The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu upo sahihi kabisa, swala langu ni hili, inakuaje ninapotumia Google map naona sehemu yote ya dunia ila katika muonekano wa flat na sio spherical kama tunavyoambiwa!? Kwanini Antarctica ndio boundary yetu!?

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Ramani ya flat Earth Antarctica imezunguka lakini hii ya google ipo hapo chini tu south , east na west hakuna, kama unavyoona hapo chini
Screenshot_20200218-110008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yako yote ni ya uongo sababu hayaongelei kile ninachokizungumzia mimi.

Pili, picha ulizoziweka zinaonyesha kinyume na hali halisi, ninaposema Dunia ni kubwa kiasi ambacho ukomo wake hakuna anae udiriki na ukubwa huo ndio unatuonyesha ya kuwa dunia ni kama tandiko hivi yaani tambarare. Hizo picha hazina uwiano na dunia duara ninayo izungumzia mimi.

Kwahiyo karekebishe kwaza unachokiandika ili uulize swali kulingana na ninacho kiamini mimi kwa hoja zenye nguvu na upembanuzi wa ajabu.

Siku nyingine usilete picha bunifu ili kuupata ukweli.
Unaizungumzia dunia ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umesahau ulicho niuliza

Pili, hapa tunautafuta ukweli kama ulivyo na si ukweli kama unavyojitokeza kwa watu.

Huwezi na hii nakupa kanuni popote utakapo kwenda, huwezi kuelezea maumbile ya dunia nje ya dini ulapatia mzee, yaani hili hata mje kuleta Camera za P100000000000 hamtaweza kupatia zaidi ya kubahatisha.

Kwahiyo mintarafu tunachokiongelea bado nipo kwenye mada na kujibu kile kinachotakiwa.
Daah kumbe unaizungumzia dunia kwa upande wa kiroho bado na wewe majibu yako yatakua hayatupi mwanga halisi NI roho pekee ambayo majibu yake hayawezi patikana ila dunia kitaeleweka tu hata Kama karne kumi zijazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo safari ya Flat Earthers walisema watachukua muda gani huko? 😂😂😂😂
Hawa Jamaa wana vituko 😂😂😂
Hawakutoa muda rasmi wa kukamilisha mission yao huko Antarctic.zaidi walisema 2019 wange kwenda huko na kuja na jawabu!
 
Hiyo trip yao ya Antarctica wameipiga chenga.

Mara ya mwisho walidai wataenda mwaka huu, baadaye wakabadili kauli.

Hawaeleweki!

Next time, wakitaka kwenda huko itawabidi waunde kwanza navigation systems za kipeke yao maana kama wata-rely katika mifumo iliyopo hususani GPS katika hiyo safari yao, itakuwa ni kituko cha karne.
Hao flat Earthers ni Watu walio Kijita katika theory pasipo uwezo wa kufanya tafiti!
 
Kwa hali hii sidhani hata kama unajua satellite ni nini mkuu. Tufunge mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusifunge Mjadala bila ya wewe kunielewesha Sattelite ni nini?

Vifaa unavyovijua kwa jina hilo vinatokana na kua na tabia za Sattelite na ndio maana vinaitwa Artificial Sattelite.

Kwa maana hiyo dish linaweza kunasa mawimbi ya Sattelite bila kutumia hata hivyo vifaa, (sijui kama unaipata tafakuri yangu.)



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mkuu, ila ukiangalia vizuri bado ramani zote Antarctica iko South, North hakuna.

Ila ya flat Earth hiyo Antarctica ni round

Sent using Jamii Forums mobile app
Ramani zote za Dunia duara lazima ionekane ipo south na si noth kwa sababu hiyo ramani imekunjwa kutoka katika uflat kutengeneza mviringo ili uongo utimie kimahesabu.

Fanya hivi.
Flat erth chukulia ndio kama sinia na kingo zake pembeni( antactia)

Chukua mpira uweke chini sinia juu.
Fanya kulilazimisha sinia liufunike mpira kwakulipindisha kuufuata mduara wa mpira halafu utuambie kuta zinazozunguka sinia zitakua zimekutana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ramani zote za Dunia duara lazima ionekane ipo south na si noth kwa sababu hiyo ramani imekunjwa kutoka katika uflat kutengeneza mviringo ili uongo utimie kimahesabu.

Fanya hivi.
Flat erth chukulia ndio kama sinia na kingo zake pembeni( antactia)

Chukua mpira uweke chini sinia juu.
Fanya kulilazimisha sinia liufunike mpira kwakulipindisha kuufuata mduara wa mpira halafu utuambie kuta zinazozunguka sinia zitakua zimekutana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema; "uongo utimie kimahesabu"

Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?

Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?

Karibu kwa majibu!
 
Unasema; "uongo utimie kimahesabu"

Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?

Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?

Karibu kwa majibu!
Ndg yangu sisi tule tulale tufe, basi.

Ukitaka kujua faida ya huo uongo ni sisi kuufundishwa na kuuamini. hivyo yani.

Hivi kwenye maisha yetu ya kila siku, umbo la dunia linafaida au hasara gani hata kama tusingelijua lilivyo?

Tunaishi katika vita ya Nature na Sayansi ili tuione Nature si lolote na Mwanasayansi ndio mgu wa muhimu, na kadri tunavyozidi kuusapoti uongo wake ndivyo tunavyomrahisishia safari ya sisi kuwa watumwa wake.
Tuendapo itafikia mwanasayansi akitaka tusile kuku hakuna wakumbishia maana wote atakua anawatengeneza yeye. Leo hii kila msimu wa kilimo mbegu zakununua basi za asili zikiisha kabisa akitaka tufe njaa nani atampinga na mbegu zake hazizaliani.?

Kwahiyo kupitia uongo wa wanasayansi ni faida kwao katika kututawala wewe na mimi, jaribu kutafakari vingapi vinaendesha maisha yetu ya kila siku ambavyo vinatoka viwandani, vp siku wasipovizalisha tuna kipi cha asili kinachoweza kureplace.

Tunadanganywa tuamini kila kitu kinaweza kufanywa na mwanadamu lakini sio mimi na wewe ili watakaoweza wawe ndio watawala.

Na ngoja siku ifike itakua mwanasayansi akitaka kuja bongo ila pachafu, anazima internet hadi mpige deki barabara na mitaa, hapo utapata picha tulikua tunafundishwa kutawaliwa au kuishi kwa furaha.

ukitulia nakutafakari vizuri, utazijua faida za wanaotufundisha hizi elimu ambazo wana imani na uhakika asilimia zote mtu wa kuzi prove hatotokea..

Nihitimishe hivi....
Mimi katika hili la shape ya dunia nipo upande wa wanaoamini ni flat kwa sababu Naiona hivyo, jua na mwezi likipita juu katika zafari zake. Nadhafia ya mviringo inapingana na hisia za mwili wangu mimi kama mimi kupitia milango ya fahamu niliyonayo.

Na katika mengi niliyofundishwa kuhusiana na umbo la dunia mviringo nimeshindwa ku prove tofauti na ya dunia flat.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom