....Hahaha! wakati huohuo unaamini katika illusions pamoja na conspiracy theories with no evidence whatsoever to support those claims.
Katika Dunia flat embu jaribu kuelezea kwa jinzi gani maji upwa na kujaa Baharini?
Hiyo safari ya Flat Earthers walisema watachukua muda gani huko?![]()
Hawa Jamaa wana vituko![]()
Hao flat Earthers ni Watu walio Kijita katika theory pasipo uwezo wa kufanya tafiti!
Nimeona mkuu, ila ukiangalia vizuri bado ramani zote Antarctica iko South, North hakuna.
Ila ya flat Earth hiyo Antarctica ni round
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali hii sidhani hata kama unajua satellite ni nini mkuu. Tufunge mjadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Maslahi ya IBILISI na kukuonesha huna thamani yani upo upo tu maana ulitoka kwa random ukawa nyani ndo sasa umetimia ,au mkuu asili yetu sio nyani?Unasema; "uongo utimie kimahesabu"
Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?
Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?
Karibu kwa majibu!
tatizo unabishana mimi nipo tayari kuelekezwa kwani wapi sijakujibu au hizo hoja ni zipi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo hutaki kuielewa Biblia unaisoma kama gazeti tu! Mfano Wewe hapo ukisoma Isaya 23:17 kwa akili zako hizo utakuja kusema hapa Mungu huwa anafanya UKAHABA!Inahitaji akili pana kudadavua vitu wewe unachukulia ushabiki.soma vitabu kwenye thread na uvielewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Lunar eclipse ipo kwa thread na chanzo cha kuzuiwa Antarctic ipo kwa thread.Kwa hiyo flat eather wanatetea hoja kwa misingi ya kibiblia?
Dawa hapa wote wawili Globle na Flat earth welete Data za Antaktika
Globle earth wawezeshe kufanya Direct flight kutoka Argentina to Australia across antarctica .
Na Flat watuoneshe Ukuta
Na kingine Assignemt nyingine
Globle earth watuelezee Midnight Sun huko north pole.
Na
Flat earth waelezee Lunar eclipse inatokeaje .
Kama tukisema dunia ni kama meza tujiulize maswali haya matatu..
1. Nini imeshikilia dunia..au tuseme dunia imesimikwa kwenye kitu gani?
2. Jua likizama linaenda wapi hadi lije kuibuka pale pale lilikochomozea siku iliyotangulia?
3. Ni kwa vipi tunapata kupatwa kwa mwezi kama dunia ingekuwa flat??