Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Sio nimeutoa wapi, kama dunia ingekuwa disc jua lingekuwa linaset kwa namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nimeutoa wapi, kama dunia ingekuwa disc jua lingekuwa linaset kwa namna hiyo
Mkuu nimesoma na nimetafiti pia nikajiridhisha. Sidhan kama dunia ingekuwa disc hiyo spherical horizon ingekuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nimeutoa wapi, kama dunia ingekuwa disc jua lingekuwa linaset kwa namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
You get those doctrines of yours through indoctrinations.
You get those doctrines of yours through indoctrinations.
Maybe you are trying to differentiate between the former and the later
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni rahisi hata kwa macho, nenda sehemu isiyokuwa na majengo ukiangalia kwa mbali utaona mawingu kama yanagusana na ardhi ,huo ni mfano mmoja wapo
Mbona ni rahisi hata kwa macho, nenda sehemu isiyokuwa na majengo ukiangalia kwa mbali utaona mawingu kama yanagusana na ardhi ,huo ni mfano mmoja wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
NACA delt with planes but NASA had to cover itself to persue the goals because NASA created a false space to explore,na hiyo transition unajua imetokea baada ya nini?
Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
Asante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasahivi tanzania tupo upside down halafu dunia inazunguka kwa kasi sana yani astrophysics imetusaidia mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufikiri kwamba kuna upside down katika Universe ni uduni wa akili kushindwa kuelewa jinsi dunia ilivyo katika universe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.
Sio yanagusana sema ukomo wa macho unaona vileView attachment 1372246
Sent using Jamii Forums mobile app